Wahisani wapunguza fedha bajeti ya serikali ya 2010/2011

Samahani kidogo, kuuliza si ujinga.

Hivi hawa wanaoitwa ADB ndio wakoje wakoje? Ni nini haswa chanzo cha fedha cha hawa watu? Wamiliki ni akina nani?

AfDB is a bank like any other bank. Tofauti ni kuwa wanatoa mikopo ya bei nafuu (I presume this is what some people refers to as AID). Pia, chini ya Dr. Kaberuka, AfDB has positioned itself as a source of knowledge too. AfDB offers development expertise to those in need (member countries). AfDB operates pretty much like the World Bank. Wana Bodi ambayo ndiyo hufanya maamuzi ya mwisho. Wana wanachama (stakeholders) including African and Non-African countries. So, it's clear that at the AfDB, you vote with your wallet not with your mouth. I mean AfDB is not a charity.
 
Hio hela hiliopunguzwa mafisadi wakibanwa na kuporwa walichoiba inatosha kabisa kukava. sema msafi yupi mwenye uwezo wa kuwabana mafisadi? Jibu hakuna aliye msafi ndio maana wanadunda tu na kupanga mashambulizi zaidi.
 
Mkopo si msaada. Nchi nyingi tu, hata zile zinazojitegemea huwa, zinakopa.

Ndugu,

Hili ndio tatizo la waTz. Ukisema kuhusu jambo fulani mtu ataibuka na kusema 'aah mbona America wanafanya..blah blah'. Wahenga walisema 'ukiiga tembo kwenda haja utachanika msamba'. Wenzetu wanapokopa wanakopa based on their analysis na wanajua wanachokifanya, na ndio maana wanazidi kukata mawingu wakati sisi hatujui hata the next meal ni nini..Do u see the difference mazee.

Kukopa is not an issue ikiwa mna-move forward, na kuwa na mipango mtaitumiaje hio mikopo ili huko mbeleni kuwa huru zaidi na dalili basi zionekane ati? maybe kila mahali. Thats what I meant.
 
Hiki kitu ni obvious. Pesa wazochangia wahisani ni za walipa kodi wa Nchi zao. Itakuwa vigumu wakupe wewe na halafu uzitumie tofauti na matarajio yao. Suruhisho la muda mrefu ni kutafuta vyanzo vya mapato visivyo tegemezi.
 
Huu ndo muda muafaka wa Kapuya kwenda kijijini kwao kuwaambia Wanyamwenzi wenzake kuwa wahisani wametumwa na Wapinzani!!
Kama tumeishi kwa kutegemea misaada kwa miaka 50, basi sisi ni kiazi kilicho fubaa, hakiivi kamwe!!
Nafikiri kikao cha dharura ni kwa ajili ya kuunda timu ya kwenda kubembeleza ili waendelee kusaidia. Na hiyo team itatumia mamilioni ya pesa kama posho za vikao na wafadhili. Hiyo ndo maana ya kufa kufaana!!
 
Hiki kitu ni obvious. Pesa wazochangia wahisani ni za walipa kodi wa Nchi zao. Itakuwa vigumu wakupe wewe na halafu uzitumie tofauti na matarajio yao. Suruhisho la muda mrefu ni kutafuta vyanzo vya mapato visivyo tegemezi.

Suluhisho la kweli nionavyo ni kukopa kwa ajili matumizi yatakayochochea moja kwa moja uzalishaji na kuwawezesha watu wa kawaida 'kuwa na kitu' mfukoni. Serikali haitakiwi iwe na akili za baba suruali za kuacha nyumbani Sh. 500 na kutegemea kurudi nyumbani kukuta puialu na biriani mezani ..hiyo haiwezekaniki. . Hatua ya kuvuna inatanguliwa na processes muhimu inayoitwa kupanda na kupalilia. Period.

