vijana, vijana (wanaume) naombeni....

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,206
Natumaini hamjambo wote ...

Wanaume sana sana Vijana
naombeni sana jamani muanze kuvuta suruali zenu juu
au kama mmeamua kulegeza au kuto kufunga mikanda
vaeni Boxes , sagz au Briefs.. ...

5387102.jpg
Sagz

inaniudhi sana kuona mwanaume/ kijana
amevaaa suruali kavuta chini c mpaka miraba ya ****
inaonekana ... vaeni vitu vya maana ndani kama mmnataka
kuvuta hizo suruali chini ...
Asanteeni
 
HUO UVAAJI WENYEWE WANAUITA KATA K. Makonda asilimia kubwa lazima wavae hii, ila kwa makonda utakuta amevaa suruali mbili hivi.
NI KWELI UVAAJI HUO HAUFAI USIKUTE ULIANZISHWA NA MASHOGA.
 
HUO UVAAJI WENYEWE WANAUITA KATA K. Makonda asilimia kubwa lazima wavae hii, ila kwa makonda utakuta amevaa suruali mbili hivi.
NI KWELI UVAAJI HUO HAUFAI USIKUTE ULIANZISHWA NA MASHOGA.

hiyo ya suruali mbili sijawahi ona..
ila nimeona mtu anavaa bukta kwa ndani....
 
Afrodenz umeamua kabisa na kutangaza biashara ya hizo boxers au imekuwaje

ndo hivyo hivyo ilivyo..
ukitaka kuchukua kama tangazo
hivyo hivyo..

au ukitaka kuona au kelewa
ninachotaka kusema ndivyo
ilivyo pia
......
..... ...... ..... .....
 
sijui nani aliwaambia tunavutiwa na hizo ma briefs na maboxers zao! Sipendi kuona nguo zao za nadni zikiwa nje!

Wengine wanatuachia na mifereji ya suez na mastrech marks kabisa tuyaone vizuri.

Guys....it aint appealing at all!
 
hapo pa red ndo basi tena...
 
Embu waache kaka zangu...mi NAPENDA SANA kuona boxer zao!!SEXYYYYYYY!!

Safi zinapendeze..
ndo ninacho sema wavae boxer, sagz au brief.....
ziwe safi...

wale wanao vaa chupi tu
wanavuta suruali chini dahh
 
Safi zinapendeze..
ndo ninacho sema wavae boxer, sagz au brief.....
ziwe safi...
wale wanao vaa chupi tu
wanavuta suruali chini dahh
Kama hawana pesa ya kununua boxer?!Embu waache na wao waonyeshe walichopewa!!!
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom