Ni wakati Sasa vyuo vya Sanaa kutambua mchango wa Mtangazaji Masoud Masoud katika tasnia ya Muziki

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
570
1,229
Habari wanaJF.

Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii.

Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya Muziki.

Ningekuwa mm ndio serikali ningemtumia kufundisha Sanaa katika vyuo vyetu. Serikali mtumieni Manju wa Muziki Masoud Masoud kukuza Sanaa ya Muziki na mtambue mchango wake........
 
Japokuwa simjui ila naunga mkono hoja
1710706372429.png
 
Habari wanaJF.

Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii.

Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya Muziki.

Ningekuwa mm ndio serikali ningemtumia kufundisha Sanaa katika vyuo vyetu. Serikali mtumieni Manju wa Muziki Masoud Masoud kukuza Sanaa ya Muziki na mtambue mchango wake........
Masoud Masoud manju wa muziki
 
Back
Top Bottom