Tukifikia uzalishaji mathalan wa kukidhi mahitaji ya msingi ya ndani yasiyohitaji technohow au hardwares za kufa mtu, itakuwa hatua kubwa sana kwa kuanzia. Lakini mkiwa taifa la kuagiza hadi baadhi ya vyakula, toothpick (Asia), apples na mikuku (Brazil), dawa za meno, maziwa, fenicha et etc..then you know straight-away we are already fvcked.

Serikali inatakiwa iwe mfano kwa kumiliki uchumi na ku-tranfser taratibu uchumi kwene pipes za kueleweka au rasmi kama vyama vya wafanyakazi, wakulima kjwenye SACCOS zao, wafanyabiashara wa chini na kati kwene vyama vyao kwa mfumo wa mikopo, kuuza hisa etc etc. etc etc. Bila kusahau miundombinu kuendana na priorities za kiuchumi (sio siasa za kijinga) na kuangalia vyanzo vipya vya umeme au nishati kwa ujumla. Ukiongezea na training za hapa na pale thats what u need kuanza kuitumia mikopo na misaada kwenda kwenye uzalishaji zaidi.
 
Wakati sie tunaendeleza matumizi ya kutapanya huku tukitembeza bakuli kwa wafadhili,serikali mpya ya hapa Uingereza chini ya David Cameron imetangaza kuwa mishahara ya mawaziri itapunguzwa kwa asilimia 5 na hakutakuwa na nyongeza katika mishahara hiyo (pay freeze) kwa miaka mitano.Mshahara wa sasa wa Waziri Mkuu Cameron utakuwa pungufu ukilinganisha na mishahara wanayolipwa meya wa manispaa mbalimbali 61 (kila manispaa hapa inajipangia kiwango cha mishahara ya viongozi wao kulingana na uwezo wa manispaa husika.Kukupa picha nzuri,alichofanya Cameron ni kama JK angeamua alipwe mshahara pungufu kulinganisha na meya wa manispaa ya Temeke au Kinondoni...ah,naota tu.Afanye hivyo achekwe!!!?)...Zaidi soma hapa http://chahali.blogspot.com/2010/05/kabineti-mpya-uk-yajipunguzia.html
 
Hii ndio maana ya uongozi kutumikia watu kwani wenzetu kuongoza sio kujineemesha lakini kwetu kuwa madarakani ni kutafuta utajiri na kulimbikiza mali.
 
Wakati wahisani wanapunguza inayosemekana misaada! Deni la nje linazidi kuwa kama mbuyu!!!!!!!!!!!!
Thursday, April 22, 2010 9:25 AM
DENI la Taifa limeongezeka maradufu na kufikia shilingi trillion 7.6




Hayo yaliwekwa wazi na katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Otouh, alipokuwa akiwajulisha waandishi wahabari.

Amesema deni la taifa limeongezeka kwa kasi kutoka kiasi cha sh trilioni 6.4 mwaka 2007/08 hadi kufikia shilingi trilioni 7.6 katikka mwaka wa fedha wa 2008/09
.
Amesema kuwa deni hilo limeongezeka kwa tofauti ya shilingi trillion 1.1 kutoka lile la mwaka wa fedha wa jana.

Amesema kutokana na hali hiyo, kuna umuhumu wa serikali kusimamia vizuri makusanyo na matumizi ya fedha zake.

Amesema deni hilo limeongezeka hivyo kutokana na serikali kujiingiza katika bajeti kubwa kuliko uwezo wenyewe.

Vilevile amesema serikali imeshindwa kudhibiti matumizi ya juu, kutokuwa makini na mikataba mbalimbali, pamoja na kuzamini mambo mbalimbali kinyume na uwezo halisi.


Hivyo amesema katika taarifa zilizowasilishwa na maofisa masuuli, zilieleza bayana kuwa wizara, idara, walaka na sekretarieti za mikoa hazikuzingatia kikamilifu sheria ya manunuzi ya umma namba 21 ya mwaka 2004 na kanuni zake za mwaka 2005 ambapo jumla ya sh bilioni 12.8 zilionyesha kasoro mbalimbali za ukiukwaji wa taratibu za manunuzi.

