Historia ya Mzee Kipusa

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Straight to the point;-

1. Nilizaliwa miaka ya 80s katika Wilaya fulani , kanda ya Ziwa. Mimi ni mtoto wa nne katika familia ya watoto watano.

Wenzangu wote walizaliwa hospitalini ...lakini Mimi peke yangu nilizaliwa nyumbani.

Zao yangu haikua ya kawaida kwani Mama anasema...wakati nazaliwa nilitoka na chupa ya uzazi , na hata mara baada ya kuichana, akakuta nimejiviringa kitovu shingoni mara tatu. Akanifungua na tukaendelea kulala mpaka Asubuhi.

Mama anasema...hakuna yeyote aliyemsaidia kunizaa Mimi usiku ule...mambo yote yalifanyika usiku wa manani kimya kimya...na Asubuhi ilivyofika majirani waliposikia sauti ya mtoto ndani akilia ndipo wakagundua Mama yangu kajifungua.

SHULE;-

1. Msingi

Kabla ya kuanza shule...nilikua na marafiki wengi wa utoto...walinipenda sana na tena nilipenda kukaa na wazee /watu wazima.

Wakati wa kuandikishwa shule ,...nilikua nikikataliwa kuwa sijafikisha mkono sikioni ...na hivyo kurudishwa nyumbani kila mwaka. Lakini kuna mwaka ambao baada ya kukataliwa...niliamua kuwa naenda kukaa jirani na hiyo shule ya msingi.....watoto wakitolewa nje kuandika A, E , I , O, U ( hewani na kwenye Ardhi ) nami nikawa nawajoin kuandika nao.

Mwalimu alivyokua akipita kukagua akawa anaona naandika vizuri. Ndipo nikaandikishwa kwà njia hiyo na kuanza masomo RASMI.

Kuhusu masomo darasani....kwà kweli sikuwahi kuwa juu ya tatu bora mpaka namaliza darasa la saba. Nilipenda sana somo la Hesabu.

2.Sekondari ( a )

Nilipata bahati ya kuchaguliwa kujiunga shule ya seminary . Nasema ni bahati kwasababu tulikua watoto zaidi ya 8000, na tulichaguliwa wawili tu Kati ya hao ( Mimi nikitokea parokiani , mwenzagu alitokea kigangoni - yeye sasa kazi yake ni Traffic Police)

Kusema kweli , seminary tulikua wengi kama vijana zaidi ya 80 darasani ..mchuano ulikua mkubwa sana ...lakini tuliomaliza form 4 tulikua hatuzidi 40 ( wengine walifukuzwa kwà makosa mbali mbali ya kinidhamu , kutofikisha wastani n.k )

Nakumbuka nikiwa Form two, niliiletea Heshima shule yangu kwà kuwa mwanafunzi bora ( namba Moja ) katika mitihani ya KITAIFA ya form two. Na nikawa katika top 10 kikanda. Jina langu liliandikwa kwenye gazeti la Msanii Africa enzi hizo.

Pia kutokana na kurekebisha swali la Hesabu lililokua limekosewa kutungwa / kutypiwa ,..ambalo kwenye mtihani huo nilitoa maelezo kuwa limekosewa na lilipaswa kuwa namna flani...Ilinifanya kuwashangaza wasahihishaji wa mtihani ule. Shule yangu ilipewa sifa hiyo na Rector wangu alifurahi sana na kunipa zawadi ya usd 10.

Baada ya hapo shule ilikua ngumu, nilipitia changamoto nyingi kama mwanafunzi lakini at the end niliondoka na division One.

Sekondari ( b )

Kiufupi, nilichaguliwa kujiunga PCM katika shule ya Shybush. Nilisoma kwà muda mfupi na baadae kuhamia shule nyingi tofauti tofauti ...ndio kusema ...nimesoma combination zaidi ya 3 ( PCM, PCB, HKL, EGM). Ilifikia hatua niliacha shule nikawa mtaani maana wengi hata wazazi walidhani sitaki shule lakini ukweli ni kwamba nilipewa uhamisho fake pale Shybush ambao ulinifanya nikataliwe katika shule tofauti tofauti.

Nilikaa mtaani...huku nikiwa naumia sana kuiacha shule. Lakini siku Moja nakumbuka nilienda shule Moja ya wazazi nikapita dirishani nikamuona Mwalimu akifundisha INTEGRATION. Nilivutiwa sana. Baada ya masomo , nilimfuata Mwalimu huyo na kumueleza uwezo wangu...huku nikimuomba awasihi wazazi wangu wasikate tamaa ya kunisomesha. Basi huyo Mwalimu akakubali kwà sharti la Mimi kufanya mtihani na wanafunzi wake. Nikaufanya ule mtihani wa hesabu vizuri sana na kuwashinda wanafunzi wake ( nilipata 96 ...huku mwanafunzi wake wa KWANZA akiwa na 80 )

Haraka sana akaongea na wazazi wangu, akanipeleka kwà Mkuu wa shule. Nikapelekwa staff office..kiufupi Mwalimu huyo alihakikisha naanza masomo mara Moja bila hata uniform. Na ndipo nikasoma for few months na kumaliza form 6 kupitia EGM. Watu wawili tu ndio tulipata division II katika darasa hilo.

ELIMU YA CHUO ;-

Nilisoma Chuo cha Uhasibu dar es Salaam. Kwà Advanced Diploma in Accountancy na pia kwà Postgraduate Diploma in Accountancy.

Misukosuko niliyoipata hapo chuoni ni kwamba...wakati nimemaliza Chuo , siku ya kwenda kuchukua transcript yangu ghafla nikaambiwa niligraduate kimakosa.
Kwamba , inaonyesha kuna mtihani nilipata sapu nikiwa mwaka wa pili na sikuufanya...hivyo Ili nipate transcript ni lazima niufanye mtihani huo.

Cha kushangaza ni kwamba;-

Katika Chuo kile huwezi kuruhusiwa kuingia 3 year kama hauja clear sup

Pili huwezi kukaa kwenye final exam ya 3rd year kama una supp.

Na tatu huwezi ku appear kwenye graduation booklet kama haujatimiza vigezo.

Hakika nilishangaa sana..nikaambiwa nifanye mtihani wa mwaka wa pili. Nikakubali, nikaufanya na kupata B+ , ...baadae tena nikaambiwa sio wenyewe ....nimefanya mtihani sio...wakanipa mwingine....bila hiana nao nikaufanya na kupata B.

Kutoa cheti wakawa hawataki kabisa, usumbufu mkubwa naenda pale Chuo nalia kama mfiwa. Vyote wameniambia kufanya nimefanya lakini kutoa cheti hawataki.

Baada ya miaka kadhaa nikarudi tena pale kujiunga na Postgraduate Diploma in Accountancy...wakanisajili wao...nikasoma vizuri na kuwa best student katika somo la OB ( Organization Behavior )

Nashukuru walinipa cheti cha Postgraduate lakini mpaka usawa huu nina transcript tu ya masomo ya Advanced Diploma in Accountancy. Niliwahi kujaribu kwenda kufuatilia...nilizungushwa sana.

KAZI

Ndoto yangu ilikua ni kufanya Kazi Serikalini...nakumbuka nikiwa mdogo nilikua nikienda Halmashauri kumwagilia miche ya miti katika ofisi ya Misitu ( mshahara ulikua ni kuruhusiwa kuwinda ndege katika eneo la Misitu, na sometimes nilikua nikipewa asali )

Nimewahi kujitolea kufundisha katika shule za sekondari kadhaa ( somo la Hesabu )

Nikiwa Chuo;- likizo zangu zote nilizitumia kwenda kujitolea kufanya Kazi kwenye Halmashauri zilizokua na upungufu wa wahasibu. Pia nimewahi kujitolea kufanya Kazi mpaka ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitengo cha Uhasibu enzi za marehemu Mhasibu MAZENGO.

Katika kujitolea huko, ndipo nilifanikiwa kupata ajira ya kudumu katika Halmashauri flani.

Kwà kuwa nilikua naweza computer vizuri pamoja na utenda kazi wangu...nilipewa kuhudumu vitengo vyenye watu wengi kama IDARA YA AFYA, ELIMU MSINGI NA SEKONDARI n.k nilikua nafanya Kazi mpaka weekends.

Nilipendwa sana na wakuu wa Idara mpaka Mkurugenzi. Nilipewa usafiri wa kurahisisha kufanya Kazi zangu.

Katika Halmashauri hii nilikuta kuna urasimu, UONEVU , Rushwa iliyokithiri pamoja na matumizi mabaya ya fedha. Kusema ukweli nilikua sipendi kuona mfano ;- mtu anakuja kufuatilia pesa yake ya matibabu na hapo hapo anaambiwa Ili itoke lazima atoe kitu kidogo.

Kiufupi, niliundiwa zengwe..nilipigwa sana fitina...mpaka nikatolewa kitengo cha Uhasibu na kupelekwa kitengo kingine ambacho hakikua na Kazi nilizozoea ( ilikua ni kufika ofisini kusaini na kupiga story mpaka muda wa Kazi kuisha )

Kiukweli , nilikua frastuated...nikaomba ruhusu kwenda Masomoni kwà gharama zangu mwenyewe Ili kupisha hali ile....na hapo ndipo kasheshe ikaanza. Kila nikiomba ruhusa file linapotea. Nikawa mtu wa kufunguliwa mafile mapya KILA wakati ;- Nilipata ruhusa kupitia Mkuu wa Idara..lakini file likifika Utumishi linapotea.

Baada ya kutoka Masomoni;- nikarudi kazini lakini nikaambiwa Mimi nilishafukuzwa siku nyingi..sitakiwi kuwa hapo. Niliambiwa kwà njia ya mdomo tu.

Kwakweli sikuelewa ...nikaendelea kutafuta Vibarua kwingine. Na ndipo siku Moja nikiwa naperuzi mtandao wa Utumishi wa Umma....nikasoma bandiko ambalo kinaeleza namna mtu anavyotakiwa kuondolewa kazini.

Hivyo nikarudi tena pale ofisini kuwaambia mbona mmenifukuza Kazi bila kunipa Barua? Na hapo ndipo wakaanza kuniandikia barua ambazo nilikua nikizipata kwà bahati tu, na hata nilivyokua nikiitikia Wito wao...walikua hawatokei. Na mwisho wakanifukuza Kazi kwa barua bila ya kusikilizwa.

Nilifanya uamuzi wa kuiandikia tume ya Utumishi wa Umma. Na tume ikawaomba watoe vielelezo 20 vilivyotumika kuniondoa kazini.

Hawa kuwa na kielelezo changu hata kimoja. Nakumbuka niliwahi kwenda kwà Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo akaniambia hawana nyaraka hata Moja ya kuhusu Mimi , nikawaonyesha zangu....ndipo wakaamini kweli nilikua Mtumishi wa Halmashauri hiyo.

Nikarudi tume. Kuwaeleza. Nikashauriwa ,..niwape barua ya first appointment na nyaraka zingine zilizoniondoa kazini Ili jambo liishe maana tayari lilikua limechukua muda mrefu sana.

Nilifanya hivyo. Nikawapa. Na baada ya miezi kadhaa...tume ikaamua kuwa nimefukuzwa Kazi ( technically ) kwakua sikujibu barua ya baraza la nidhamu ndani ya siku 45.

Nikakata rufaa kwà Rais SAMIA , nikajibiwa na Katibu Mkuu Kiongozi kwamba ....kwakua sikufuata 45 zile za mwanzo BASI wanakubalina na tume kunifukuza Kazi.

Kiufupi , niliumia sana.

SHUGHULI NYETI NILIZO WAHI KUZIFANYA KATIKA TAIFA HILI.

Nakumbuka kuna kipindi niliwahi kufika SCOAN , Nigeria kwà nabij TB Joshua....nilifika huko kupitia mpaka wa Ngara,...burundi, Congo, Afrika ya Kati , Cameroon mpaka Nigeria.

Nikiwa hapo kwà TB Joshua ....ndipo Karama, Kipaji , Kipawa vikaanza kufunguka. Nikawa nina uwezo wa kuona mambo kabla hayajatokea.

1. Niliona tukio la kuanguka ghorofa la TB Joshua ( ambalo liliua watu wengi ) na nikawaeleza wahusika ( namna ya kuzuia hali hiyo ) na mwezi mmoja baadae tukio lile lilitokea.

2. Wazo la kuonyesha Bunge kupitia Bunge TV nililitoa Mimi , hii ni baada ya uchaguzi wa kumpitisha Rais Magufuli kuisha. Kulikua na mambo mengi sana yaliyokua yaliyokua yakifanyika kinyume na ethics za habari.

Niliona Rais Magufuli akiuwawa siku ya kwenda kufungua Bunge. Nikafanya uamuzi wa kuandika barua na kuipeleka bungeni kwenye KITENGO cha Usalama...nikawashauri cha kufanya Ili suala hilo lisitokee.

Siku ya tukio, wakati Rais anaelekea kwenye eneo husika nilipomuona atapigiwa risasi...nikasali...ghafla television zote zikazimwa. Na baada ya dakika Moja ikarejeshwa TBC PEKE yake.

Ndipo , nikafanya uamuzi wa kwenda bungeni tena , nikiwa na barua nyingine...kuwaelekeza namna tukavyoweza kuihandle situation hiyo. Nilipata nafasi ya kukaa na kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dodoma...nikawaeleza nini kifanyike. Na nikatoa wazo la ...Bunge lionyeshwe na television. Moja inayoaminika ...vyombo vingine vikopi kupitia television hiyo.

3. Bodyguard wa KWANZA wa Rais Magufuli kubadilishwa. Mimi ndio nilitoa ushauri na baada ya siku tatu akabadilishwa na kuwekwa mwingine. Kuna tukio niliona la kuuwawa kwà Rais Magufuli.

4. Chokochoko za Uchaguzi wa Zanzibar

Kuna Uchaguzi Moja zanzibar ulitishia kuiingiza zanzibar matatizoni...mpaka Serikali ya MAPINDUZI ikaamua Makamu wa Rais awe wa CHAMA pinzani.

Wakati wa chochoko....nilienda zanzibar kushauri....nilipata bahati ya kumeet na Viongozi wakubwa . Na pia katika kongamano la Amani zanzibar nilipewa nafasi ya kuwashawishi vijana wenzangu kuienzi Amani.

5. Katika masuala ya Ulinzi na Usalama wa nchi yetu....nimejitolea kwà mambo mengi sana. Nakumbuka , kuna wakati kulikua na tatizo KiBiTi...na Polisi walikua wamezidiwa nguvu na wale Magaidi. Na tayari Serikali ikawa imetangaza kuwa itapeleka kikosi cha jeshi kule....

Kwà haraka Mimi nikaenda pale Wizara ya mambo ya ndani kitengo cha Ugaidi....nikawapa siri...na kuwahoji maswali ya kufikirisha....

Wakafuata nilichowashauri na hatimae waliweza kuwatoa Magaidi wale bila hata ya jeshi kufika kule.

6. Nimepambana sana na vita dhidi ya Rushwa pamoja na Ugaidi. Kwà kutoa Elimu na ushauri.

Lastly, nimewahi kusafisha makaburi ya waasisi wetu ( Hayati Mwalimu Nyerere pamoja na Hayati Karume ) .... kuna mambo mengi sana ya siri na ajabu niliyapata kupitia vitendo hivyo.

NINA FANYA NINI SASA....

Sijakata tamaa...nimestuck...nimekua mtu wa kukataliwa...KILA ninachojaribu kufanya hakizai matunda. Sijui NIMEMKOSEA nini MUNGU KIKUBWA. Now nafikiria kwenda mahala mazingira kama ya shakahola..nisubiri kufa.

Nina Ndugu zangu Wana uwezo mkubwa, wengine wana vyeo vikubwa vya juu kabisa Serikalini , nimewaomba wanishike mkono lakini kutoa ni moyo.

Watanzania NISAIDIENI....nakufa huku najiona. Nina amini BADO Ninao mchango mkubwa katika Taifa hili.

MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Note: Katika maisha yangu , nimewahi kuwa homeless mara kadhaa. Na kwà kua ninayo kadi ya bima ya Afya....mateso yalipokua yakinizidi (hasa baridi na njaa) ...nilikua naitumia kwenda kupata hifadhi kwenye wodi ya wagonjwa...kwa siku kadhaa. Hospital yeyote wakinikubalia natulia pale.

Nimefanya Kazi ndogo ndogo nyingi sana kukeep up na maisha....lakini to no avail.
 
Mkuu samahani VP upande wa familia mke na watoto?
Nina watoto. Lakini Mimi nimekataliwa kwasababu sina kipato.

I. Nilizaa na Mwanamke wa KWANZA watoto wawili, maisha yalivyoyumba akanikataa.

2 . Nikapata mwingine baada ya kutulia kwà zaidi ya miaka 6 ...nimezaa nae, lakini baada ya kupata mtoto ; naye kanikataa kibabe sana.

Nimekataliwa mpaka na Ndugu zangu wa Damu.

Mara mwisho Mama yangu mzazi aliniambia maisha yakinishinda nisirudi pale nyumbani kwani yeye ataondoka na kuniachia mji. Naamini alikua ananitia moyo nipambane zaidi.
 
Straight to the point;-

1. Nilizaliwa miaka ya 80s katika Wilaya fulani , kanda ya Ziwa. Mimi ni mtoto wa nne katika familia ya watoto watano.

Wenzangu wote walizaliwa hospitalini ...lakini Mimi PEKE yangu nilizaliwa nyumbani. Zao yangu haikua ya kawaida kwani Mama anasema...wakati nazaliwa nilitoka na chupa ya uzazi , na hata mara baada ya kuichana, akakuta nimejiviringa kitovu shingoni mara tatu. Akanifungua na tukaendelea kulala mpaka Asubuhi. Mama anasema...hakuna yeyote aliyemsaidia kunizaa Mimi usiku ule...mambo yote yalifanyika usiku wa saa manani kimya kimya...na Asubuhi ilivyofika majirani waliposikia sauti ya mtoto ndani alikilia ndipo wakagundua Mama yangu kajifungua.

SHULE;-

1. Msingi

Kabla ya kuanza shule...nilikua na marafiki wengi wa utoto...walinipenda sana na tena nilipenda kukaa na wazee /watu wazima.

Wakati wa kuandikishwa shule ,...nilikua nikikataliwa kuwa sijafikisha mkono sikioni ...na hivyo kurudishwa nyumbani kila mwaka. Lakini kuna mwaka ambao baada ya kukataliwa...niliamua kuwa nakwenda kukaa jirani na hiyo shule ya msingi.....watoto wakitolewa nje kuandika A, E , I , O, U nami nikawa nawajoin kuandika nao.

Mwalimu alivyokua akipita kukagua akawa anaona naandika vizuri. Ndipo nikaandikishwa kwà njia hiyo na kuanza masomo RASMI.

Kuhusu masomo darasani....kwà kweli sikuwahi kuwa juu ya tatu bora mpaka namaliza darasa la saba. Nilipenda sana somo la Hesabu.

2.Sekondari ( a )

Nilipata bahati ya kuchaguliwa kujiunga shule ya seminary . Nasema ni bahati kwasababu tulikua watoto zaidi ya 8000, na tulichaguliwa wawili tu Kati ya hao ( Mimi nikitokea parokiani , mwenzagu alitokea kigangoni - yeye sasa kazi yake ni Traffic Police)

Kusema kweli , seminary tulikua wengi kama vijana zaidi ya 80 darasani ..mchuano ulikua mkubwa sana ...lakini tuliomaliza form 4 tulikua hatuzidi 40 ( wengine walifukuzwa kwà makosa mbali mbali ya kinadhamu , kufikisha wastani n.k )

Nakumbuka nikiwa Form two, niliiletea Heshima shule yangu kwà kuwa mwanafunzi bora ( namba Moja ) katika mitihani ya KITAIFA ya form two. Na nikawa katika top 10 kikanda. Jina langu liliandikwa kwenye gazeti la Msanii Africa enzi hizo.

Pia kutokana na kurekebisha swali la Hesabu lililokua limekosewa kutungwa / kutypiwa ,..ambalo kwenye mtihani huo nilitoa maelezo kuwa limekosewa na lilipaswa kuwa namna flani...Ilinifanya kuwashangaza wasahihishaji wa mtihani ule. Shule yangu ilipewa sifa hiyo na Rector wangu alifurahi sana na kunipa zawadi ya usd 10.

Baada ya hapo shule ilikua ngumu, nilipitia changamoto nyingi kama mwanafunzi lakini at the end niliondoka na division One.

Sekondari ( b )

Kiufupi, nilichaguliwa kujiunga PCM katika shule ya Shybush. Nilisoma kwà muda mfupi na baadae kuhamia shule nyingi tofauti tofauti ...ndio kusema ...nimesoma combination zaidi ya 3 ( PCM, PCB, HKL, EGM). Ilifikia hatua niliacha shule nikawa mtaani maana wengi hata wazazi walidhani sitaki shule lakini ukweli ni kwamba nilipewa uhamisho fake pale Shybush ambao ulinifanya nikataliwe katika shule tofauti tofauti.

