Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

Status
Not open for further replies.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Katika hali ambayo sio ya kawaida wabunge wa CHADEMA walaani kitendo cha chama chao kuwalazimisha watoe sh mil2.1 kwa kila mbunge wa CDM kwa ajili ya mchango wa M4C inayoanza leo mikoani. Wabunge hao wanasema kwamba mbona chama kina ruzuku ya zaidi ya mil 250 kwa kila mwezi na pia wabunge pia huchangia kila mwezi chama lakini pesa hizo zinaishia kuwalipa mishahara minono wakurugenzi pamoja na katibu mkuu anayelipwa mshahara zaidi na mil 7 kwa kila mwezi.

Pia wabunge hao wanalalamikia magari yao na wao wenyewe kuhudhuria mikutano hio wakati vipindi vya budget vikiendelea bungeni kwa sasa.wanalalamikia

a.kwa nini chama hakitambui mchango wao bungeni na sasa wanalazimishwa kutohudhuria vipindi vya bunge?
b.pesa ya ruzuku inakwenda wapi?
c.kwa nini hao wakurugenzi na katibu mkuu wasifanye hio kazi angali wanapata mishahara minono?
d.kwa nini pesa ya ruzuku inatumika sana kwa ziara ya mchumba wa slaa mikoani wakati hana cheo chochote ndani ya chama?
e.kazi ya wakurugenzi wa chama ni nini zaidi ya kugawana posho na mishahara na majungu yanayopikwa pale chamani dhidi ya wabunge wao?

Mwisho wanaomba chama kuwa makini na matumizi ya ruzuku ya chama na michango ya wahisani kuliko kufanya ujasilia mali wa kisiasa kama wanavyofanya sasa.
 
[h=2]Search: Search took 0.00 seconds.[/h]
 
Sijajua kama nia yako ni kuongeza posts au kutupotezea mda sisi tunaofungua huu uzi.

Anyway, kwaa kuwa unatumia ID fake, ungewataja hao wabunge wanaolalamika ungekuwa umelisaidia sana jukwaa letu la siasa na wala wasingeweza ku-kuulimboka.

Zaidi ya hapo naona hii habari ingeenda kule kwenye udaku kwa shigongo
 
katika hali ambayo sio ya kawaida wabunge wa chadema walaani kitendo cha chama chao kuwalazimisha watoe sh mil2.1 kwa kila mbunge wa chadema kwa ajili ya mchango wa m4c inayoanza leo mikoani.wabunge hao wanasema kwamba mbona chama kina ruzuku ya zaidi ya mil 250 kwa kila mwezi na pia wabunge pia huchangia kila mwezi chama lakini pesa hizo zinaishia kuwalipa mishahara minono wakurugenzi pamoja na katibu mkuu anayelipwa mshahara zaidi na mil 7 kwa kila mwezi.
pia wabunge hao wanalalamikia magari yao na wao wenyewe kuhudhulia mikutano hio wakati vipindi vya budget vikiendelea bungeni kwa sasa.wanalalamikia
a.kwa nini chama hakitambui mchango wao bungeni na sasa wanalazimishwa kutohudhulia vipindi vya bunge?
b.pesa ya ruzuku inakwenda wapi?
c.kwa nini hao wakurugenzi na katibu mkuu wasifanye hio kazi angali wanapata mishahara minono?
d.kwa nini pesa ya ruzuku inatumika sana kwa ziara ya mchumba wa slaa mikoani wakati hana cheo chochote ndani ya chama?
e.kazi ya wakurugenzi wa chama ni nini zaidi ya kugawana posho na mishahara na majungu yanayopikwa pale chamani dhidi ya wabunge wao?
mwisho wanaomba chama kuwa makini na matumizi ya ruzuku ya chama na michango ya wahisani kuliko kufanya ujasilia mali wa kisiasa kama wanavyofanya sasa.

Uozo mwingine. Pole sana dhaifu.
 
