Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

Wewe utakua mbinafsi,mchoyo,limbuken na una dalili za Majivuno.Na uspokua makini umaskini hautakuandama miaka yote.Wenzio walioridhika wanatamani wageni kila saa.
 
Afadhali hawa wanaokuja kushinda bila taarifa. Wapo wengine huwa wanazuka tu na kujipangia kuwa watakaa siku kadhaa kwako bila kujua hali ya mfuko wako ikoje. Wengine wakiona maisha yamewashinda, basi wanahamishia watoto wao kwako.

Huko ni kutafutana undani sasa!!
 
Heh, nani kaibua hii sredi? Nimetoka kumjibubmtu asubuhibkuwa kesho nasafiri. Bado sijajua naenda wapi hehehe, ngoja nijipange nisije nikakosea uongo, mtu hakawii kujialika kwako breakfast!
 
Heheheh
Karibisha tu hao wageniiiiiiiii

Ila thread za zamani nzuri sana
Sio siku hizi thread zimejaa punyeto na makorokocho yake
 
Bora hata ajialike breakfast, mie kuna mmoja kajiadaptisha kuanzia J4.
Maisha yamemshinda anahitajji muda wa kujipanga.

Heh, nani kaibua hii sredi? Nimetoka kumjibubmtu asubuhibkuwa kesho nasafiri. Bado sijajua naenda wapi hehehe, ngoja nijipange nisije nikakosea uongo, mtu hakawii kujialika kwako breakfast!
 
Mimi ndugu zangu wa kuzaliwa kwa baba na wale wa kwa mama na ndugu wa atakaye kuwa mke wangu, ndio wenye mamlaka ya kuja kwangu wajisikiavyo bila ya taharifa sababu tumekuwa pamoja na tunafurahi kuwa pamoja mda wowote. as well wazazi wetu.
 
Duh... kwa hio umesahau kuwa leo padr kasema tutembeleane na tufurahi
Kumbe we mchoyo hivyo
 
Upo nyumbani kwako umepumzika,ni wikiendi au sikukuu
kama leo.una mipango yako binafsi
labda unataka kulala tu siku nzima
au kutoka na mkeo/mumeo bf/gf so mnavuta vuta mda hivi....

ghafla bin vuu wanaibuka 'wageni ' pengine ndugu zako au wa mwenzio
au tu marafiki na jamaa, wamekuja 'kukutembelea' au
'kusheherekea sikukuu' labda wamekuja na 'watoto wao'
na muelekeo wao ni kushinda hadi jioni ndo warudi makwao.....

dah jamani mimi hili huwa linanikera mno....
siku hizi si kuna simu????inakuwaje jamani??????

nyinyi ikiwatokea mnafanya nini?????????

Kweli wabongo hili nalo ni gonjwa sugu. Kwanini Tv, radio havitumiki kuelimisha watu kuhusu hili? Nchi za wenzetu kama mgeni kaingia bila taarifa hata kula huwa hali. Kwanza wenyeji sahani hujihesabia wao tu. Labda utapewa chai au kahawa basi!Inaeleweka sana.
 
Mie hapa nko naishi na ex housegirl(hatuna mahusiano).baada ya kufanya kazi kwa mda kama miaka 2 akaamua kwenda kuajiriwa saloon,wanakoosha vichwa.
Sasa mwezi wa sita mwaka jana akaja kuomba akae hapa kwa vile mambo yamemuendea ndivo sivyo kuhusu kodi ya nyumba,nikampa ok,anaishi hapa asubuhi anaenda kuosha vichwa hadi saa nne usiku anarudi,anashinda hapa mara moja kwa wiki na hivyo ndo husaidia usafi wa ndani.
Juzi sasa niko ndani nasitukia geti linafunguliwa,kwani mie huliegesha tu mchana.
Naenda kuchungulia kwenye dirisha namuona mdogo wake na huyu msichana anaekaa hapa anaingia(na yeye ni profesheno house girl).yuko na mfuko wa rambo umejaa nguo zake.
Baada ya kufungua geti linalofuata anakaa pale verandani kwenye viti.
Nafungua mlango wa kuingilia ndani na kumsalimia.
Kisha,''karibu''.
''ahsante,tumekuja kusherekea pasaka'',anasema huko amening'iniza tabasamu la kujilazimisha.
''ok,karibu ndani ,''
anabeba mzigo na kuingia ndani.
Anapofanyia kazi si mbali na hapa napoishi,hivyo suala la kuja na nguo maana yake ni kwamba ameacha,ameachishwa kazi.
Sasa leo siku ya tatu sijui kama nae amekuja kuishi hapa kama dadake ama anajipanga tu .
Nilipanga sikukuu hii nishinde na mmbeby wangu baada ya ugeni huu wa ghafla zoezi nikasitisha.
 
poleh ila inabd uwape live tu,soon or later wataondoka tu so hata wakiendelea kukaa haitawasaidia na wewe itakukera...ila una roho nzuri sana
 
He he, kama hujaoa pole. Sasa hivi utatangaza ndoa kati ya hao wa2

Mie hapa nko naishi na ex housegirl(hatuna mahusiano).baada ya kufanya kazi kwa mda kama miaka 2 akaamua kwenda kuajiriwa saloon,wanakoosha vichwa.
Sasa mwezi wa sita mwaka jana akaja kuomba akae hapa kwa vile mambo yamemuendea ndivo sivyo kuhusu kodi ya nyumba,nikampa ok,anaishi hapa asubuhi anaenda kuosha vichwa hadi saa nne usiku anarudi,anashinda hapa mara moja kwa wiki na hivyo ndo husaidia usafi wa ndani.
Juzi sasa niko ndani nasitukia geti linafunguliwa,kwani mie huliegesha tu mchana.
Naenda kuchungulia kwenye dirisha namuona mdogo wake na huyu msichana anaekaa hapa anaingia(na yeye ni profesheno house girl).yuko na mfuko wa rambo umejaa nguo zake.
Baada ya kufungua geti linalofuata anakaa pale verandani kwenye viti.
Nafungua mlango wa kuingilia ndani na kumsalimia.
Kisha,''karibu''.
''ahsante,tumekuja kusherekea pasaka'',anasema huko amening'iniza tabasamu la kujilazimisha.
''ok,karibu ndani ,''
anabeba mzigo na kuingia ndani.
Anapofanyia kazi si mbali na hapa napoishi,hivyo suala la kuja na nguo maana yake ni kwamba ameacha,ameachishwa kazi.
Sasa leo siku ya tatu sijui kama nae amekuja kuishi hapa kama dadake ama anajipanga tu .
Nilipanga sikukuu hii nishinde na mmbeby wangu baada ya ugeni huu wa ghafla zoezi nikasitisha.
 
polheeh ila inabd uwape live tu,soon or later wataondoka tu so hata wakiendelea kukaa haitawasaidia na wewe itakukera...ila una roho nzuri sana
Hebu nifanyie surprise njoo na nguo zako Wikiendi lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom