Nilikuwa natumia pia, sijuwi mpuuzi gani kawashtua hawa.hiyo 200 kwa saa sijui nani aliwashtua hawa airtel, ilikuwa ni unlimited 24hrs na nilikuwa nashusha mpaka 55gb kwa siku
Niko na voda ya Tsh.8,000/= kama kawa Usiku mwendo wa *102*250# ila wakisitisha hii mambo Maumivu asee maana hua naanza kudownload then napause [ikifika saa 5 ni mwendo wa kuresume + speed yakutosha Voda rocks bhana
Kama upo eneo la zantel wana 3g hio ya 4000 kwa mb600 ndo mbadala ila kama upo mikoani huko maumivu itabidi ikate elf 8
Hi hi hi hi hi :lol:Mabosi kama nyie 20gb kwa laki 2 airtel ndo bundle yako
Unaungaje sababu wengine siku hizi imeota mbawacha kushangaza airtel mpaka sasa hivi ninaweza kuungaa 400mb!
cha kushangaza airtel mpaka sasa hivi ninaweza kuungaa 400mb!
mkuu, naona kwenye tigo mwezi ya 8500 wameandika 50gb kwenye *148*01# hapa naona sijawapataGuys katika pita pita zangu nkaona niwatafutie viwango vya internet ambavyo ni latest vya mitandao yote ili tuweze kuangalia wapi pa kuegemea.
vodacom packages
Hawa jamaa viwango vyao vipya hawana mpinzani i think wapo best navyo ni kama ifuatavyo.
bei (tsh) bundle mda 250 25mb siku 450 50mb siku 700 100mb siku 2,500 150mb wiki 7,500 500mb wiki 10,000 unlimited wiki 8,000 500mb mwezi 15,000 1gb mwezi 20,000 5gb mwezi 30,000 unlimited mwezi ***** ***** *****
source: bonyeza *149*01# kuona ukiwa na line ya voda
tigo packages
Hawa wanafatia sema wanalimit speed hio weakness yao. Jinsi bundle inavokua kubwa na speed inaongezeka. So bundle ya bei ghali utapata speed kubwa. Bundle zao zipo kama hivi
bei (tsh) bundle mda 450 20mb siku 2500 150mb siku 4500 250mb siku 2800 150mb wiki 10,000 750mb wiki 25,000 2gb wiki 8500 600mb mwezi 35,000 3gb mwezi 55,000 5gb mwezi 99,000 10gb mwezi
Source: *148*01# kwa line yako ya tigo
zantel packages
Hawa nimeona bundle nzuri replacement ya ile ya airtel 2500 ambayo ni bronze sh 4000 unapata mb 600 kwa mwezi special kwa watu wanaopenda tumia simu nazo bundle zao zipo hv
bei (tsh) bundle mda 1000 50mb siku 3000 300mb siku 10,000 unlimited siku 3 7000 1gb wiki 4000 600mb mwezi 20,000 5gb mwezi 40,000 8gb mwezi 90,000 14gb zaid ya mwezi 140,000 gb25 zaid ya mwezi
Source Find your Rhythm
airtel packages
walijizolea umaarufu kwa mb400 kwa 2500 ila bundle zao mpya ni ghali wajirekebishe zipo kwa muda na kwa data
-kwa muda
muda bei(tsh) saa 200 siku 500 wiki 10,000 mwezi 3000
-kwa data
bei (tsh) bundle mda 1500 25mb nil 2500 150mb nil 10,000 250mb nil 12,000 500mb nil 15,000 1gb nil 25,000 2gb nil 30,000 3gb nil 45,000 5gb nil 70,000 8gb nil 140,000 15gb nil 200,000 20gb nil
Bonyeza *154*44# kwa airtel
Ni hayo tu
hiyo 200 kwa saa sijui nani aliwashtua hawa airtel, ilikuwa ni unlimited 24hrs na nilikuwa nashusha mpaka 55gb kwa siku