ASIE NA MAKUU
Member
- Aug 10, 2021
- 39
- 65
Wanabodi,
Nimekuja kwenu nikiwa naomba kufahamishwa kama kichwa cha habari kinavyojieza hapo juu.
Nakumbuka katika bajeti hii ya 23/24 ilitoa kipaumbele kwa wanafunzi wa mchepuo wa Science watakaokuwa wamepangiwa vyuo vya ufundi (Vyuo vya kati) kama MUST, DIT na ATC kuwa watasoma bure,na wale wengine wa fani za sanaa na biashara kuwa kutakuwa na utaratibu wa mkopo.
Je, katika dirisha hili hao wanafunzi wanaweza kuomba mkopo?
Na kama ni ndio naombeni utaratibu wake.
Ahsanteni