viwango vya internet vipya mitandao yote tanzania

Niko na voda ya Tsh.8,000/= kama kawa Usiku mwendo wa *102*250# ila wakisitisha hii mambo Maumivu asee maana hua naanza kudownload then napause [ikifika saa 5 ni mwendo wa kuresume + speed yakutosha Voda rocks bhana
 
me modem yangu ni zte mf 190 nisaidieni kuichakachua ili nchague bundle nnayoitaka wa mandao woote
 
hiyo 200 kwa saa sijui nani aliwashtua hawa airtel, ilikuwa ni unlimited 24hrs na nilikuwa nashusha mpaka 55gb kwa siku
 
Kwa sasa tunaibiwa. Nafikiri lazima tuone namna ya kufanya kupitia jukwaa hili, kweli ni tofauti kabisa na miezi 2 au mmoja uliopita. Hebu tujifungie vyumbani na tuje na jibu la pamoja mi sikubali kuibiwa kijinga hivi.
 
Niko na voda ya Tsh.8,000/= kama kawa Usiku mwendo wa *102*250# ila wakisitisha hii mambo Maumivu asee maana hua naanza kudownload then napause [ikifika saa 5 ni mwendo wa kuresume + speed yakutosha Voda rocks bhana

Hiyo code inaleta nini hasa? Nimejaribu kuibonyezabadala yake imenipongeza na kuniambia nianze unlimited calls na internet saa 5 usiku. Sasa hiyo 8,000/= ndo nini?
 
KiongoZ mbona hivi viwango vya voda sioni tofauti yoyote??naona ni vile vile tu tangu zamani..
 
ALAFU WANAKWAMBIA TANZANIA KUNA MKONGE BULLSHIT BADO KUNA BUNDLE ZA VOLUME BONGO KUWA NAA INTERNET NI ANASA KUNATAKIWA KUWE NA BUNDLE ZA SPEED WENYE UWEZO MDOGO SPEED YAO INAANA 1mbps wale wakati 3mbps heavy users ziwe zinafika mpaka 20mbps unaweza mpaka ku play games online watu wa ma torrent ndio packages zao hizi sasa wewe unanipa 64kbps kudownload mp3 yenyewe nasubiri
 
Mabosi kama nyie 20gb kwa laki 2 airtel ndo bundle yako
Hi hi hi hi hi :lol:
Umenifurahisha sana mkuu kwa kuniita bosi!
[KULINGANA NA UMRI WANGU, SISTAHILI KABISA HATA KUITWA "Mkuu" ukipenda hata niite "Mdogo Wangu EMPTY --> au DOGO EMPTY Ila sema kwa heshima zaidi ya member husika ndo mana utakuta mtu anaitwa Mkuu EMPTY, Mkuu chief-mkwawa n.k]
Kusema kweli, mimi katika maisha yangu niliwahi kununua bando ya mwezi ya zamani (Zantel) Tsh. 15,000 mara 1 tu, kama kawaida yangu mimi bundle yangu ni siku 50 mb zantel.
Unaweza kushangaa nawezaje kushinda net muda mrefu na hiyo 50 mb, nina uchawi huwa nafanya.
Ni upi basi?
Chukulia nimejiunga hiyo 5
mb halafu zikaisha, ili uendelee ku-browse;utie ndoo kadhaa ambayo ndo "utanyonywa" zaidi na ISP husika.
Hapa huwa zinabakia mb 3.** kwa zantel pindi bundle ikiisha. NINACHOFANYa ni kutumia certain software ambayo ina uwezo wa kuzimaliza hizo mb zilizobaki so unakuwa kama vile hujajiunga na bundle yeyote I.E (kama vile ile bundle imeisha muda wake). [Mimi si IT so siwezi eleza hasa nini kinatokea ila hope umepata mwanga.]
So, najiunga tena na bundle yangu ya kawaida 50 MB siku.
Kuhusu MITANDAO MENGINE UKIACHA "Zantel" sijawahi tumia hiyo.
Ondoa kabisa MKUU WANGU hayo mawazo ya 20 G.B Wakati hata 1 GB inanishinda.
Ooh! Sorry kama nimewaboa! :popcorn:
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda sana TTCL package ya Banjuka! Tamu ukiwa na IDM, saa moja Tsh.500, haijalishi unapakua gb ngapi!
 
Nimeshangaa hata bando za bb nazo zimeshuka japo kimsingi bado ni ghali. Kutoka elfu ishirini mpaka kumi na saba jero.
 
me tigo huwa wananipa sms 100 dk 15 na mb 50 kwa siku kwa 450 tu..hawa ndo wapo cheap kwa mtumiaji wa kawaida wa simu kuliko wengine wote
 
Guys katika pita pita zangu nkaona niwatafutie viwango vya internet ambavyo ni latest vya mitandao yote ili tuweze kuangalia wapi pa kuegemea.

vodacom packages
Hawa jamaa viwango vyao vipya hawana mpinzani i think wapo best navyo ni kama ifuatavyo.

bei (tsh)bundlemda
25025mbsiku
45050mbsiku
700100mbsiku
2,500150mbwiki
7,500500mbwiki
10,000unlimitedwiki
8,000500mbmwezi
15,0001gbmwezi
20,0005gbmwezi
30,000unlimitedmwezi
***************

source: bonyeza *149*01# kuona ukiwa na line ya voda

tigo packages
Hawa wanafatia sema wanalimit speed hio weakness yao. Jinsi bundle inavokua kubwa na speed inaongezeka. So bundle ya bei ghali utapata speed kubwa. Bundle zao zipo kama hivi

bei (tsh)bundlemda
45020mbsiku
2500150mbsiku
4500250mbsiku
2800150mbwiki
10,000750mbwiki
25,0002gbwiki
8500600mbmwezi
35,0003gbmwezi
55,0005gbmwezi
99,00010gbmwezi

Source: *148*01# kwa line yako ya tigo

zantel packages
Hawa nimeona bundle nzuri replacement ya ile ya airtel 2500 ambayo ni bronze sh 4000 unapata mb 600 kwa mwezi special kwa watu wanaopenda tumia simu nazo bundle zao zipo hv

bei (tsh)bundlemda
100050mbsiku
3000300mbsiku
10,000unlimitedsiku 3
70001gbwiki
4000600mbmwezi
20,0005gbmwezi
40,0008gbmwezi
90,00014gbzaid ya mwezi
140,000gb25zaid ya mwezi


Source Find your Rhythm

airtel packages
walijizolea umaarufu kwa mb400 kwa 2500 ila bundle zao mpya ni ghali wajirekebishe zipo kwa muda na kwa data

-kwa muda

mudabei(tsh)
saa200
siku500
wiki10,000
mwezi3000

-kwa data

bei (tsh)bundlemda
150025mbnil
2500150mbnil
10,000250mbnil
12,000500mbnil
15,0001gbnil
25,0002gbnil
30,0003gbnil
45,0005gbnil
70,0008gbnil
140,00015gbnil
200,00020gbnil

Bonyeza *154*44# kwa airtel
Ni hayo tu
mkuu, naona kwenye tigo mwezi ya 8500 wameandika 50gb kwenye *148*01# hapa naona sijawapata
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom