xactly! Sasa hiyo ya juu yenye ni low cut ndo wakaka wanakwazika (wengine wanapenda tena nimewahi kusoma humu JF wenyewe wame confess wakiona wadada wamevaa low cut jeans afu na hiyo ngozi yetu laini ikionekana na ile nanihii bas ina wavutia)
Mimi wala hawanisumbui. Nina watoto wa ndugu zangu wanapiga kata K kwa kwenda mbele. Ni utoto tu wakikua wataacha. Ushaona mtu anaenda ofisini na kata K. Naona ni haki yao kuenjoy ujana.

sijaelewa kwa nini mnakwazika

na skinny jeans za kike.....

Tatizo ni fashion. Ni ngumu sana kupata jeans ya kuanzia kiunoni. Sema solution ni kuvaa blouz kubwa. Nimesha notice hata maduka makubwa hamna jeans za kufika tumboni these days.

teh teh teh teh lolz

sawa bana..
Kama hawana pesa ya kununua boxer?!Embu waache na wao waonyeshe walichopewa!!!

unamaanisha hizi??
duuuhhhh
sijui nikufukuzie
au nikuache tu .......
Na we kwa nini uliache hii style..
si nilikuwa nakuona kipindi kile
una buruza mguu wa kulia mbele
na suruali magotini khaaaa..
Mmmmh,
Lizzy na wewe unaonyesha ulichopewa au unachuuza wenzio tu?
mmmmhhhhhh
itabidi nijinunulie miwani
sababu nilikuwa nauhakika ni wewe ...
FafanuaMi napenda kuangalia tu bana!

Uporoto samtaimu anatumia jina langu kutongozea warembo (jina lake, anatafutwa na polisi wa mpakani) , isije ikawa alijilipua na kwako pia?

BTW: mimi nakuwa stembeagi peke yangu, nakuwa na bodyguards all ze time.