Vyuo vitatu vya kwanza kutoa good engineers

Chuo cha dit........ndio chuo bola kuliko udsm......kwani dit wanachukua wanafunzi toka technical schools ambao husoma masomo ya uhandisi tokea form one.........dit man ndo chuo bola udsm......hamna kitu.....st. Joseph uozo mtupu,mist kidogo wanajitahidi.......ukitaka kujua fanya utafiti wahandisi bola uliza wanatokea wapi

Kwa mazingira haya tuliyonayo ya kazi za kufunga na kufungua, technicians ni wazuri kuliko engineers. By the way engineering education ya chuo kama udsm inawaanda engineers kwenda kufanya kazi za design zaidi kuliko za maintenance. Ila ukosefu wa ajira ndiyo hivyo tena
 
Engineering ip mnazungumzia? Ya kusoma vitu vingi na uzikuti katika mazingira ya kazi? Tunasoma masm,pic programming,embedded system,nasm,matlab,plc progamming,java,c++,c na compiler nyingiii.vp makampuni mangapi hapa tanzania vinatumia angalau plc na scada kwenye system zao? Engineer unaajiriwa planning section tanesco unafanya kazi ya kukagua wiring ya nyumba viumba vitatu,tanzania twachekesha kweli alaf mtu anakuja kusema chuo kinachotoa ma engeneer wazuri,badala ya kujiuliza ma engineer wa tz wanafanya kazi gani?
 
Hiyo point mzee, naku-support 100% . Bongo tuamke, tumezidi kuigiza mambo muhimu.
 
Coet wanaandalia kwenda mbali ili kufanya innovation while wengine wanaandaliwa kwa operation&maintanance.Coet ni wazuri zaid!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom