Vijana kuwachukua mimama!!

Daaaa mkuu yaani umelenga pale pale na mimi ndio majibu niliyokuwa nasubiria ndio raha za mimama hiyo,Yaani wanakubembeleza kama mtoto mchanga ndio mambo ya kisasa hayo sio kuchukua vibinti alafu vinaanza kukusumbua akili maana ukiwa naye unatulia kabisa hamna tatizo kabisa zaidi ya kula raha tu mabinti hawa kidogo kila ijumaa twende shopping sasa ni nini hiii????

We kijana ulikuwa na majibu tayari, hapa ulikuwa unaomba support or confirmation of the reasons you have! Pili kijana inaonekana tayari umezama huko kwa mijimama au kama bado unampango wa kuzama huko kwa kukwepa gharama!

Watch out, cheap is always expensive......unahitaji kuwa na macho ya ndani before u make decisions!
 
Siku hizi ni fashion mama mzima kumegwa na kakijana kakukazaa na vilevile baba mzima kumega kabinti kakukazaa hapa swala linalo angaliwa ni huduma na ucheapness hakuna kingine.Huduma zinatolewa kwa wkt muafaka pindi wawili wakutanapo na wote wanaridhika.
 
This is the bottom line: Kila relationship inahitaji kazi. Ukienda kwenye relationship yeyote ile na mentality kwamba the other person is supposed to be your personal ATM machine, that relationship will never work. Na tusijidanganye hapa kwamba eti ukiwa na m cougar wako (Jimama) eti atakuachia uwe free uwe unafanya mambo yako. First of all, sijawahi kusikia kuna mtu/watu ambao they don't want to feel loved. Hakuna! Kwa hiyo basi, ukimuona cougar wako anakuachia ufanye mambo yako, jua kuna vitu vingine vinamweka busy anapokuwa mbali na wewe..Na kama relationship kama ya cougar na kijana ni based on sexual gratification, basi haina tofauti na escort service.
Ndio maana kuna ule msemo wa " Mzoea vya kunyonga, vya kuchinja......" Kitu kizuri chochote, kinakuwa kizuri kwa sababu kimefanyiwa kazi.
 
Inaelekea huyu ni mmojawapo wa Serengeti boy, endelea na mataputapu yako na pole!

Hahaha pole pole Lorain huwezi kumuita kumwambia mtu endelea na matapu tapu ina maana gani hiyo hapa ni kubadilishana mawazo tu basi ndio cha muhimu sio zaidi.......Pia serengeti wana nini hawajui kitu au vipi????Punguza maneno......
 
Haileti vipi. Wakati wa giza paka wote ni wa kijivu.

Sina mbavu hapa sio mchezo kabisa......Yeah ni kweli hakuna kuangaliana usoni mwendo mdundo tu kama kawaida au sio???
 
WS umesahau kuwa giza ndo ficho la aibu? Kama walevi wote wangekuwa wanatembea mchana kweupe naamini pombe ingekosa wanywaji!!

Kwa walio wengi ni kwamba kama huoni kinachoendelea kwa wakati huo basi ni kama hakipo. Ndo maana hata watu wenye heshima (na akili/busara/hekima?) zao hawaoni taabu kuwabaka vichaa usiku!! Kaulize kwa nini baadhi ya vichaa tunaowakimbia mchana wana watoto! Laiti kama tungeweza kutambua baba zao kwa DNA fingerprinting, watu wengine wangekufa kwa presha!
#

Mkuu hii kali lakini ni kweli unavyosema hujakosea kabisa...........
 
We kijana ulikuwa na majibu tayari, hapa ulikuwa unaomba support or confirmation of the reasons you have! Pili kijana inaonekana tayari umezama huko kwa mijimama au kama bado unampango wa kuzama huko kwa kukwepa gharama!

Watch out, cheap is always expensive......unahitaji kuwa na macho ya ndani before u make decisions!

Mkuu hapo umekosea kabisa katika hiyo comment yako nadhani toka mwanzo nilisema kwamba siwezi kuomba msaada kwenye FORUM na huu sio msaada hata wewe mwenyewe ukiosoma utaona kama ni mawazo yanayotuzunguka katika jamiii na ambayo yanatokea kila siku au sio sasa ukisema wewe kijana umekuja kuomba msaada unakuwa unakosea hapo
 
Siku hizi ni fashion mama mzima kumegwa na kakijana kakukazaa na vilevile baba mzima kumega kabinti kakukazaa hapa swala linalo angaliwa ni huduma na ucheapness hakuna kingine.Huduma zinatolewa kwa wkt muafaka pindi wawili wakutanapo na wote wanaridhika.

Jibu zuli sana sasa naona kuna wadau wanapinga hichi kitu na kusema kwamba hakipo sasa.........Sasa nadhani umetokea jibu zuli na lenyewe mawazo mengi zaidi na wengi wao nadhani wataelewa zaidi
 
This is the bottom line: Kila relationship inahitaji kazi. Ukienda kwenye relationship yeyote ile na mentality kwamba the other person is supposed to be your personal ATM machine, that relationship will never work. Na tusijidanganye hapa kwamba eti ukiwa na m cougar wako (Jimama) eti atakuachia uwe free uwe unafanya mambo yako. First of all, sijawahi kusikia kuna mtu/watu ambao they don't want to feel loved. Hakuna! Kwa hiyo basi, ukimuona cougar wako anakuachia ufanye mambo yako, jua kuna vitu vingine vinamweka busy anapokuwa mbali na wewe..Na kama relationship kama ya cougar na kijana ni based on sexual gratification, basi haina tofauti na escort service.
Ndio maana kuna ule msemo wa " Mzoea vya kunyonga, vya kuchinja......" Kitu kizuri chochote, kinakuwa kizuri kwa sababu kimefanyiwa kazi.

Nadhani umesema kweli lakini kuna baadhi umekosea...Na mimi nakataa kabisa ukitoa mfano wa methali na kitu kilichopo nadhani vinapishana kabisa......Sio kila utakacho kutana nacho basi kimetumiwa au hakina kazi sio kweli.........Pia unasema kwamba akikuachia utumie yeye hafatilii inakuwa kama kuna kitu kingine nje nadhani hiyo pia siamini kama ni kweli inategemea mda huo yupo wapi au upo wapi na unafanya nini au anafanya nini nadhani ni vitu kama hivyo sio zaidi...........
 
Wadau naona mada inakwenda ipasavyo hapa au sio aminia lakini kuna baadhi ya wadau hapa wametoa mawazo mazuri sana tena sana nadhani yataweza kuwasaidia watu wengi sana........Aminia mdau uliyeanzisha topic na waliochangia nadhani wengi wamejifunza hapa
 
Nadhani umesema kweli lakini kuna baadhi umekosea...Na mimi nakataa kabisa ukitoa mfano wa methali na kitu kilichopo nadhani vinapishana kabisa......Sio kila utakacho kutana nacho basi kimetumiwa au hakina kazi sio kweli.........Pia unasema kwamba akikuachia utumie yeye hafatilii inakuwa kama kuna kitu kingine nje nadhani hiyo pia siamini kama ni kweli inategemea mda huo yupo wapi au upo wapi na unafanya nini au anafanya nini nadhani ni vitu kama hivyo sio zaidi...........

Mkuu kitu gani nimeongea ambacho sio cha ukweli hapo? Ina maana sio kweli kwamba ukitaka the best of anything lazima ufanye kazi? Bustani gani ya maua inapendeza bila kupaliliwa na kunyeshewa? Ukimpata mmama "cougar" amekupenda wewe kijana...kama ana nia ya kuwa na future na wewe atakuambia ukweli kwamba you need to get off your lazy butt na kuanza kuhangaika. Sio mmama tu hata binti wa umri wako anayetegemea kuwa na future na wewe. Tatizo ni kwamba vijana wengi wanawapata wamama wa kuwatumia...kama ninakutumia na sina future na wewe kwa nini nihangaike na mizigo isiyo yangu? Kama niko kwenye relationship ku have fun...nitaweka mazingira yawe ya ku have fun..I come in we do our thing...I go away..I leave you with presents and $$$ and your time. Huko ninakoenda sitaki unibughudhi na wewe huko unakokwenda sita kubughudhi. Uhusiano wa namna hii tunauita , "friends with benefits" unamsaidia mtu kwa sababu unategema something in return.
Sikatai mtu asiwe na cougar, kila mtu ana uhuru wake wa kuamua mambo yake mwenyewe, na kila mtu ana sababu za kufanya mambo yake mwenyewe...lakini mimi binafsi sipendelei mapenzi just kwa sababu niko kwenye uhusiano kunufaika kifedha na pia kuchuma resources nyingine. Ndio maana nikasema kuna tofauti gani kati ya hii na escort service (a.k.a umalaya?)
 
Mkuu maneno yako yana ukweli kabisa. Lakini ukiangalia ni kuwa lengo zaidi la uhusiano huu ni physical satisfaction ya two willing partners. Sina hakika kama hii inafanana na escort service ambapo mmoja anataka physical satisfaction na mwingine anataka pesa. Kama kijana anataka jimama kwa sababu ya pesa no doubt kuwa hana tofauti na ****** au hookers, lakini kama lengo sio hilo ni affection na emotions tu, nadhani tutakuwa tunawaonea kuwaweka kwenye kundi la escorts. Lakini vibinti vinavyokuwa na mi-gigolo nadhani kuna kila sababu za kuwaweka kwenye kundi hilo. Hayo ni maoni tu.
 
The Older The Wine The Better It Tastes....!! Ukipata mjimama aka cougar wewe kukuruka tuu.
 
Mambo vipi wadau ishuvipi lakini.....Daaa wacha niulize kaswali kangu hapa.......Then hili swali nadhani linatuzunguka jamii wote kwaujumla pia nimeona kama desturi fulani au ndio mila au ndio watu wanakwenda wakati........Hivi kwa nini vijana wa sasa hivi wanapenda sana kutongoza mimama na pia kwa nini mimama na yenyewe inapenda sana vijana??nadhani ukiangalia wamepishana zaidi ya miaka 20 alafu wanapendana sasa hiyo tuite kwenda na wakati au ndio raha zenyewe hizi??Maana hichi kitu badokidogo kinanichanganya sana sasainabidi tufahamishane maana kama kuna raha ya ziada na sisi tuanze kunyemelea maana sasahivi kila mtu anamkamata wake sasa hapo sijui inakuwaje kwanza..Wadau wenye info tuwekeeni hapa tuchangie na tufahamu basi
Mambo ni aje? kwa nini kuwaita mi-mama wakati unaweza kuwapa jina la wanawake wenye umri mkubwa wanawatafuta wanaume wenye umri mdogo......unajua ukisema vijana wadogo unaweza kueleweka unamaanisha kitu kilicho kinyume na sheria ya nchi. Anyway mapenzi hayana umri au upendo haupungui neno wakati wowote, basisioni ajabu hapo ila labda unamaanisha kingine enhe!
Simba mtoto
 
This is debatable issue. I agree with all comments raised here. Ninachoweza kusema ni kwamba vijana wanapenda mimama kwa sababu hawana ahadi za uwongo kama madada. Mimama pia inapenda vijana kwa sababu inawafikisha wanapopataka, yaani kufikishwa kileleni (climax) wakati mabinti wanataka fedha za haraka haraka na wanasema wazee hawawasumbui sana wawapo uwanjani mwa sita kwa sita. Vijana hwana fedha kama wazee. Mijimama nayo huwatongoza vijana kwa kuwapa fedha na vitu vya samani ili wawe nao katika mapenzi.
 
Mambo ni aje? kwa nini kuwaita mi-mama wakati unaweza kuwapa jina la wanawake wenye umri mkubwa wanawatafuta wanaume wenye umri mdogo......
Ni mambo ya kiswahili tu hayo dogo! Unaweza kuwaita Mijimama ukiwa na maana ya mwanamke mwenye siha ya kutosha na mwenye wallet isiyokauka. Majina kama haya huja na kupita, zamani kidogo wakiitwa Mashangingi, Mashugamami n.k
 
Kumbe majibu unayajua? Hayo ni majibu tosha ya kukufikirisha kama unataka spoon feeding ni kuwa a
kautafute ukimwi utarudi hapa hapa tukupe ushauri nasaha, hao wamama hawa wamama hawatongozwi wanatafuta wenyewe hasa ukionekana unayaweza NA UYAWEZE KWELI.

Pile kama wewe unaogopa kutafuta maisha mpaka ulelewe eti unaogopa kubeepiwa na mizinga sawa njia nyeupe lakini kumbuka THERE IS NO FREE RIDE.

UMENIPATA HAPO AU BADO
Unajua kuna msemo unaitwa "There is nothing goes for nothing,there must be a consideration within it."
Hapa ni mfano kama mteja na muuzaji.
 
Back
Top Bottom