Hongereni Wabunge kujipandishia mishahara huku Watumishi wa Umma wakiishi kwa mshahara kiduchu

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Nichukue nafasi kukipongeza CHAMA cha MAPINDUZI,BUNGE la JAMHURI ya MUUNGANO na WAHESHIMIWA sana WABUNGE wetu kwa KUJIPANDISHIA MISHAHARA MINONO kutoka TSH.13,000 000/=mpaka Tsh.18,000,000/=
Huku WATUMISHI wa Umma na Wastaafu wakiendelea kupata MISHAHARA KIDUCHU na PENSHENI kiduchu.

Uamuzi wa WABUNGE Kujiongezea MISHAHARA wakati Watumishi na Wananchi kwa jumla Wanaishi MAISHA MAGUMU sio suala la WANANCHI Kukaa KIMYA ni LAZIMA Tukemee UBINAFSI wa WABUNGE wa NCHI.

Ni Wazi WABUNGE hawapo kwa ajili ya KUWAPIGANIA wananchi ili VIPATO na MAISHA ya WANANCHI yawe BORA bali wapo kwa ajili ya KUJIPIGANIA wao na FAMILIA ZAO.

HAKIKA Ubinafsi UNAUMIZA sana.Nichukue tena NAFASI hii Kuipongeza CCM kwa KUWAPENDELEA WABUNGE na Kuwaacha Wananchi na Watumishi wa UMMA wakiishi MAISHA ya KIMASIKINI.

Soma
- Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho
 
Unawaonea wivu wabunge kujipandishia mishahara kuna mtu amekulazimisha kuwa mtumishi wa Umma?

Kwanini usirudi huku bush ukawa mkulima kama mimi ukawa unapiga pesa utakavyo?

Watumishi wa Umma mtapandishiwa Majini wakuu na siyo mishahara, endeleeni kuwa na subra!
 
Wabunge wamejipigia zile tangulia kaningoje, halafu wanavyo zipitia kama sio wao. Ila ndio hivyo wanakiwa wajipende wenyewe, then wawapende wananchi, daaah ila hii inchi........
 
Nichukue nafasi kukipongeza CHAMA cha MAPINDUZI,BUNGE la JAMHURI ya MUUNGANO na WAHESHIMIWA sana WABUNGE wetu kwa KUJIPANDISHIA MISHAHARA MINONO kutoka TSH.13,000 000/=mpaka Tsh.18,000,000/=
Huku WATUMISHI wa Umma na Wastaafu wakiendelea kupata MISHAHARA KIDUCHU na PENSHENI kiduchu.

Uamuzi wa WABUNGE Kujiongezea MISHAHARA wakati Watumishi na Wananchi kwa jumla Wanaishi MAISHA MAGUMU sio suala la WANANCHI Kukaa KIMYA ni LAZIMA Tukemee UBINAFSI wa WABUNGE wa NCHI.

Ni Wazi WABUNGE hawapo kwa ajili ya KUWAPIGANIA wananchi ili VIPATO na MAISHA ya WANANCHI yawe BORA bali wapo kwa ajili ya KUJIPIGANIA wao na FAMILIA ZAO.

HAKIKA Ubinafsi UNAUMIZA sana.Nichukue tena NAFASI hii Kuipongeza CCM kwa KUWAPENDELEA WABUNGE na Kuwaacha Wananchi na Watumishi wa UMMA wakiishi MAISHA ya KIMASIKINI.

Soma
- Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho
Nchi inajengwa na wenye moyo na inaliwa na wenye meno,so calm down comrade 😂,this is danganyika
 
Mpongeze Samia aliyewaongezea.

Wabunge huwa wanaomba tu, anayeamua aongeze au asiongeze ni Rais.
 
Back
Top Bottom