Vua gamba vaa gwanda kutingisha kusini

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya Kanda ya Kusini, Lindi na Mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na uwajibikaji serikalini. Hayo yalisemwa na Katibu wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika.

Amesema operesheni hiyo imelenga kushughulikia mambo matatu;

  1. kusimamia uwajibikaji katika ngazi zote za serikali, ili kuhakikisha changamoto zote zinazolikabili taifa zinashughulikiwa.
  2. kutoa elimu ya kisiasa kwa umma kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
  3. kujenga organaizesheni ya chama mijini na vijijini.
Amesema mamuzi ya kupelekwa nguvu za operesheni hiyo katika mikoa ya Kanda ya Kusini yalifikiwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema.
 
sawa sawa
 
kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
 
Hizi attitude za kupandikizwa ndo zinazo wagharimu watu wengi wa kusini na baadhi ya maeneo mengine ya nchi hili limepelekea hata level ya maendeleo huku iendelee kusuasua tofauti na kwingine..ila wakiona elimu ya kujitambua inayolewa na CDM ni gharama waendelee kujaribu magamba! Kupanga ni kuchagua! kama wataendele kunyata wakati wenzao wa kanda ya ziwa,kaskazini na mbeya wanakimbia shauri yao.
 
Back
Top Bottom