Vijana kuwachukua mimama!!

Nadhani ni kweli kuwa ni kuelekea kwenye usawa wa kijinsia, sio kinababa watongoze wasichana wadogo tu, hata kina mama nao wana haki ya kutongoza vikinda. Kwa upande fulani unajua mimama ni mature wala haisumbui. Huwezi kusikia limama linakuomba simu, hela au vocha, mara nyingi wanakufanya uwe free sana endapo unatunza heshima yao. Lakini kijana ukiwa na msichana ndio hapo mibaba inapoaza kukuibia, hasa ile yenye uchu wa fisi. Kuna wengine wamekosa maadili ya kijamii kabisa, na hao ndio wanaopropel wengine kukosa maadili pia.
 
That can only happen for Kijana who doesn't have a mission and vision in his/her life. Bora liende tu mpaka afe, no legacy or whatever. But something to remember,..nature demands that every living thing should struggle to pass its genes to the next generation. Otherwise, you are fighting for your own extinction. Go guys, its your choice anyway!
 
Mkuu hapo kuowa hamna tena na life si umeshapata kila kitu unapata unakuta bank zimeingia hujui zilikotokea utafanya kazi hapo???Hamna kazi tena........[/QUOTE]

Papizo,
Kama wewe ni dogo unatafuta ushauri hapa, hujatulia!

Wazo lako bado changa sana usione kila mtu anaomba msaada kwenye FORUM umeniona kwanza nilivyo??Changia mada acha kuanzia kumuhisi mtu yupo hivi na hivi mkuu au sio??
 
Nadhani ni kweli kuwa ni kuelekea kwenye usawa wa kijinsia, sio kinababa watongoze wasichana wadogo tu, hata kina mama nao wana haki ya kutongoza vikinda. Kwa upande fulani unajua mimama ni mature wala haisumbui. Huwezi kusikia limama linakuomba simu, hela au vocha, mara nyingi wanakufanya uwe free sana endapo unatunza heshima yao. Lakini kijana ukiwa na msichana ndio hapo mibaba inapoaza kukuibia, hasa ile yenye uchu wa fisi. Kuna wengine wamekosa maadili ya kijamii kabisa, na hao ndio wanaopropel wengine kukosa maadili pia.

Mkuu nadhani Post yako umetulia sana na pia hao wanaopinga hawafahamu hayo mambo ndio maana wanapinga......Kama kuna baadhi ya vitu hapo umetaja hapo nadhani vinajieleza kila kitu...Ukiwa na kabinti utasikia kila ijumaa anataka kwenda huku mara huku mara nitoe chakula lakini ukiwa na mtu mwenye heshima zake hayo yote hamna kabisa
 
Hahahaha mkuu wewe PADRE nini???Lakini fresh wazo zuri sana kaka..Pia sio kwamba mizgo ambayo unahisi wewe pia unajuwa kuna wakati inabidi kula raha tu basi maana unaambiwa umekuja dunia kutumia maisha ya hapa sasa unataka kusema hapo ulipo wewe huna zambi???Pia hata kama ikiwa hivi je hiyo mizoga huwezi kuowa na kuweza kuitwa baba??

Anyway mkuu mawazo yako mazuri na wengi yatakawasaidia...Karibu tena

Sijasema kokote kama mimi sina dhambi au ni padre au Askofu! Ila suala la msingi ni kuwa siwezi kukupa ushauri wa kukupeleka kwenye dhambi hata kama mimi nina dhambi nyingi! Hiyo ni mojawapo ya kanuni za kutenda haki, just to do justice to others and no harm to them. Ndo maana hata kama baba ni mzinivu akimkuta kijana wake anafanya zinaa atamchapa tu kama anaweza kufanya hivyo. Kama unataka ushauri kwa watu walio na dhambi tu au ambao ni wafuasi wa hiyo dini yako ya kutafuta mijimama basi ungetwambia. Vinginevyo uwe tayari kupokea maoni yoyote hata yale ambayo hupendi kuyaona/kuyasikia!
 
Mkuu nadhani Post yako umetulia sana na pia hao wanaopinga hawafahamu hayo mambo ndio maana wanapinga......Kama kuna baadhi ya vitu hapo umetaja hapo nadhani vinajieleza kila kitu...Ukiwa na kabinti utasikia kila ijumaa anataka kwenda huku mara huku mara nitoe chakula lakini ukiwa na mtu mwenye heshima zake hayo yote hamna kabisa

Hii mada inalenga kuonyesha nini? is it meant kuonyeshana umahiri wa watu mbalimbali katika medani hii au kupata mawazo ya watu kama je ni sawa au si sawa?Nadhani kila mtu ana mtizamo wake na sababu zake.Si suala la kujua au kutokujua mambo hayo.
 
Sijasema kokote kama mimi sina dhambi au ni padre au Askofu! Ila suala la msingi ni kuwa siwezi kukupa ushauri wa kukupeleka kwenye dhambi hata kama mimi nina dhambi nyingi! Hiyo ni mojawapo ya kanuni za kutenda haki, just to do justice to others and no harm to them. Ndo maana hata kama baba ni mzinivu akimkuta kijana wake anafanya zinaa atamchapa tu kama anaweza kufanya hivyo. Kama unataka ushauri kwa watu walio na dhambi tu au ambao ni wafuasi wa hiyo dini yako ya kutafuta mijimama basi ungetwambia. Vinginevyo uwe tayari kupokea maoni yoyote hata yale ambayo hupendi kuyaona/kuyasikia!

Mkuu,
sidhani kama anahitaji ushauri.Tizama post #64 hapo juu!
Anataka kuvalidate mtizamo wake tu hapa!
 
Sijasema kokote kama mimi sina dhambi au ni padre au Askofu! Ila suala la msingi ni kuwa siwezi kukupa ushauri wa kukupeleka kwenye dhambi hata kama mimi nina dhambi nyingi! Hiyo ni mojawapo ya kanuni za kutenda haki, just to do justice to others and no harm to them. Ndo maana hata kama baba ni mzinivu akimkuta kijana wake anafanya zinaa atamchapa tu kama anaweza kufanya hivyo. Kama unataka ushauri kwa watu walio na dhambi tu au ambao ni wafuasi wa hiyo dini yako ya kutafuta mijimama basi ungetwambia. Vinginevyo uwe tayari kupokea maoni yoyote hata yale ambayo hupendi kuyaona/kuyasikia!

Mkuu nimekuelewa sana tena sana na najuwa umetoa maoni yako mazuri sana tena sana pia sijasema kwamba wewe unadhambi hapana kila mtu wa jinsia yoyote analuhusiwa kuchangia kitu chochote kama wewe ulivyotoa mawazo yako mazuri na yenye heshima na pia nadhani hii topic vijana wengi wakisoma wataona mawazo yako ni mazuri sana kuanzia mwanzo mpa mwisho hongera sana mkuu tupo sote........

Pia siku zote ukitaka kumuuwa nyani ukimuangalia usoni huwezi kuumua...ukitaka kumuuwa usimuangalie usoni

Ukimchunguza nguruwe huwezi kumla......

Mkuu mawazo yako yamekwenda shule......
 
Hii mada inalenga kuonyesha nini? is it meant kuonyeshana umahiri wa watu mbalimbali katika medani hii au kupata mawazo ya watu kama je ni sawa au si sawa?Nadhani kila mtu ana mtizamo wake na sababu zake.Si suala la kujua au kutokujua mambo hayo.

Nadhani inalenga kutueleza kwa nini tunafanya choices tunazofanya. Kuna kitu kwenye jamii ambacho kinaonekana unnatural, yaani jibaba kuwa na kabinti na kijana kuwa na jimama. Lazima kuna sababu inayofanya kuwe na haya. Sasa wewe Womanofsubstance, unaweza kuangalia mwenyewe jinsi dunia inavyoenda. Kijana gani anaependa kuwa na msichana ambaye anamfanya atekeleze majukumu ya baba yake, ukionana nae tu mara sina hiki, ninunulie hiki, nifanyie hiki orodha ndefu sana. Unajua kulipa mapenzi sio jambo jema haliendani na utamaduni wetu, kwa hiyo vijana wengine wanaona why should i pay for something which we both enjoy. Someone is getting paid for enjoying and someone is paying in order to enjoy, hapo hakuna usawa.
Ndio maana people go for mimama ambayo you enjoy, learn and being taught without paying, just make her happy and make her feel respected, that is it.
 
Nadhani hii mada sio kwa ajili ya kuonyeshana umahiri mali kama hapo au nilipo weka alama kwamba kila mtu anahaki ya kuchangia na kutoa mawazo yake yapo vipi ni sawa kabisa hujakosea pia ni mawazo mbali mbali yamepatikana hapa na yameeleweka na nadhani hakuna shaka
 
Nadhani inalenga kutueleza kwa nini tunafanya choices tunazofanya. Kuna kitu kwenye jamii ambacho kinaonekana unnatural, yaani jibaba kuwa na kabinti na kijana kuwa na jimama. Lazima kuna sababu inayofanya kuwe na haya. Sasa wewe Womanofsubstance, unaweza kuangalia mwenyewe jinsi dunia inavyoenda. Kijana gani anaependa kuwa na msichana ambaye anamfanya atekeleze majukumu ya baba yake, ukionana nae tu mara sina hiki, ninunulie hiki, nifanyie hiki orodha ndefu sana. Unajua kulipa mapenzi sio jambo jema haliendani na utamaduni wetu, kwa hiyo vijana wengine wanaona why should i pay for something which we both enjoy. Someone is getting paid for enjoying and someone is paying in order to enjoy, hapo hakuna usawa.
Ndio maana people go for mimama ambayo you enjoy, learn and being taught without paying, just make her happy and make her feel respected, that is it.

Yap umepatia mkuu maana unajuwa saa zingine vibinti huwa vinasumbua sana ndio maana watu wanaamua kuchukua kitu kimoja kinachoeleweka tu basi........Lakini imetulia sana hii........Mambo ya kununulia vitu yamepita na wakati kabisa sio sasa hivi maana kwanza mapenzi sio kununuliana vitu bali nikuonyeshana mnapenda vipi......lakini sasa utashangaa kitu unachotoa kikubwa kuliko hayo mapenzi si ni noma hiyo???
 
All in all majimama yanajua kuitunza na kulea kwa mfano.

1:Fedha......kwa hali hii mbaya ya kiuchumi basi majimam yanawatoa sana serengeti boys.....

2:Vijimambo: Majimam wanajua mambo wengi wao wamekwenda jando wanapepeta ile mbaya style zao usipime ni tofauti na body zao.

3:Hawagandi.....majimama ni mazuri kwa kuwa hawagandi kama hivi vigelofrendi ambavyo kila wakati wanataka muwe navyo.JImama mnaonana akikuhitaji kwa special mission tu.
TRy one

Inaelekea huyu ni mmojawapo wa Serengeti boy, endelea na mataputapu yako na pole!
 
Nadhani inalenga kutueleza kwa nini tunafanya choices tunazofanya. Kuna kitu kwenye jamii ambacho kinaonekana unnatural, yaani jibaba kuwa na kabinti na kijana kuwa na jimama. Lazima kuna sababu inayofanya kuwe na haya. Sasa wewe Womanofsubstance, unaweza kuangalia mwenyewe jinsi dunia inavyoenda. Kijana gani anaependa kuwa na msichana ambaye anamfanya atekeleze majukumu ya baba yake, ukionana nae tu mara sina hiki, ninunulie hiki, nifanyie hiki orodha ndefu sana. Unajua kulipa mapenzi sio jambo jema haliendani na utamaduni wetu, kwa hiyo vijana wengine wanaona why should i pay for something which we both enjoy. Someone is getting paid for enjoying and someone is paying in order to enjoy, hapo hakuna usawa.
Ndio maana people go for mimama ambayo you enjoy, learn and being taught without paying, just make her happy and make her feel respected, that is it.

Bongolander asante kwa mchango wako mzuri.
1.Kama nimekuelewa vizuri ni kama vile kuna ku switch roles.Badala ya mwanaume kulipia sasa ni mwanamke analipa.sidhani ni so simple kuwa u just make her happy and respected.

2.All in all kama unavyosema its a matter of making choices and trade-offs.Nadhani kama walivyosema wengine,kuna situations ambapo kuna genuine love regardless of the age difference na kuna wakati pia ni suala la hapendwi mtu bali pochi.Kwa wapenzi waliopishana umri nadhani haipendezi kupishana sana - age difference inayowafanya wahusika kufanana na mtu na mzazi wake kidogo haileti kabisa!
 
Haileti vipi. Wakati wa giza paka wote ni wa kijivu.
 
Hii kali kama walivyosema wengine hapo juu.
Wakati wa mwanga wanafananaje?

WS umesahau kuwa giza ndo ficho la aibu? Kama walevi wote wangekuwa wanatembea mchana kweupe naamini pombe ingekosa wanywaji!!

Kwa walio wengi ni kwamba kama huoni kinachoendelea kwa wakati huo basi ni kama hakipo. Ndo maana hata watu wenye heshima (na akili/busara/hekima?) zao hawaoni taabu kuwabaka vichaa usiku!! Kaulize kwa nini baadhi ya vichaa tunaowakimbia mchana wana watoto! Laiti kama tungeweza kutambua baba zao kwa DNA fingerprinting, watu wengine wangekufa kwa presha!
 
Back
Top Bottom