Pia alisema katik ukusanyaji wa mapato matokeo ya ukaguzi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), unaonyesha kuwa misamaha mingi iliyotolewa kwa taasisi mbalimbali na watu binafsi yenye thamani ya sh bilioni 752.3 imerudisha nyuma mapato ya serikali.


Source: nifahamishe





 
So ukiona nchi za magharibi zina punguza misaada ni dalili ya mambo mawili....1)Your government is bold enough to not be pushed around or 2)You are use to them has decreased.

Good point! I'm wondering what will really happen if we eventually focus on revenue and stop receiving "aid", especially as government loans and grants and slowly pull away from some useless conditionallities, like those of Poverty Reduction Stratergy Papers. it seems like these guys are the ones pulling the economy strings...whatever political changes we are fighting for will achieve nothing if this donor interference does not change
 
Kama Mkapa na Chissano walikuwa jasiri kuanzisha mradi wa kujenga daraja bila kutegemea wafadhiri, sasa serikali ya JK wasiwasi wa nini? Jibu alitoa JK mwenyewe wakati wa ufunguzi wa daraja hilo ni kuwa anatakiwa kuwa jasiri! Na watanzania wote pia kuwa jasiri kwenye nyanja zote!!
 
Ndugu,

Hili ndio tatizo la waTz. Ukisema kuhusu jambo fulani mtu ataibuka na kusema 'aah mbona America wanafanya..blah blah'. Wahenga walisema 'ukiiga tembo kwenda haja utachanika msamba'. Wenzetu wanapokopa wanakopa based on their analysis na wanajua wanachokifanya, na ndio maana wanazidi kukata mawingu wakati sisi hatujui hata the next meal ni nini..Do u see the difference mazee.

Kukopa is not an issue ikiwa mna-move forward, na kuwa na mipango mtaitumiaje hio mikopo ili huko mbeleni kuwa huru zaidi na dalili basi zionekane ati? maybe kila mahali. Thats what I meant.

My point is MKOPO SI MSAADA, by any interpretation [You don't seem to realize this yet]. Whether umefanya analysis au la kabla ya kukopa, bado mkopo si msaada. Kama Mkapa alilipa madeni ili aweze kukopesheka, haina maana kwamba alitaka msaada zaidi [which is what you meant in your earlier post].Bali alitaka kukopa zaidi. Kukopa zaidi haina maana kuwa hatuna mipango ya kujitegemea. Which led to my second point that hata mataifa yanayojitegemea huwa yanakopa [kwani wewe ukikopa bank ina maana kuwa huna mpango wa kujitegemea?]. Reaction yako ni kwamba hili ndilo tatizo la waTz, tunajifananisha na Marekani. To me, this is something different from your earlier post and my response [Everybody knows we are not America!]. I was referring to nothing more other than your earlier post. Sidhani kama uliimanisha kwamba watanzania wanakosea kujifananisha na America. Ulichomaanisha ni kwamba hatuna mpango wa kujitegemea kwa kuwa Mkapa alilipa madeni ili tuwe taifa linalokopesheka. This is what I am disputing. Now, I know you are defensive. Na sitoshangaa kuona majibu yako ni tofauti kabisa na tunachozungumzia hapa. Wakati huohuo, tunategemea kuendelea kama taifa.................Our number one problem is Human Capital and NOT foreign aid or loan or grant. You should know better.
 
My point is MKOPO SI MSAADA, by any interpretation [You don't seem to realize this yet]. Whether umefanya analysis au la kabla ya kukopa, bado mkopo si msaada. Kama Mkapa alilipa madeni ili aweze kukopesheka, haina maana kwamba alitaka msaada zaidi [which is what you meant in your earlier post].Bali alitaka kukopa zaidi. Kukopa zaidi haina maana kuwa hatuna mipango ya kujitegemea. Which led to my second point that hata mataifa yanayojitegemea huwa yanakopa [kwani wewe ukikopa bank ina maana kuwa huna mpango wa kujitegemea?]. Reaction yako ni kwamba hili ndilo tatizo la waTz, tunajifananisha na Marekani. To me, this is something different from your earlier post and my response [Everybody knows we are not America!]. I was referring to nothing more other than your earlier post. Sidhani kama uliimanisha kwamba watanzania wanakosea kujifananisha na America. Ulichomaanisha ni kwamba hatuna mpango wa kujitegemea kwa kuwa Mkapa alilipa madeni ili tuwe taifa linalokopesheka. This is what I am disputing. Now, I know you are defensive. Na sitoshangaa kuona majibu yako ni tofauti kabisa na tunachozungumzia hapa. Wakati huohuo, tunategemea kuendelea kama taifa.................Our number one problem is Human Capital and NOT foreign aid or loan or grant. You should know better.

Ndugu,

Hivi ni wapi nimesema mkopo ni msaada? Siwezi kuwa defensive kwa sababu sina maslahi kwa upande wowote hapa, I speak what i think is right.

Jasusi amechochea mjadala hapo juu kuwa ni kheri misaada ikafutwa kwa sababu tunahitaji kujitegemea wenyewe kwani nyenzo muhimu tunazo..(post# 5). Nami nikaongezea tu mfano wa Mzee Mkapa alivokuwa akisema kuwa tunalipa madeni ili tuendelee kukopesheka (ref post #7). Kwamba hakuna mkakati wa kujitegemea huko mbeleni hasa ukizingatia taarifa za fedha za hivi karibuni kwamba deni la taifa linazidi kupaa wakati concurrently, hakuna correlation na kuimarika kwa hali za waTz wa kawaida.

Kwene post ya #20 ukasema mkopo si msaada na pia ukadai hata nchi zilizoendelea zinakopa, nikajibu kwamba tatizo sio kukopa bali unakopa ili kufanyia nini (ref p # 23). Kitendo cha kuendelea kukopa na deni kuondelea kupaa na hakuna improvement ktk right direction ndio hoja kwamba hakuna dalili ya mipango ya kujiendeleza wenyewe. I did not imply anything else nonetheless kupata misaada zaidi, ingawa ktk hali halisi haya mabenki ukichukua mikopo mikubwa ambayo wanajua watakula faida kubwa huweka ka namna flani ka 'bonus' ambako huwekwa kama 'grant'.

Having said so, you can dispute with whatever u want, that will not change anything, unless u demonstrate something more sounding.
 
uchaguzi umekaribia, kila mtu anaanza kuvutia kwake, mtanzania maskini anataka kutumia nafasi hii adimu ya mara moja kwa miaka mitano kutoa kilio chake na matajiri wa nje nao wanataka kutumia fursa hii kujipatia wanachotaka kwa urahisi zaidi. hivi kweli hatuwezi kubuni jinsi ya kujipanga sawasawa na kusimama wenyewe bila support ya hawa "donors" aka foreign inverstors?
 
WAHISANI wamepunguza mchango wao kwenye bajeti ya serikali kwa mwaka 2010/2011 kwa sababu mbalimbali, ikiwamo kasi ndogo ya serikali katika kutekeleza mageuzi katika sekta za umma.

Taarifa ya Wahisani hao iliyotolewa jijini Dar es Salaam jana, imesema katika mwaka huo watatoa Dola za Marekani 534 milioni sawa na (Sh721bilioni), ambazo ni pungufu kwa Dola za Marekani 220 milioni (sawa na Sh297 bilioni) walizotoa mwaka 2009/2010.

Wahisani wa bajeti ya serikali ni Benki ya Maendeleo Afrika (ADB), Canada, Denmark, Jumuiya ya Ulaya (EU), Finland, Ujerumani, Ireland, Japan, Uholanzi, Norway, Sweden, Uswisi, Uingereza na Benki ya Dunia (WB) ambao mwaka jana walichangia Sh1.9 trilioni katika bajeti ya serikali kupitia miradi ya maendeleo na mifuko ya kisekta.

