Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

Status
Not open for further replies.
Ndio obsession yake hiyo. Kila akilala na kuamka yeye ni Slaa na Josephine tu basi!

Kudhibiti wizi wake pale makao makuu imekuwa kigezo cha kumshambulia rais Mtarajiwa Dr Slaa kila mara.Lakini tunamjua anayemtuma kutukana viongozi mtandaoni na kushambulia chama.Kwa mara nyingine tena namshauri aangalie kura ya maoni hapa JF kati ya Dr Slaa Vs Zitto.Anajisumbua bure kamwe hataweza kumzuia Dr Slaa kuingia Ikulu.
 
Mkuu Kimbunga tutasikia mengi kuelekea uchaguzi mkuu nina uhakika TUNTEMEKE ni mtu wa ndani kabisa ndani ya Chadema tena ni mbunge.

Hana ubunge wowote.Niamini maana ninamjua lakini kwa bahati mbaya mimi hanijui.Huyu ni mbeba box na mpika majungu mkubwa.Kamwe CDM haiwezi kupitisha mwendawazimu kugombea ubunge.
 
Last edited by a moderator:
TUNTEMEKE

Malalamiko wameyaleta kwako wewe kama nani? Tatizo kubwa la viongozi wa nchi hii ni wanafiki na urithi mkubwa wanaouacha kwa watoto na wafuasi wao ni unafiki tu. Siwezi kukushangaa wewe kutumia muda wako kuandika unafiki kwani ndio urithi ulinao kutoka kwa wanaokuongoza.
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naangalia U-tube nikakuta move ya "wachawi wakamatwa kanisani Mwanza!!"

Nikaingia JF nikakuta huu uzi wa Tuntemeke, haikunichukua hata sekunde kutambua kuwa Tuntemeke ndie yule mchawi wa kiume aliekuwa akitokea Kigoma kwenye ile move!!
 
Hana ubunge wowote.Niamini maana ninamjua lakini kwa bahati mbaya mimi hanijui.Huyu ni mbeba box na mpika majungu mkubwa.Kamwe CDM haiwezi kupitisha mwendawazimu kugombea ubunge.
Kama mnamjua Mbona hamumtimui?!siuseme tu mmekamatwa pabaya kwani nyinyi mmekua malaika hamkosei !
 
Hana ubunge wowote.Niamini maana ninamjua lakini kwa bahati mbaya mimi hanijui.Huyu ni mbeba box na mpika majungu mkubwa.Kamwe CDM haiwezi kupitisha mwendawazimu kugombea ubunge.

Mkuu Molemo hutaki tu lakini inaonekana Tuntemeke ni mtu wa ndani kabisa huko CDM kama alivyosema Ritz Halafu kuna kitu kingine kwamba watu wengi wa CDM hammujui TUNTEMEKE ni nani. Naambiwa siku mkimjua ni nani hasa zitaibuka bakora za kufa mtu. Wana CDM wengi wamekuwa wakihangaika kumfahamu ila siku ambayo niligundua kwamba hawamjui Tuntemeke ni nani ni siku ambayo Mama Josephine alipotamka kuwa ananijua mimi Kimbunga ati ni Tuntemeke. Nilicheka nikafanya juhudi hadi nikamjua Tuntemeke AKA kijukuu cha Mwakipande wa Bulongwa ni nani hasa.
 
Last edited by a moderator:
Kudhibiti wizi wake pale makao makuu imekuwa kigezo cha kumshambulia rais Mtarajiwa Dr Slaa kila mara.Lakini tunamjua anayemtuma kutukana viongozi mtandaoni na kushambulia chama.Kwa mara nyingine tena namshauri aangalie kura ya maoni hapa JF kati ya Dr Slaa Vs Zitto.Anajisumbua bure kamwe hataweza kumzuia Dr Slaa kuingia Ikulu.

Mkuu Molemo ina maana unamhusisha TUNTEMEKE na Zitto? Kumbe ni mpambano wa Urais ndani ya CDM; wewe ukiwa upande wa Dr. Slaa na TUNTEMEKE akiwa upande wa Zitto? Mkuu mbona Dr. Slaa hajatamka wazi kiwa atagombea Urais kupitia CDM mwaka 2015 inakuwaje wewe useme kuwa ...hataweza kumzuia Dr. Slaa kuingia Ikulu? Mkuu tibuni makundi hayo manake kama CCM kuna makundi na CDM kuna makundi hamuoni tutashindwa kuona tofauti. Naamini makundi ni sehemu ya siasa lakini mengine huumiza na kukiacha chama cha siasa kikiwa hoi
 
Last edited by a moderator:
Habari za kimbea zinanifanya saa nyingine kuingia hili jukwaa, saa nyingine ukiingia hili jukwaa na la udaku huoni tofauti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom