Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
All in all majimama yanajua kuitunza na kulea kwa mfano.Pili, kuna hii ya hadithi za wakubwa, " Mama nanii jana nilichukua kale katoto pale mtaa fulani, kalipeleka moto hako goli tano hakajashuka saa hizi mimi mwepesi kabisa", mwenzake naye anataka kujaribu huo moto.
Tatu, kunakulipiza kisasi, ati baba nanii ana katoto ka shule basi na mama nae analipiza. Hii ni hatari sana.
Nne, baba kutomfikisha mama kileleni, hasa wamama wanapokuwa wanene na baba ni mnene, baadhi ya sehemu huwa hazifikiwi, dawa hudhani ni kupata kijana ambaye atamkuna itakiwavyo na kufika huko ambako mzee mwenye mali huwa hafiki bila kutumia utaalamu wa viungo walivyokuwa navyo.
Tano, ni kutokuwa wawazi kwa wapendwa wetu. Hili ni somo pana kidogo ambalo nisingependa kuliongelea kwa undani sana, ila kwa kifupi tu ni kuwa, wengi wa wake /waume sio wakweli katika uchumba na hadi kuoana. Utakuta mtu anapendelea aina fulani ya mapenzi lakini anaogopa kumwambia mchumba wake kuwa napenda hivi na hivi. NA mbaya zaidi anapoolewa anazodi kuficha iliasijulikane. Ashakumu si matusi watumiaji wa kinyume na maumbile ni watu wazima sana. Kuna wakati pale kwa mfano Jangwani Girls mabinti hawakuwa tayari kutumika kwa njia ya kawaida, hii ilikuwa ni kuogopa mimba, na kutunza bikra kama walivyofikiria. Binti wa namna hii anapoolewa hawezi kumwambia mume ambaye ni kijana mwezake kuwa nataka huku! ukizingatia wayasemayo wataalamu kuwa ukishaonja huko si rahisi sana uache. Kama hawezi kumwambia mumewe kuwa nataka huku, ataenda wapi kama sio kumtafuta amabye atamwamrisha kuwa sasa umeshakula huku tugeuze samaki!
Wengi huishia kuwatafuta wataalamu wao waliowafundisha ama kutafuta kijana watakaye mwamuru, ukizingatia na ugumu wa maisha ya vijana wetu, atakoboa na kusaga tu mradi apate pesa za kutanulia na maisha bora (wafikiriavyo) bila kujua athari zake.
Haya ni kwa mtizamo wangu, kama nimekosea basi mnisamehe ila ndivyo nijuavyo mimi.
Wasalaam
1:Fedha......kwa hali hii mbaya ya kiuchumi basi majimam yanawatoa sana serengeti boys.....
2:Vijimambo: Majimam wanajua mambo wengi wao wamekwenda jando wanapepeta ile mbaya style zao usipime ni tofauti na body zao.
3:Hawagandi.....majimama ni mazuri kwa kuwa hawagandi kama hivi vigelofrendi ambavyo kila wakati wanataka muwe navyo.JImama mnaonana akikuhitaji kwa special mission tu.
TRy one