Katika bajeti hiyo ya mwaka 2009/2010 Sh milioni 968,028 zilitokana na mikopo ya ndani na sehemu ya mchango wa wahisani hao kupitia misaada ya kibajeti.

ADB ambayo ndiyo mwenyekiti wa wahisani hao jana, ilieleza katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kuwa uamuzi wa kupunguza fedha za kusaidia bajeti ya serikali, umetokana na mambo mengi, ikiwemo serikali kushindwa kufikia malengo kadhaa ya maendeleo.

Taarifa hiyo ilitaja maeneo ambayo serikali ilishindwa kufikia malengo kuwa ni mabadiliko ya haraka katika menejimenti ya sekta ya fedha za umma, mategemeo ya kuboreka kwa hali ya mazingira ya uwekezaji na uwekezaji na uboreshaji wa huduma kwa kutoka sekta za umma.

Hii ni mara ya nne kwa wahisani hao kuiwekea ngumu serikali katika kuchangia bajeti yake kila inapofikia mwisho wa mwaka, kwa kushindwa kutekeleza mambo yanayowavutia kutoa fedha.

Mwaka juzi wahisani hao waligoma kutoa fedha baada ya serikali kusuasua kuchukua hatua dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi wakiwemo wa fedha za EPA mpaka zilipofunguliwa kesi kadhaa ambazo mpaka sasa zinanguruma mahakamani.

Akizungumza katika mkutano huo, ambao ulihusisha nchi wahisani na taasisi za kimataifa, Mwenyekiti wa Nchi Wahisani wa Bajeti ya Serikali (DPG), Peeter Dorst alisema nchi wahisani zinaamini kuwa ni muhimu kwa serikali kuonyesha wanachukua hatua katika suala zima la rushwa zikiwemo rushwa ndogo na kubwa.

Alisema hali hiyo inatokana na habari za hivi karibuni kuonyesha kuwa Tanzania imeshuka nafasi 24 katika suala zima la uwazi katika mapambano dhidi ya rushwa.

Source: Gazeti la Mwananchi


Good
 
Tanzania to borrow 500 million dollars for budget

May 6, 2010 02:54AM

Tanzania will plug a financing deficit from a delayed Eurobond issue by raising between 500-700 million dollars through syndicated loans, infrastructure bonds or domestic borrowing, a senior minister said.

The East African country was forced to suspended issuing its debut sovereign bond in 2008, along with neighbouring Kenya and Uganda, because of the global financial crisis.

``I will be able to get between 500 dollars and 700 million dollars outside government systems, through borrowing,

either through syndicated loans or through the banking system or through local borrowing," Finance Minister Mustafa Mkulo told Reuters on Tuesday.
 
WAHISANI wamepunguza mchango wao kwenye bajeti ya serikali kwa mwaka 2010/2011 kwa sababu mbalimbali, ikiwamo kasi ndogo ya serikali katika kutekeleza mageuzi katika sekta za umma.........................

Taarifa hiyo ilitaja maeneo ambayo serikali ilishindwa kufikia malengo kuwa ni mabadiliko ya haraka katika menejimenti ya sekta ya fedha za umma, mategemeo ya kuboreka kwa hali ya mazingira ya uwekezaji na uwekezaji ........................

.......................Source: Gazeti la Mwananchi

Mimi sikubaliani na hyo sababu hapo in red...............
 
Kwa maoni yangu mishahara yote ya Waheshimiwa ipunguzwe kwa asilimia 15 au zaidi. Marupurupu ya Waheshimiwa wote wakiwemo Wabunge yafutwe. Safari za nje ambazo hazina tija kwa maendeleo ya nchi zifutwe kabisa. Magari ya kifahari ambayo yanatumiwa na Waheshimiwa yauzwe katika kwa bei yao halali pesa zitakazopatikana ziingie hazina. Marupurupu wanayolipwa Viongozi wastaafu nayo pia yapunguzwe ili yaendane na hali halisi ya uwezo wa nchi. Kodi zinazolipwa na makampuni yote yaliyowekeza nchini kama ya madini, mawasiliano n.k. ziongezwe kuanzia July 1, 2010.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*

Mkulo mum over $220 million donors budget slash By The Citizen Reporter
mkulo.jpg

Finance Minister Mr Mustafa Mkulo yesterday ducked questions and declined to comment over the predicament facing the government following a decision by donors to withhold some $220 million (Sh297 billion) in General Budget Support (GBS) in the next financial year.

Mkulo who was away in Uganda, arrived in the country on Thursday night, a day after the donors announced the surprise news that is bound to impact negatively in his budget plans.

Reached for comment, the minister said he would have nothing to say at the moment. He said in a phone interview that he had not read the donors report or consult other relevant government organs to be able to issue a public statement.

Mkulo is due to deliver the government's budget statement when Parliament resumes its sessions in Dodoma next month. It will be his third budget speech and the last one for this current parliament term before the house is prorogued ahead of the October election.

On Thursday, top officials of the Ministry of Finance held a crisis meeting in Dar es Salaam after news broke out on the decision by the donors to withhold some $220 million (Sh297 billion) in General Budget Support (GBS) in the next financial year.

A high-ranking ministry official told The Citizen that the government had been stunned by the unexpected donor announcement, in protest against the failure to carry out reforms and fulfill several other conditions.

The donors' decision was announced by the group's current leader, the Africa Development Bank (ADB) on Wednesday.

The donors said their combined GBS in 2010/11 would be $534 million (about Sh721 billion), some $220 million (about Sh297 billion) less than in current financial year, which ends in June.

In the statement emailed to the media on Wednesday evening, the donors gave several reasons for their decision.

"Some of the decrease results from Development Partners' concerns about the slow implementation of reform programmes, and expected results not being met in critical reform areas," said the statement, which kept the ministry quite busy yesterday.

The donors said the delayed reforms include failure to revamp the public financial management system. They were also unhappy about the lack of improvement in the business and investment climate and the slow progress on equitable delivery of public services.

The partners who provide the GBS are the ADB, Canada, Denmark, the European Commission, Finland, Germany, Ireland, Japan, The Netherlands, Norway, Sweden, Switzerland, United Kingdom, and the World Bank.

On Thursday, the deputy permanent secretary in the Ministry of Finance, Mr John Haule, told The Citizen that they had discussed in detail the donors' statement.

Mr Haule said they would forward their recommendations to Mkulo for action.

"But I can assure you that this is an issue of national importance. The government will issue a statement later," he said.

Mr Haule said the minister would consult other government departments before releasing the official response to the donors' decision.
The essence of partnership, he added, was that both the donor countries and the government benefited from the liaison.

A top economist, Dr Ngoyo Ernest, told The Citizen that it was a big blow to the government, as "it will definitely need extra money from other sources to plug the hole left by the donors".
Available records indicate that the government has been lagging behind in local revenue collection, as last year's targets set by Tanzania Revenue Authority (TRA) were missed by 10 per cent.
Another leading Dar es Salaam-based economist, Prof Ted Maliyamkono, said the government had no alternative but to find other ways of plugging the gap resulting from the withholding of donor support.

Among issues donors said prompted them to reduce the GBS are the failure to undertake critical reforms, including the reduction of cess from five to three per cent. They also accused the government of inability to improve agriculture marketing environment for the private sector and failure to submit the public private partnership Bill to the National Assembly by July.

The donors also called for adequate staffing in areas hit by chronic shortages.

The statement issued by the ADB declared that future support would depend on strong delivery of results by the government.

However, they pledged continued to support the next phase of Mkukuta (National Plan for Economic Growth and Poverty Reduction 2010-2010).
 
This should not be a surprise to us all...............hawa wahisani walisha sema huko nyuma kuwa watapunguza sana finances.................mijitu kama akina Mkullo hili jambo ni sign of FAILURE KWAO...................na tulishasema saaana hapa JF kuwa mijitu kama Mkullo they stay aside...............they should even be thankful for the little wanacho ahidiwa............damn..........!
 
Back
Top Bottom