kitomari xxiv
JF-Expert Member
- Sep 26, 2021
- 1,275
- 12,238
Mtu anaanza kukupa nauli, msosi, vinywaji, analipa na guest, bado akununulie chai asubuhi, akupe na pocket money! M'badilike sasa na nyie muone mna kila sababu ya kuchangia ukaribu wenu kama mmoja ata cover misosi na vinywaji, mwingine alipe chumba na nauli, na hapo kila mtu atakua na uchungu na mwenzie na kila mtu atakua na raha na mwenzie! Tofauti na hapo itakua ni kununua mapenzi
Babra kajifungua!!!??? Ujinga mwingne huu
Kwani Babra siyo mwanamke mkuu?Babra kajifungua!!!??? Ujinga mwingne huu
Ni mwanamke lakn hyo picha ni ya mtoto wa Zimbwe' halafu alipata mimba lini mpaka ajifungue wakat juzi alikuwa world cup?Kwani Babra siyo mwanamke mkuu?
View attachment 2574922
Electrical Engineering to be specific....
Mi hata najua basi mkuu.Ni mwanamke lakn hyo picha ni ya mtoto wa Zimbwe' halafu alipata mimba lini mpaka ajifungue wakat juzi alikuwa world cup?
Tunaomba mwendelezo tafadhali bwana Mshana jr
Halafu bado upambane mpaka umfikishe kileleni. Usipomfikisha - hata kama tatizo ni lake - bado utaenda kusemwa kuwa hauko vizuri kunako sita kwa sita. Wanaume kweli tumeumbiwa mateso!Mtu anaanza kukupa nauli, msosi, vinywaji, analipa na guest, bado akununulie chai asubuhi, akupe na pocket money! M'badilike sasa na nyie muone mna kila sababu ya kuchangia ukaribu wenu kama mmoja ata cover misosi na vinywaji, mwingine alipe chumba na nauli, na hapo kila mtu atakua na uchungu na mwenzie na kila mtu atakua na raha na mwenzie! Tofauti na hapo itakua ni kununua mapenzi
Washenzi sanaHalafu bado upambane mpaka umfikishe kileleni. Usipomfikisha - hata kama tatizo ni lake - bado utaenda kusemwa kuwa hauko vizuri kunako sita kwa sita. Wanaume kweli tumeumbiwa mateso!
VIP maisha yake kwa sasa
Inaitwa Mikopo umiza...ndo watoa mikopo au?