Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,287
- 10,702
Kuingia na division one sau na alama za juu sio kwamba ndo utapata matokeo mazuri
Chuo cha dit........ndio chuo bola kuliko udsm......kwani dit wanachukua wanafunzi toka technical schools ambao husoma masomo ya uhandisi tokea form one.........dit man ndo chuo bola udsm......hamna kitu.....st. Joseph uozo mtupu,mist kidogo wanajitahidi.......ukitaka kujua fanya utafiti wahandisi bola uliza wanatokea wapi
Karibu SUA wapo zipo kozi za kutosha za uhandisi, for moer information vist Welcome to Sokoine University of Agriculture (SUA)
st.joseph,then waweza sema udsm_coet
acha fix,sua wao wanasoma mizizi na udongo tu.
Hakunaga kama CBE
Engineering ip mnazungumzia? Ya kusoma vitu vingi na uzikuti katika mazingira ya kazi? Tunasoma masm,pic programming,embedded system,nasm,matlab,plc progamming,java,c++,c na compiler nyingiii.vp makampuni mangapi hapa tanzania vinatumia angalau plc na scada kwenye system zao? Engineer unaajiriwa planning section tanesco unafanya kazi ya kukagua wiring ya nyumba viumba vitatu,tanzania twachekesha kweli alaf mtu anakuja kusema chuo kinachotoa ma engeneer wazuri,badala ya kujiuliza ma engineer wa tz wanafanya kazi gani?
Heshma kwenu mathnker's,mwenye ufahamu juu ya vyuo vitatu,vinavotoa maingner wazur tanzania,atoe mchango wake