Vyeti vya Academics vya marehemu.....!

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
555
72
Habar wadau,

Nina wazo/maoni. Kwa nini kusingekuwepo utaratibu ambao utahakikisha mtu anapofariki basi hata vyeti vyake visitumike tena? Kama vile vyeti kurudishwa tena BARAZA/CHUO... Inauma sana nina ndugu yangu alimaliza form six na kutaka kujiunga chuo ila kwa bahati mbaya akafariki. Inatia uchungu sana kuviona vyeti vyake...
 
No need ni sawa kuwa na nguo za marehemu then akifariki basi zichomwe moto the same to certificate.
 
Lakin nguo huwa wanagawa kwa waliobaki na sio kuchoma..
 
Mimi nina Baba mkwe alifariki lakini vyeti vyake mtoto wake alivichukua vipo kwangu nikiangalia hayo ma-degree,masters unajiuliza kulala unasoma miguu kwenye ndoo ya maji basi unasema ahera utaenda ulivyo!!saa nyingine nasema nahitaji kuwa na uhelewa wakawaida na pesa ya kawaida utajiri sitaki its nothing when comes to the death!
 
True,brother!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom