Tujifunze Kujikubali!

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
3,527
6,524
Kuna mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu na Katu hatuwezi kuyabadilisha hata kidogo, huenda yanatukosesha Raha au kutufanya tusijiamini mbele za watu.

Fuatana nami ule Asali!

Kuna msemo unasema ukishindwa kulibadilisha Jambo basi likubali jinsi lilivyo, hakika hawakukosea kabisa,ukilikubali linakuwa sio tatizo tena na linakuwa sehemu ya Maisha yako.

Kuna watu tumeumbwa warefu,wafupi,wembamba na wanene,Kwa kuongezea Kwa wanawake wengine Wana mashepu Kama wamejiumba wenyewe na wengine bahati nzuri hawana,nasema bahati nzuri kwasababu kila kitu hutokea kwasababu,ambayo huenda Mimi na wewe hatujui.

Hivyo Kwa umbile lolote ambalo unalo haijalishi watu wanalichukuliaje huko nje,wewe usiwe sehemu ya mtazamo wao wala usiwe sehemu ya maono Yao juu ya umbile husika,wala usiruhusu kukwazika Kwa maneno Yao,kwasababu Hilo umbo ndio linakufanya wewe kuwa kama wewe. Na hakuna atakaye weza kukubadilisha cha msingi kuwa na fahari Kwa jinsi ulivyo.

Mara nyingi kinacho tukosesha raha sio maneno au mitazamo ya watu Bali ni mitazamo yetu wenyewe ndani ya nafsi zetu,utakapo kubali kuwa ufupi ni tatizo ndani ya nafsi yako basi ujue unajiangamiza wewe mwenyewe,utakapo kubali kuwa wembamba ni tatizo ndani ya nafsi yako basi unajiangamiza wewe mwenyewe,utapoona unene ni tatizo hakika utajikosesha raha wewe mwenyewe. Ingawa unene kupita kiasi si mzuri Kwa afya yako kama tunavyoambiwa na wadau WA afya,kama ni wa asili haupunguziki huko nje ya uwezo wako ukubali Tu na kuwa na Amani.

Tumeumbwa tofauti na Mwenyezi Mungu Kwa makusudio maalumu,kama vile ambavyo kuna wazungu,waafrika,wahindi na kadhalika,huwezi kusema kwanini Mimi sikuumbwa mzungu au mchina au mjapani,tumejikubali kama waafrika kwasababu ndio majaliwa yetu na tuna fahari kubwa kuwa watu weusi.

Furaha ya kweli inatoka ndani yako,utakapo jikubali jinsi ulivyo hata wengine ni rahisi kukukubali pia,usikubali kupimika Kwa vipimo vya watu wengine, kama wao wanaona urefu ni dili wewe furahia Kimi chako ulicho nacho kwani ndio wewe halisi,usijaribu kuwa mtu mwingine hata kidogo be Ur self,na ukiwa na mtazamo huu Katu hautahitaji kuwa mtu mwingine Bali utajipenda na kujifurahia wewe mwenyewe.

Matokeo ya wadada wengi Leo hii kuweka mashepu ya kituruki na kichina ni kwasababu hawajajikubali wao wenyewe,hawajajipenda na hivyo kutaka kuwa kama watu wengine,wanatumia gharama kubwa Sana Kwa uzuri WA bandia ambao Una madhara makubwa Sana katika miili Yao,kuna wengine ukiangalia video zao you tube hakika wanajuta kwanini walifanya huo upasuaji ima uwe wa Sura au wa umbo,wengine wamepata kansa na kadhalika.

Nadhani tumeona wadada wengine Kwa kutaka weupe wamepaka mkorogo ambao umedunda yaani wanaonekana kama wameungua hivi,wanalazimika kutembea na miamvuli katika jua Kali kama albino vile,hiyo yote kwasababu hawa kukujikubali Kwa jinsi walivyo,baada ya kuaribikiwa kumbe wanaona daah walikuwa Wazuri lakini wazigua wanasema '' it's too late to catch the train''.

Leo hii kuna wanaume wenzangu kutwa kucha wanahangaika kutafuta dawa za kurefusha maumbile Yao kana kwamba hayo waliyo nayo Yana mapungufu,hii yote ni kutojikubali na kutaka kuwa na maumbile kama ya watu wengine,ngoja niwaambie wanaume,wale mnao waona katika porn walitafutwa kwa vigezo vile vya kutengeneza porn,kwahiyo sio kwamba sex unainjoy vizur ukiwa na umbile kubwa laa! Bali sex utainjoy na saizi yoyote maadam unajua kumwandaa mkeo akawa tayar Kwa tendo zima,mind My language sijasema demu wako nimesema mkeo coz sipo hapa kupromoti zinaa.

