Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

Status
Not open for further replies.
kwel mkuu hata mimi cjui maana yake tujuzen wakuu

Operation sangara aims to bring together the CDM members through civic education while M4C aims to cemmentation of all the CDM members and citizens to get ready 4 changes that will be through chadema only.LINDA KURA,PIGA KURA,LINDA KURA,MABADILIKO, USHINDI.
 
Napenda kuwasikitikia vijana wenzangu mnaoshabikia bila kujua nini nyuma ya pazia na nini kinaendelea ndani ya cdm naona bado mnatumika bila kujijua mfano mnamuiga molemo wakati yeye anaposho na analipwa mshahara na chama na ni mwaka jana tu chama kilimuolea mke na kumpangishia nyumba.

vijana fuatilieni wenzenu waliopata mikasa wakiwa ndani ya harakati za chadema na chama kiliwapa msaada gani?mfano mdogo fuatili vijana waliokamatwa iramba maghalibi kwa kesi ya mauwaji halafu utajua undani wa cdm kwa vijana.

kuna mambo mengi sana nitawaletea ili myajue na muache kutumika maana najua mnasumbuliwa na emotion tu bila reason ya msingi
nimekaa kimya kwa mda ili kuona uelewa wenu na kama kunambunge hajalaani kitendo cha kuchangishwa aje hapa nimpe dose yake hapa

Mkuu,
Hapo kwenye red. Niliwahi kuwapa angalizo kama hili vijana wenzetu. Unajua tunahitaji changes,tatizo liko kwenye choosing the right change path. Inashangaza na kusikitisha sana pale tunapochagua kufanya changes kwa njia ya kumwaga damu! Ni kweli kwamba tuna shida au matatizo sana kiasi cha kuchagua damu iwe ndio njia ya kufanya mabadiliko? Tukiwa too emotional kwenye kuleta changes haitatusaidia chochote. Check and balance ndio msingi wa mambo yote.
 
Mifedha yote hiyo halafu kuna mjanja mmoja anazikopa! hapo sasa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom