FB_IMG_16805048301593022.jpg
 
Mtu anaanza kukupa nauli, msosi, vinywaji, analipa na guest, bado akununulie chai asubuhi, akupe na pocket money! M'badilike sasa na nyie muone mna kila sababu ya kuchangia ukaribu wenu kama mmoja ata cover misosi na vinywaji, mwingine alipe chumba na nauli, na hapo kila mtu atakua na uchungu na mwenzie na kila mtu atakua na raha na mwenzie! Tofauti na hapo itakua ni kununua mapenzi
 
Halafu bado upambane mpaka umfikishe kileleni. Usipomfikisha - hata kama tatizo ni lake - bado utaenda kusemwa kuwa hauko vizuri kunako sita kwa sita. Wanaume kweli tumeumbiwa mateso!
 
Wanabembeleza sana Hawa watu na wanaangalia sehemu potential, Sasa sijajua inakuwaje.

Ila walovyonitokea nikawatoa mbio mapema sikutaka waongee lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom