vijana, vijana (wanaume) naombeni....

Hao watakuwa wamevaa sexy,lingeries zinaweza kuwa kama min dress,silky clothes or just G-sting.It depends on a dude,traditional guys like a woman who will give u a tease and leave you imagining what she has inside that dress.

I am a liberal,anything goes kiunda guy,and I prefer to see as much as I can as long as she is cool with it.

So,thats why nadhani just a G-string is the sexiest way of dressing.

Damn ..

Natumaini hamjambo wote ...

Wanaume sana sana Vijana
naombeni sana jamani muanze kuvuta suruali zenu juu
au kama mmeamua kulegeza au kuto kufunga mikanda
vaeni Boxes , sagz au Briefs.. ...

5387102.jpg
Sagz

inaniudhi sana kuona mwanaume/ kijana
amevaaa suruali kavuta chini c mpaka miraba ya ****
inaonekana ... vaeni vitu vya maana ndani kama mmnataka
kuvuta hizo suruali chini ...
Asanteeni
Hili ni janga la dunia....

Tukivaa kata k - kosa; nyie mkivaa kata boobs (boobs nje') - sawa! Nyie mkivaa nguo za kubana zinazoonyesha chups zinapoishia au zinazoonyesha matuny.... yalivyojipanga - sawa. Usawa uko wapi hapo?

Sikumbuki mara ya mwisho lini nilivaa jeans!!! even though bado ni kijana hata 27 sijafikisha!

maybe kutokana na mazingira ya kazi yangu hospitalini.. ila napenda sana kutoka Formal ....

something like this ....

1273148196_91980460_1-Pictures-of--Corporate-Wear-Doctors-Apron-Safety-Jacket-and-T-Shirt-1273148196.jpg

<img src="http://images04.olx.in/ui/5/04/60/1273148196_91980460_1-Pictures-of--Corporate-Wear-Doctors-Apron-Safety-Jacket-and-T-Shirt-1273148196.jpg" border="0" alt=""

Ukiwa na mwili uliojipanga (sio bonge suruali inavutika pale kati) very hot!!!

Mamii afrodenzi, nimekukubali-big up!
Hebu niambie hapa uswahilini ziko wapi nimpeleke kijana wangu -nijisalimishe, maana najua anazitamani lakini anaogopa kiboko na kama sio uswahilini tujuze umezitoa wapi picha hizo nimuonyeshe online kama atazitaka

ndo hivyo hivyo ilivyo..
ukitaka kuchukua kama tangazo
hivyo hivyo..

au ukitaka kuona au kelewa
ninachotaka kusema ndivyo
ilivyo pia

Ukiwa na mwili uliojipanga (sio bonge suruali inavutika pale kati) very hot!!!

Ayayayayaaaa.....ukikutana na wa hivo mbona utachukia suruali ya kitambaa?!!! Inajilundika pale kati afu chini inakuwa njiwa sasa.

Mamii afrodenzi, nimekukubali-big up!
Hebu niambie hapa uswahilini ziko wapi nimpeleke kijana wangu -nijisalimishe, maana najua anazitamani lakini anaogopa kiboko na kama sio uswahilini tujuze umezitoa wapi picha hizo nimuonyeshe online kama atazitaka

duuuhhhh
samahani dear
kwa uswahilini sijui zinapatikana
wapi ila waweza nunua online...
eBay au sagz.com - jaribu hizo mbili ....

Ayayayayaaaa.....ukikutana na wa hivo mbona utachukia suruali ya kitambaa?!!! Inajilundika pale kati afu chini inakuwa njiwa sasa.

Hahhaha...ni balaa!!Alafu wenyewe sijui hua wanaona poa tu...?!

Sijui ni mmomonyoko wa maadili au ndio kwenda na wakati, tusipokuwa makini wanetu watakuwa hawana tofauti kati ya me na ke. ukizingatia maziwa yanakuzwa na mayai ya kisasa, halafu kata kei wote wanavaa. Mola atuepushie balaa hili jamani!!!

Wote na Ke wanavaa. Ila vijana wengi ni wale teeneger na wasanii pia wavuta unga. Kwa mtu aliye timamu na maadili yake hatothubutu kuacha kiuongo chake chochote chokozi nje.

Sijui ni mmomonyoko wa maadili au ndio kwenda na wakati, tusipokuwa makini wanetu watakuwa hawana tofauti kati ya me na ke. ukizingatia maziwa yanakuzwa na mayai ya kisasa, halafu kata kei wote wanavaa. Mola atuepushie balaa hili jamani!!!

duuhhhhhhh

ase wwadau niwatonye ...........historia inaonyesha waliozindua walikuwa watumwa waukutu wakisha chapwa fimbo hivo walivaa milegezo kuvipa vidonda hewa ..kina 2 pac walivaa ishara ya kutosahau walikotoka hata hivo wajanja waliacha mashoga walipoiga

Sikumbuki mara ya mwisho lini nilivaa jeans!!! even though bado ni kijana hata 27 sijafikisha!

maybe kutokana na mazingira ya kazi yangu hospitalini.. ila napenda sana kutoka Formal ....

something like this ....

1273148196_91980460_1-Pictures-of--Corporate-Wear-Doctors-Apron-Safety-Jacket-and-T-Shirt-1273148196.jpg

mmmh acha fix kwanza locastion mi hoi

Similar Discussions

Back
Top Bottom