Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

Mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma....nakuhakikishieni 2015 CDM wanashinda jimbo la Songea mjini.
Pia sioni jimbo lolote ndani ya mkoa wa Ruvuma ambalo Stella Manyanya anaweza kusimama na akashinda. Time will tell
 
wabunge wa ccm wanaofaa kurudi 2012 ni watatu tu. Deo filikunjombe, mbunge wa kisesa luhaga mpina na kuna mwingine nimemsahau
 
wana jf hoja zinazoletwa hapa ni vyema ziangalie katiba ya nchi na sheria mbali2 sio matakwa ya watu wenye nyoyo za chuki na roho mbaya bila sababu za msingi, kama hoja hii ilivyo!!
 
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi?

MWIGURU
,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si wawakilishi wa wananchi, Hawa ni watu hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu....yaani hawa watu ni zaidi ya mashabiki wa CCM waliokunywa maji ya bendera ya chama...yaani wako teyari nchi iingie kwenye machafuko ilimradi ccm itawale milele...hawa watu ni zaidi ya propaganda.

Ombi langu nalielekeza kwa wananchi wa majimbo husika walikotokea wabunge hawa chonde chonde hakikisheni uchaguzi wa mwaka 2015 hawa watu hamuwachagui tena.

Pia nawaombeni viongozi wa CDM hakikisheni munapata watu bora na makini ambao mtawasimamisha kupambana na hawa watu (SUMU) kwenye majimbo husika....vinginevyo nchi itaingia kwenye machafuko ya hatari sana.

Nawasilisha kwa hoja pana.[/QUOTE
umewasahau wassira,lukuvi,ndugai na yule mbunge wa sikonge aliyesema watanzania wenye uchu na nchi hii wakazae
 
Basil Mramba-Ufisadi
Edward Lowassa-Ufisadi
John Chenge-Ufisadi
Anna Makinda-Ukihiyo na kuburuza bunge
Mohamed Dewji-Ufisadi kununua ule uwanja wa Mkullo
Mustafa Mkullo-Ufisadi
Anna Abdallah-Ufisadi
Mudhihir Mudhihir- Ufisadi
Sofia Simba-Ufisadi
Gosbert Blandess-Ufisadi
Shukuru Kawambwa-Uzembe
Jumanne Maghembe-Uzembe
George Mkuchika-Ufisadi
Adam Malima-Ufisadi na uhuni
Mathias Chikawe-Uzembe
John Komba-Ufisadi na Uzembe
Mary Nagu-Kughushi
Emanuel Nchimbi-Kughushi
endelea.....

Huyu Mudhihir ni wa jimbo gani?
 
Back
Top Bottom