viwango vya internet vipya mitandao yote tanzania

Mi nimestick na ile voda ya usiku tu hadi unakosa cha kudownload sometime.

Na mpaka sasa sjajua mwisho wa speed ya voda hivi tz hamna modem za 14.4 mbps? Maana hizi za 7.2 zinajaa

Makampuni ya simubyana tudharau sana mpaka sasa tume stick kwenye 7.2Mbps,
kwani nikitumia lumia 900 ina 42Mbps kama modem italeta +impact??
 
Makampuni ya simubyana tudharau sana mpaka sasa tume stick kwenye 7.2Mbps,
kwani nikitumia lumia 900 ina 42Mbps kama modem italeta +impact??

Kama mtandao unasuport yap utapata 5MBps ndio.

Paje alituletea ile thread ya modem ya zantel ya 21MBps akaeka na screenshot ya zaidi ya 1MBps ya download speed.
 
cha kushangaza airtel mpaka sasa hivi ninaweza kuungaa 400mb!

Asikidanganye mtu aisee hao jamaa ni wezi tu, hiyo wanayokupa kama mb 400 kwa 2500/= huwa ni chini ya hapo,ukitaka kuamini tumia hiyo line kwenye Moderm dakika 0 kitu unaambiwa bundle imeisha,wanajidai wanatoa 400 inawezekana ni mb 100, labda utumie ile njia ya *154*44# na sio njia ya kutuma neno Internet kwenda 15444,Airtel siku hizi Majambazi tu
 
Hapana mkuu,mimi huwa natumia kwenye simu na zinaisha kihalali kabisa may be umeturn on automatic updates kwenye pc yako au kuna softwares zinazoupdate automatically eg.4sync ikiwa on inakula bundle hamna mfano...
 
2000 kwa 100mb mwezi. Hii kitu ipo vodacom pekee. Kama kasimu kako kana uwezo mdogo hii inakutosha.
 
ile bundle ya 4,000 ya zantel kwa mwezi sio kwa ajili ya simu. Niliwapigia zantel wenyewe wakaniambia kuwa ile bundle ni ya kwenye modem zao za ezynet. Na hata ukijaribu kujiunga kwa simu, ukishaichagua ile bundle inakuja sehemu inayokuuliza ujaze "CDMA number" yako. Na CDMA ni mpaka uwe na zile modem zao za zantel. So sijui kama kuna njia ya kuweza kuipata hiyo bundle ya 4,000 kwa kutumia simu, ila inayokubali ya kwenye simu ni ile ya 1,500/- kwa mwezi ambayo unapata 150MB tu!
 
Hapana mkuu,mimi huwa natumia kwenye simu na zinaisha kihalali kabisa may be umeturn on automatic updates kwenye pc yako au kuna softwares zinazoupdate automatically eg.4sync ikiwa on inakula bundle hamna mfano...

Dah! Nime2mia hiyo tokea enzi za zain, ucku wa jana mwezi ukawa umeisha, asubuhi nime2pia kabuku 5 kangu nikijua ntajiunga kama kawaida kwa 2500, jamaa wamekata 3500 na kunipa mb 500, ku2mia kwa siku 10. Najuuuuta kuwafaham.
 
Back
Top Bottom