Ukiingia mitandaoni kama tik tok utaona wanaume wameweka tango kwenye suruali zao halafu wanawake kama wanatamani hivi,ule ni mchezo umepangwa,wanaekti ukiwa Makini utaona ni wasichana wale wale wanajirudia,haya yote yanawafanya wanaume waamini big penis ndio kila kitu!! Msiingie katika huo upuuzi hata kidogo,kuna dada mmoja alikuwa anaongelea haya maswala akasema kitu ambacho Mimi nilimkubali,alisema hivi "mwanaume akijiangalia Kwa juu ya uume wake anaweza uona ni mdogo kwakuwa haoni sehemu ya Chini ya uume wake,sasa ukitaka ujione vizur nenda kwenye kioo halafu jitazame pale utaona muonekano mzima wa penis yako na utashangaa utajiona fresh na kawaida Tu" alikuwa ni mama WA kizungu anazungumzia kuwa porn is not a real sex. Wanaume mjikubali jinsi mlivyo na hivyo ndivyo mlivyoumbwa coz wadada WA size yenu wapo Sana na wanainjoy vizur Tu.

Kuna wale wenzangu na Mimi mvi zimetuanza lakini tunataka bado tu kuwa vijana,kuna watu unakutana nao saloon wanaweka piko kuzifanya nywele kuwa nyeusi na kuficha mvi zao, je ili iweje? Unataka bado kuwa kijana? Wazigua wanasema "Ur not getting any younger" sijui wazungu mnasemaje Kwa Kiswahili chenu,wengine wananyoa vipara mibichwa yenyewe haiendani na kipara yaani unaweza hisi mtu ana jiwe kichwani,yote ya nini? Kwasababu Tu hatujikubali,lazima tukubali haya ni mabadiliko ya ukuaji lazima tuyakubali na kwenda nayo Sawa,na huo ndio ukomavu.

Ngoja nishee nanyi Jambo langu, hivi nikiwa ukubwani kuna Meno yangu mawili ya mbele kama mawili hivi upande wa Kulia na kushoto,yametoboka kidogo kwahiyo nikicheka Kwa nguvu hivyo vidoti vinaonekana,mwanzoni nilipata shida kujiachia kucheka nilikuwa nacheka kama Tajiri hivi,coz nikicheka kimaskini ule weusi kwenye Meno unaonekana,lakini nikajiuliza hivi shida yote hii ya nini? Hii Hali siwezi kuibadili kwahiyo cha msingi nijikubali Tu kuwa ndo Meno yamekuwa hivyo,daah sasa hivi Nina Amani na Nina Cheka vizur Tu wazungu wanasema "sijali" na wazigua wanasema " I don't care". Nimejikubali na Maisha yanaendelea kama kawaida,na Nina amani tena nimesahau kama Meno yangu Yana tatizo.

Nakwambia haya yote msomaji wangu kwakuwa Nataka uishi Kwa Amani na ufurahie Maisha ,najua kuna watu wengi wanajiona hawana thamani kwakuwa Tu eti Kwa vigezo vya jamii yetu mtu anatakiwa kuwa katika namna Fulani,au awe katika mwonekano Fulani,hii ni dhana mbaya na sio uhalisia WA Maisha yetu.

Natumaini kuna kitu umejifunza hapo.

Ni hayo Tu!
 
Nadhani tumeona wadada wengine Kwa kutaka weupe wamepaka mkorogo ambao umedunda yaani wanaonekana kama wameungia hivi,wanalazimika kutembea na miamvuli katika jua Kali kama albino vile,hiyo yote kwasababu hawa kukujikubali Kwa jinsi walivyo,baada ya kuaribikiwa kumbe wanaona daah walikuwa Wazuri lakini wazigua wanasema '' it's too late to catch the train''.

Very true facts.
 
Kabisa percent
 
dah kweli kaka ila muda mwengne unashindwa ata kuvaa t-shirt kwa wale wanaume wenye makalio makubwa,,sometime ukitembea unahisi kama unakatika maana na dunia ilivyoharibika kila unapokatiza unajifikiria kua watu wanakuona gay dah
 
Kweli ni changamoto lkn ujue nini, smt huwa tunahukumu mambo kwa fikra zetu lkn ukija ktk uhalisia huenda hata watu hawafikirii hivyo unavyo wafikiria, ni sisi wenyewe tunajihukumu kwa mitazamo yetu
 
Back
Top Bottom