Mkuu wabunge lazima wachangie , hela yote ya chama inamtunza Slaa na Josephine, na imetumika kwenye harusi ya Slaa, teh teh teh ! kweli wajinga wali wao

Chadema kaeni chonjo CCM itawasambaratisha viongozi mapemaaaa kabla ya 2015. Chama kijengwe kutoka chini kwenda juu na si vinginevyo! Wabunge wahakikishe chama jimboni kina mizizi imara itakayowezesha yeyote atakayeteuliwa kugombea urais 2015 apate kura za kutosha kuingia Ikulu! Wananchi wana hamu ya kujiunga na chama likini hakuna ofisi za matawi, kata za kutosha.
 
katika hali ambayo sio ya kawaida wabunge wa chadema walaani kitendo cha chama chao kuwalazimisha watoe sh mil2.1 kwa kila mbunge wa chadema kwa ajili ya mchango wa m4c inayoanza leo mikoani.wabunge hao wanasema kwamba mbona chama kina ruzuku ya zaidi ya mil 250 kwa kila mwezi na pia wabunge pia huchangia kila mwezi chama lakini pesa hizo zinaishia kuwalipa mishahara minono wakurugenzi pamoja na katibu mkuu anayelipwa mshahara zaidi na mil 7 kwa kila mwezi.
pia wabunge hao wanalalamikia magari yao na wao wenyewe kuhudhulia mikutano hio wakati vipindi vya budget vikiendelea bungeni kwa sasa.wanalalamikia
a.kwa nini chama hakitambui mchango wao bungeni na sasa wanalazimishwa kutohudhulia vipindi vya bunge?
b.pesa ya ruzuku inakwenda wapi?
c.kwa nini hao wakurugenzi na katibu mkuu wasifanye hio kazi angali wanapata mishahara minono?
d.kwa nini pesa ya ruzuku inatumika sana kwa ziara ya mchumba wa slaa mikoani wakati hana cheo chochote ndani ya chama?
e.kazi ya wakurugenzi wa chama ni nini zaidi ya kugawana posho na mishahara na majungu yanayopikwa pale chamani dhidi ya wabunge wao?
mwisho wanaomba chama kuwa makini na matumizi ya ruzuku ya chama na michango ya wahisani kuliko kufanya ujasilia mali wa kisiasa kama wanavyofanya sasa.

Weka ushahidi kuhusu tuhuma zako? Vinginevyo ni umbea na majungu yenye lengo la kuhadaa wana wa nchi ili CCM iendelee kutunyonya
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu maana najua una hasira sana koz leo hapa moro tumewashikia pabaya magamba.
 
Imenibidi nijaribu kuijibu hii issue ya huyu mtu, kiukweli kabisa huyu jamaa kwa jinsi alivyoandika habari yake si kisomi hata kidgo.

Inawezekana ikawa kweli h
Hili jambo lipo lakini kwa jinsi alivyoiandika habari yake inatushawishi kuamini kiwa ni uzushi mkubwa kwani hakuna data alizoweka hapa ni kama udali hivi.

Mwandishi ilibidi atoe mifano na za data zake. Lakini hakuandika hata sourse ya habari hake hakuna.

Jamani urbu inabidi tufike mahali yijaribu kuziacha chuki zetu na kujalimaslahi ya kitaifa kwa ujumla. Huu ni unafiki wa hali ya juu kabisa just bla bla tu hapa.
 
Huitaji kuwasemea makamanda. Tupo nao kila leo vijiweni hatujawahi kuyaskia haya. Njoo kivingine jombaa.
 
lol, mkuu umefuka ile mbaya. Umetoa tuhuma bila ushahidi, walau hata ungetaja majina tu ingesaidia.
Naona upo kiumbea zaidi, kajipange upya, kwahili umechemka.
 
habari za udaku hapa sio mahali pake be in mind that no research no right to speak
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom