DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Pamoja makamanda,fikeni mpaka Namtumbo
Tatizo la kusini hawawaamini wachaga wa kaskazini!
mkija kusini muje na adabu zenu
sera za nassari mziache huko huko kaskazin
tena huyo dogo jinga msije nalo huku
mtoto huyo vipiii??
Mtoto nassari hashikikiiiii...??
Hashughulikiiiii...!
Mtoto sio ridhkiiiii...!
Mtoto si mali kituuu.
Na wala hajali kituuu..
Aitwa mtoto wa watuuuu..!
Kusini mje na adabu zenu...!
rip cufkusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
Tatizo la kusini hawawaamini wachaga wa kaskazini!
mkija kusini muje na adabu zenu
sera za nassari mziache huko huko kaskazin
tena huyo dogo jinga msije nalo huku
mtoto huyo vipiii??
Mtoto nassari hashikikiiiii...??
Hashughulikiiiii...!
Mtoto sio ridhkiiiii...!
Mtoto si mali kituuu.
Na wala hajali kituuu..
Aitwa mtoto wa watuuuu..!
Kusini mje na adabu zenu...!
Wakazi gani hao?!!...si wana oganaiz muvumenti ya kujitenga na sisi...au?...
mkija kusini muje na adabu zenu
sera za nassari mziache huko huko kaskazin
tena huyo dogo jinga msije nalo huku
mtoto huyo vipiii??
Mtoto nassari hashikikiiiii...??
Hashughulikiiiii...!
Mtoto sio ridhkiiiii...!
Mtoto si mali kituuu.
Na wala hajali kituuu..
Aitwa mtoto wa watuuuu..!
Kusini mje na adabu zenu...!
Kusini ndio point pekee iliyosalia ya kukamilisha ukombozi 2015.
kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
Tatizo la kusini hawawaamini wachaga wa kaskazini!
Chama cha Wachaga kinakuja Umakondeni..... Mnaanza na sera zipi?
wanaanza na sera ya udini kwanzaChama cha Wachaga kinakuja Umakondeni..... Mnaanza na sera zipi?