Nilikaa mtaani...huku nikiwa naumia sana kuiacha shule. Lakini siku Moja nakumbuka nilienda shule Moja ya wazazi nikapita dirishani nikamuona Mwalimu akifundisha INTEGRATION. Nilivutiwa sana. Baada ya masomo , nilimfuata Mwalimu huyo na kumueleza uwezo wangu...huku nikimuomba awasihi wazazi wangu wasikate tamaa ya kunisomesha. Basi huyo Mwalimu akakubali kwà sharti la Mimi kufanya mtihani na wanafunzi wake. Nikaufanya ule mtihani wa hesabu vizuri sana na kuwashinda wanafunzi wake ( nilipata 96 ...huku mwanafunzi wake wa KWANZA akiwa na 80 )

Haraka sana akaongea na wazazi wangu, akanipeleka kwà Mkuu wa shule. Nikapelekwa staff office..kiufupi Mwalimu huyo alihakikisha naanza masomo mara Moja bila hata uniform. Na ndipo nikasoma for few months na kumaliza form 6 kupitia EGM. Watu wawili tu ndio tulipata division II katika darasa hilo.

ELIMU YA CHUO ;-

Nilisoma Chuo cha Uhasibu dar es Salaam. Kwà Advanced Diploma in Accountancy na pia kwà Postgraduate Diploma in Accountancy.

Misukosuko niliyoipata hapo chuoni ni kwamba...wakati nimemaliza Chuo , siku ya kwenda kuchukua transcript yangu ghafla nikaambiwa niligraduate kimakosa.
Kwamba , inaonyesha kuna mtihani nilipata sapu nikiwa mwaka wa pili na sikuufanya...hivyo Ili nipate transcript ni lazima niufanye mtihani huo.

Cha kushangaza ni kwamba;-

Katika Chuo kile huwezi kuruhusiwa kuingia 3 year kama hauja clear sup

Pili huwezi kukaa kwenye final exam ya 3rd year kama una supp.

Na tatu huwezi ku appear kwenye graduation booklet kama haujatimiza vigezo.

Hakika nilishangaa sana..nikaambiwa nifanye mtihani wa mwaka wa pili. Nikakubali, nikaufanya na kupata B+ , ...baadae tena nikaambiwa sio wenyewe ....nimefanya mtihani sio...wakanipa mwingine....bila hiana nao nikaufanya na kupata B.

Kutoa cheti wakawa hawataki kabisa, usumbufu mkubwa naenda pale Chuo nalia kama mfiwa. Vyote wameniambia kufanya nimefanya lakini kutoa cheti hawataki.

Baada ya miaka kadhaa nikarudi tena pale kujiunga na Postgraduate Diploma in Accountancy...wakanisajili wao...nikasoma vizuri na kuwa best student katika somo la OB ( Organization Behavior )

Nashukuru walinipa cheti cha Postgraduate lakini mpaka usawa huu nina transcript tu ya masomo ya Advanced Diploma in Accountancy. Niliwahi kujaribu kwenda kufuatilia...nilizungushwa sana.

KAZI

Ndoto yangu ilikua ni kufanya Kazi Serikalini...nakumbuka nikiwa mdogo nilikua nikienda Halmashauri kumwagilia miche ya miti katika ofisi ya Misitu ( mshahara ulikua ni kuruhusiwa kuwinda ndege katika eneo la Misitu, na sometimes nilikua nikipewa asali )

Nimewahi kujitolea kufundisha katika shule za sekondari kadhaa ( somo la Hesabu )

Nikiwa Chuo;- likizo zangu zote nilizitumja kwenda kujitolea kufanya Kazi kwenye Halmashauri zilikua na upungufu wa wahasibu. Pia nimewahi kujitolea kufanya Kazi mpaka ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitengo cha Uhasibu enzi za marehemu Mhasibu MAZENGO.

Katika kujitolea huko, ndipo nilifanikiwa kupata ajira ya kudumu katika Halmashauri flani.

Kwà kuwa nilikua naweza computer vizuri pamoja na utenda kazi wangu...nilipewa kuhudumu vitengo vyenye watu wengi kama IDARA YA AFYA, ELIMU MSINGI NA SEKONDARI n.k nilikua nafanya Kazi mpaka weekends.

