Uji wa tapo?
please nielimishe hapo
Boss haya mambo ya maakkul niachie, Uji wa tapo shurti unatiwa ndimu na ukwaju, ukiunywa lazima useme wataka tena na tena.
Huu wa sukari, hufanya ladha ya juice ya ukwaju kwa mbaali!
mhhh mhhh mpaka hapo tu udenda wanitoka lol
..............
ha ha haa hawaishi wageni lol
Upo nyumbani kwako umepumzika,ni wikiendi au sikukuu
kama leo.una mipango yako binafsi
labda unataka kulala tu siku nzima
au kutoka na mkeo/mumeo bf/gf so mnavuta vuta mda hivi....
ghafla bin vuu wanaibuka 'wageni ' pengine ndugu zako au wa mwenzio
au tu marafiki na jamaa, wamekuja 'kukutembelea' au
'kusheherekea sikukuu' labda wamekuja na 'watoto wao'
na muelekeo wao ni kushinda hadi jioni ndo warudi makwao.....
dah jamani mimi hili huwa linanikera mno....
siku hizi si kuna simu????inakuwaje jamani??????
nyinyi ikiwatokea mnafanya nini?????????
Kama uni ndugu zangu nawapa live... we were about to go out unless ni mtu mzima n aye mheshimu sana (level ya mama au baba)
Kama ni ndugu zake na nina wamudu mfano wifi pia nawachana live tu... wifi hupigi simu...? Basi make urself at home si tunatoka muda si mrefu. Kesho harudii tena!
kama ni ndugu zake anaowamudu I expect him to take charge na kuwaeleza ki staarabu kuwa we had other plans... unless ni mtu mzima kama mama yake etc
halafu simu wanazo na namba yako wanaijua...