Nilipendwa sana na wakuu wa Idara mpaka Mkurugenzi. Nilipewa usafiri wa kurahisisha kufanya Kazi zangu.

Katika Halmashauri hii nilikuta kuna urasimu, UONEVU , Rushwa iliyokithiri pamoja na matumizi mabaya ya fedha. Kusema ukweli nilikua sipendi kuona mfano ;- mtu anakuja kufuatilia pesa yake ya matibabu na hapo hapo anaambiwa Ili itoke lazima atoe kitu kidogo.

Kiufupi, niliundiwa zengwe..nilipigwa sana fitina...mpaka nikatolewa kitengo cha Uhasibu na kupelekwa kitengo kingine ambacho hakikua na Kazi nilizozoea ( ilikua ni kufika ofisini kusaini na kupiga story mpaka muda wa Kazi kuisha )

Kiukweli , nilikua frastuated...nikaomba ruhusu kwenda Masomoni kwà gharama zangu mwenyewe Ili kupisha hali ile....na hapo ndipo kasheshe ikaanza. Kila nikiomba ruhusa file linapotea. Nikawa mtu wa kufunguliwa mafile mapya KILA wakati ;- Nilipata ruhusa kupitia Mkuu wa Idara..lakini file likifika Utumishi linapotea.

Baada ya kutoka Masomoni;- nikarudi kazini lakini nikaambiwa Mimi nilishafukuzwa siku nyingi..sitakiwi kuwa hapo. Niliambiwa kwà njia ya mdomo tu.

Kwakweli sikuelewa ...nikaendelea kutafuta Vibarua kwingine. Na ndipo siku Moja nikiwa naperuzi mtandao wa Utumishi wa Umma....nikasoma bandiko ambalo kinaeleza namna mtu anavyotakiwa kuondolewa kazini.

Hivyo nikarudi tena pale ofisini kuwaambia mbona mmenifukuza Kazi bila kunipa Barua? Na hapo ndipo wakaanza kuniandikia barua ambazo nilikua nikizipata kwà bahati tu, na hata nilivyokua nikiitikia Wito wao...walikua hawatokei. Na mwisho wakanifukuza Kazi kwa barua bila ya kusikilizwa.

Nilifanya uamuzi wa kuiandikia tume ya Utumishi wa Umma. Na tume ikawaomba watoe vielelezo 20 vilivyotumika kuniondoa kazini.

Hawa kuwa na kielelezo changu hata kimoja. Nakumbuka niliwahi kwenda kwà Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo akaniambia hawana nyaraka hata Moja ya kuhusu Mimi , nikawaonyesha zangu....ndipo wakaamini kweli nilikua Mtumishi wa Halmashauri hiyo.

Nikarudi tume. Kuwaeleza. Nikashauriwa ,..niwape barua ya first appointment na nyaraka zingine zilizoniondoa kazini Ili jambo liishe maana tayari lilikua limechukua muda mrefu sana.

Nilifanya hivyo. Nikawapa. Na baada ya miezi kadhaa...tume ikaamua kuwa nimefukuzwa Kazi ( technically ) kwakua sikujibu barua ya baraza la nidhamu ndani ya siku 45.

Nikakata rufaa kwà Rais SAMIA , nikajibiwa na Katibu Mkuu Kiongozi kwamba ....kwakua sikufuata 45 zile za mwanzo BASI wanakubalina na tume kunifukuza Kazi.

Kiufupi , niliumia sana.

SHUGHULI NYETI NILIZO WAHI KUZIFANYA KATIKA TAIFA HILI.

Nakumbuka kuna kipindi niliwahi kufika SCOAN , Nigeria kwà nabij TB Joshua....nilifika huko kupitia mpaka wa Ngara,...burundi, Congo, Afrika ya Kati , Cameroon mpaka Nigeria.

Nikiwa hapo kwà TB Joshua ....ndipo Karama, Kipaji , Kipawa vikaanza kufunguka. Nikawa nina uwezo wa kuona mambo kabla hayajatokea.

1. Niliona tukio la kuanguka ghorofa la TB Joshua ( ambalo liliua watu wengi ) na nikawaeleza wahusika ( namna ya kuzuia hali hiyo ) na mwezi mmoja baadae tukio lile lilitokea.

2. Wazo la kuonyesha Bunge kupitia Bunge TV nililitoa Mimi , hii ni baada ya uchaguzi wa kumpitisha Rais Magufuli kuisha. Kulikua na mambo mengi sana yaliyokua yaliyokua yakifanyika kinyume na ethics za habari.

Niliona Rais Magufuli akiuwawa siku ya kwenda kufungua Bunge. Nikafanya uamuzi wa kuandika barua na kuipeleka bungeni kwenye KITENGO cha Usalama...nikawashauri cha kufanya Ili suala hilo lisitokee.

Siku ya tukio, wakati Rais anaelekea kwenye eneo husika nilipomuona atapigiwa risasi...nikasali...ghafla television zote zikazimwa. Na baada ya dakika Moja ikarejeshwa TBC PEKE yake.

Ndipo , nikafanya uamuzi wa kwenda bungeni tena , nikiwa na barua nyingine...kuwaelekeza namna tukavyoweza kuihandle situation hiyo. Nilipata nafasi ya kukaa na kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dodoma...nikawaeleza nini kifanyike. Na nikatoa wazo la ...Bunge lionyeshwe na television. Moja inayoaminika ...vyombo vingine vikopi kupitia television hiyo.

3. Bodyguard wa KWANZA wa Rais Magufuli kubadilishwa. Mimi ndio nilitoa ushauri na baada ya siku tatu akabadilishwa na kuwekwa mwingine. Kuna tukio niliona la kuuwawa kwà Rais Magufuli.

4. Chokochoko za Uchaguzi wa Zanzibar

Kuna Uchaguzi Moja zanzibar ulitishia kuiingiza zanzibar matatizoni...mpaka Serikali ya MAPINDUZI ikaamua Makamu wa Rais awe wa CHAMA pinzani.

Wakati wa chochoko....nilienda zanzibar kushauri....nilipata bahati ya kumeet na Viongozi wakubwa . Na pia katika kongamano la Amani zanzibar nilipewa nafasi ya kuwashawishi vijana wenzangu kuienzi Amani.

5. Katika masuala ya Ulinzi na Usalama wa nchi yetu....nimejitolea kwà mambo mengi sana. Nakumbuka , kuna wakati kulikua na tatizo KiBiTi...na Polisi walikua wamezidiwa nguvu na wale Magaidi. Na tayari Serikali ikawa imetangaza kuwa itapeleka kikosi cha jeshi kule....

Kwà haraka Mimi nikaenda pale Wizara ya mambo ya ndani kitengo cha Ugaidi....nikawapa siri...na kuwahoji maswali ya kufikirisha....

Wakafuata nilichowashauri na hatimae waliweza kuwatoa Magaidi wale bila hata ya jeshi kufika kule.

6. Nimepambana sana na vita dhidi ya Rushwa pamoja na Ugaidi. Kwà kutoa Elimu na ushauri.

Lastly, nimewahi kusafisha makaburi ya waasisi wetu ( Hayati Mwalimu Nyerere pamoja na Hayati Karume ) .... kuna mambo mengi sana ya siri na ajabu niliyapata kupitia vitendo hivyo.

NINA FANYA NINI SASA....

Sijakata tamaa...nimestuck...nimekua mtu wa kukataliwa...KILA ninachojaribu kufanya hakizai matunda. Sijui NIMEMKOSEA nini MUNGU KIKUBWA. Now nafikiria kwenda mahala mazingira kama ya shakahola..nisubiri kufa.

Nina Ndugu zangu Wana uwezo mkubwa, wengine wana vyeo vikubwa vya juu kabisa Serikalini , nimewaomba wanishike mkono lakini kutoa ni moyo.

Watanzania NISAIDIENI....nakufa huku najiona. Nina amini BADO Ninao mchango mkubwa katika Taifa hili.

MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA
Maelezo meeeeengiiii!Ungeandika tu wewe ni kashindye/kasinde/kasindye.Blah blah nyiiiingiii utadhani unaomba huruma upate uenyekiti wa kamati ya harusi!
 
Mmh historia yako inafikirisha sana lakini kwa mtazamo wangu kuna mahali huko sekondari kuna watu walichungulia nyota yako wakaona nguvu yake na kuamua kukupiga na kitu kizito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom