Vijana kuwachukua mimama!!

Tunapoangalia maisha yanayotuzunguka yanatia simanzi. Kuna mtu aliwahi kunambia kuwa USIPOYAFANYA YANAYOKUPASA KWA MUJIBU WA JAMII YAKO WAKATI WA UTOTONI BASI UTAYAFANYA KATIKA MAISHA YA UZEENI, sina uhakika sana. Ila nilichofikiria na kukiona, INAWEZEKANA hawa binadamu (baadhi) hawakuyafanya haya utotoni mwao! Kufanya ama kuonja tamu na chungu ya ngono ujanani ni sehemu ya ujana. Sasa kama mtu hakufanya, awe mke au mume basi huibukia uzeeni. Hiyo ni moja,

Pili, kuna hii ya hadithi za wakubwa, " Mama nanii jana nilichukua kale katoto pale mtaa fulani, kalipeleka moto hako goli tano hakajashuka saa hizi mimi mwepesi kabisa", mwenzake naye anataka kujaribu huo moto.

Tatu, kunakulipiza kisasi, ati baba nanii ana katoto ka shule basi na mama nae analipiza. Hii ni hatari sana.

Nne, baba kutomfikisha mama kileleni, hasa wamama wanapokuwa wanene na baba ni mnene, baadhi ya sehemu huwa hazifikiwi, dawa hudhani ni kupata kijana ambaye atamkuna itakiwavyo na kufika huko ambako mzee mwenye mali huwa hafiki bila kutumia utaalamu wa viungo walivyokuwa navyo.

Tano, ni kutokuwa wawazi kwa wapendwa wetu. Hili ni somo pana kidogo ambalo nisingependa kuliongelea kwa undani sana, ila kwa kifupi tu ni kuwa, wengi wa wake /waume sio wakweli katika uchumba na hadi kuoana. Utakuta mtu anapendelea aina fulani ya mapenzi lakini anaogopa kumwambia mchumba wake kuwa napenda hivi na hivi. NA mbaya zaidi anapoolewa anazodi kuficha iliasijulikane. Ashakumu si matusi watumiaji wa kinyume na maumbile ni watu wazima sana. Kuna wakati pale kwa mfano Jangwani Girls mabinti hawakuwa tayari kutumika kwa njia ya kawaida, hii ilikuwa ni kuogopa mimba, na kutunza bikra kama walivyofikiria. Binti wa namna hii anapoolewa hawezi kumwambia mume ambaye ni kijana mwezake kuwa nataka huku! ukizingatia wayasemayo wataalamu kuwa ukishaonja huko si rahisi sana uache. Kama hawezi kumwambia mumewe kuwa nataka huku, ataenda wapi kama sio kumtafuta amabye atamwamrisha kuwa sasa umeshakula huku tugeuze samaki!

Wengi huishia kuwatafuta wataalamu wao waliowafundisha ama kutafuta kijana watakaye mwamuru, ukizingatia na ugumu wa maisha ya vijana wetu, atakoboa na kusaga tu mradi apate pesa za kutanulia na maisha bora (wafikiriavyo) bila kujua athari zake.

Haya ni kwa mtizamo wangu, kama nimekosea basi mnisamehe ila ndivyo nijuavyo mimi.
Wasalaam
 
Last edited by a moderator:
Eeka Mangi,

...wewe kiboko aiseee!...sina la ziada na kama Papizo hajakuelewa
basi sijui kama ataelewa.

...utamu wa mto ni sufi...:)
 
Hahaha mkuuu jaribu kuchange hapo juu naona kama umeweka mistake kwa bahati mbaya au umekusudia nadhani kama umekusudia nadhani haijatulia hiyo hujaniona bado sasa ukisema hivyo unakosea mkuu.....ila pia mawazo yako mazuri thanks......

Sijakosea, hoja yako umeileta kiunyonge sana ndio maana nikakubembeleza mkuu...usilie eeh
 
Kuchokana ktk ndoa inaweza kuwa chanzo au kulipiza kisasi has mwanaume anapoanza kugonga nje
 
Tano, ni kutokuwa wawazi kwa wapendwa wetu. Hili ni somo pana kidogo ambalo nisingependa kuliongelea kwa undani sana, ila kwa kifupi tu ni kuwa, wengi wa wake /waume sio wakweli katika uchumba na hadi kuoana. Utakuta mtu anapendelea aina fulani ya mapenzi lakini anaogopa kumwambia mchumba wake kuwa napenda hivi na hivi. NA mbaya zaidi anapoolewa anazodi kuficha iliasijulikane. Ashakumu si matusi watumiaji wa kinyume na maumbile ni watu wazima sana. Kuna wakati pale kwa mfano Jangwani Girls mabinti hawakuwa tayari kutumika kwa njia ya kawaida, hii ilikuwa ni kuogopa mimba, na kutunza bikra kama walivyofikiria. Binti wa namna hii anapoolewa hawezi kumwambia mume ambaye ni kijana mwezake kuwa nataka huku! ukizingatia wayasemayo wataalamu kuwa ukishaonja huko si rahisi sana uache. Kama hawezi kumwambia mumewe kuwa nataka huku, ataenda wapi kama sio kumtafuta amabye atamwamrisha kuwa sasa umeshakula huku tugeuze samaki!

Eeka Mangi afo, aika sana mbe! Komededa kindo ngncha dede
 
Acheni hayo mambo.Baba yako au baba zako wadogo or Mama yako au mama zako wadogo,wajomba au mashangazi utawaangalia kwa jicho gani?
Tupige vita hili kwa nguvu zote,tukitumia BUTTERFLY EFFECT.

Nitamuona kawaida tu kwanza hao wengine wanawaonaje au hiki kitu ni kigeni kwenye jamii ya sasa?????Toa wazu zuri ukaeleweka...........
 
kama unaoa Ji mama au ukiwa dada waolewa na Kibabu its FINE, lkn UZINIFU TUACHE JF Members

Mkuu sidhani kama kuna mtu anaowa bila kuzidhi nadhani kuzini kwanza ndio kuowa baadae hata kama wapo walioowa bila kudhini nadhani 2% na 98% wote wamedhini.....Pia zinaaa nadhani sasa hivi ni kitu cha kawaida kwa kila binadamu
 
Tunapoangalia maisha yanayotuzunguka yanatia simanzi. Kuna mtu aliwahi kunambia kuwa USIPOYAFANYA YANAYOKUPASA KWA MUJIBU WA JAMII YAKO WAKATI WA UTOTONI BASI UTAYAFANYA KATIKA MAISHA YA UZEENI, sina uhakika sana. Ila nilichofikiria na kukiona, INAWEZEKANA hawa binadamu (baadhi) hawakuyafanya haya utotoni mwao! Kufanya ama kuonja tamu na chungu ya ngono ujanani ni sehemu ya ujana. Sasa kama mtu hakufanya, awe mke au mume basi huibukia uzeeni. Hiyo ni moja,

Pili, kuna hii ya hadithi za wakubwa, " Mama nanii jana nilichukua kale katoto pale mtaa fulani, kalipeleka moto hako goli tano hakajashuka saa hizi mimi mwepesi kabisa", mwenzake naye anataka kujaribu huo moto.

Tatu, kunakulipiza kisasi, ati baba nanii ana katoto ka shule basi na mama nae analipiza. Hii ni hatari sana.

Nne, baba kutomfikisha mama kileleni, hasa wamama wanapokuwa wanene na baba ni mnene, baadhi ya sehemu huwa hazifikiwi, dawa hudhani ni kupata kijana ambaye atamkuna itakiwavyo na kufika huko ambako mzee mwenye mali huwa hafiki bila kutumia utaalamu wa viungo walivyokuwa navyo.

Tano, ni kutokuwa wawazi kwa wapendwa wetu. Hili ni somo pana kidogo ambalo nisingependa kuliongelea kwa undani sana, ila kwa kifupi tu ni kuwa, wengi wa wake /waume sio wakweli katika uchumba na hadi kuoana. Utakuta mtu anapendelea aina fulani ya mapenzi lakini anaogopa kumwambia mchumba wake kuwa napenda hivi na hivi. NA mbaya zaidi anapoolewa anazodi kuficha iliasijulikane. Ashakumu si matusi watumiaji wa kinyume na maumbile ni watu wazima sana. Kuna wakati pale kwa mfano Jangwani Girls mabinti hawakuwa tayari kutumika kwa njia ya kawaida, hii ilikuwa ni kuogopa mimba, na kutunza bikra kama walivyofikiria. Binti wa namna hii anapoolewa hawezi kumwambia mume ambaye ni kijana mwezake kuwa nataka huku! ukizingatia wayasemayo wataalamu kuwa ukishaonja huko si rahisi sana uache. Kama hawezi kumwambia mumewe kuwa nataka huku, ataenda wapi kama sio kumtafuta amabye atamwamrisha kuwa sasa umeshakula huku tugeuze samaki!

Wengi huishia kuwatafuta wataalamu wao waliowafundisha ama kutafuta kijana watakaye mwamuru, ukizingatia na ugumu wa maisha ya vijana wetu, atakoboa na kusaga tu mradi apate pesa za kutanulia na maisha bora (wafikiriavyo) bila kujua athari zake.

Haya ni kwa mtizamo wangu, kama nimekosea basi mnisamehe ila ndivyo nijuavyo mimi.
Wasalaam

Mkuu mawazo yako mazuri sana tena sana na nadhani majibu yote yapo hapo bila shaka kabisa........ila hapo nilipoweka na maneno mekundu nadhani unaweza kunielewesha zaid sijaelewa vizuri.......ila ujumbe wako mkuu umekamilika sana ile mbaya yaani Big up mimi mwenyewe nimekubali mkuu
 
Eeka Mangi,

...wewe kiboko aiseee!...sina la ziada na kama Papizo hajakuelewa
basi sijui kama ataelewa.

...utamu wa mto ni sufi...:)

Yap yaani jibu lake sina kipingamizi kabisa nadhani limeeleweka kabisa bila shaka yaani..........
 
Kuchokana ktk ndoa inaweza kuwa chanzo au kulipiza kisasi has mwanaume anapoanza kugonga nje

Kabisa yaani unajuwa mkishachokana kwenye ndoa wote mpo age ambayo haifai tena unadhani hapo nini kitaendelea si kila mtu anachukua kindergarten wake???
 
Yes sio vijana wanapenda kuchukua ma mama hata wamama wanachukua vijana..kwa kuwa hao wazee wao wanakwenda na vibinti(Msikilize Mwana FA alivyo imba kwa hisia kali kwenye bado nipo nipo kwanza)..sasa change of role ina apply.

Ila haya ma mama kwa kweli ni mazuri usumbufu...kila kitu ontime..wasafi.No mizinga ya hapa na pale na beeping.Full uhuru...tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua...

Nimeikubali hiyo mkuu imetulia vibaya sana...........
 
Naona wachangiaji wengi ni watoto au niseme vitoto, No serousness on this, naomba niwape ushauri wa bure.
'Age An't Nothing But a Number' ni jina la Album ya Tina Tunner
Yenye wimbo wa-'What Love Got 2 Do With It?.
Ha anamaanisha umri ni mfumo tuu wa namari na hauna
Uhusiano wowote na mapenzi.
Kwa kuanzia hilo jina la mimama silipendi. Tumieni jima la wapenzi waliowazidi umri.
Hakuna sheria ya umri wa mapenzi bali tumeutengeneza kijamii kutokana na mapokeo. Inapotokea mapenzi ya dhati kati ya waliopishana umri, its fine wakioana based on true love.

Hapa simaanishi tamaa za mapenzi kwa wamama wenye nazo ambao wanawarubuni vijana wadogo not for love but as sex machines, That is wrong.

Ole wenu nyie vijana msio na mapenzi ya dhati mnapopendwa kwa dhati na waliowazidi umri mkawakubali na kujifanya mnapenda kwa dhati usoni lakini siyo pendo la toka mioyoni mwenu kwa lengo la kuwahadaa wenzenu ili mfaidi fedha zao, amini usiamini, Eventually mtaishia pabaya. Hata kama hizo pesa umenufaika nazo, the supreme law of nature by the name of 'karma' will take care of you na cha moto utakipata.

Michezo yote chezeni lakini mapenzi usichezee!.
 
Yes sio vijana wanapenda kuchukua ma mama hata wamama wanachukua vijana..kwa kuwa hao wazee wao wanakwenda na vibinti(Msikilize Mwana FA alivyo imba kwa hisia kali kwenye bado nipo nipo kwanza)..sasa change of role ina apply.

Ila haya ma mama kwa kweli ni mazuri usumbufu...kila kitu ontime..wasafi.No mizinga ya hapa na pale na beeping.Full uhuru...tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua...
....Excellent.!!!! Mimama unaweza kukandamiza kadri uwezavyo stamina ipo ya kutosha na you are likely to get every thing*****si kama vibinti. Mimama mingine mwanangu na kiuchumi iko vizuri linaweza kukutoa muhimu wewe tu ku-maintain performance!!!!
 
Naomba kuchangia...Mimaa inapenda kupigwa kisawasawa..mi baba imechoka kazi kupiga tungi...ndio maana mimaa inapenda issue ya vijana.. kama si kweli naomba mamaa mmoja apinge hoja yangu....!!!
 
Naona wachangiaji wengi ni watoto au niseme vitoto, No serousness on this, naomba niwape ushauri wa bure.
'Age An't Nothing But a Number' ni jina la Album ya Tina Tunner
Yenye wimbo wa-'What Love Got 2 Do With It?.
Ha anamaanisha umri ni mfumo tuu wa namari na hauna
Uhusiano wowote na mapenzi.
Kwa kuanzia hilo jina la mimama silipendi. Tumieni jima la wapenzi waliowazidi umri.
Hakuna sheria ya umri wa mapenzi bali tumeutengeneza kijamii kutokana na mapokeo. Inapotokea mapenzi ya dhati kati ya waliopishana umri, its fine wakioana based on true love.

Hapa simaanishi tamaa za mapenzi kwa wamama wenye nazo ambao wanawarubuni vijana wadogo not for love but as sex machines, That is wrong.

Ole wenu nyie vijana msio na mapenzi ya dhati mnapopendwa kwa dhati na waliowazidi umri mkawakubali na kujifanya mnapenda kwa dhati usoni lakini siyo pendo la toka mioyoni mwenu kwa lengo la kuwahadaa wenzenu ili mfaidi fedha zao, amini usiamini, Eventually mtaishia pabaya. Hata kama hizo pesa umenufaika nazo, the supreme law of nature by the name of 'karma' will take care of you na cha moto utakipata.

Michezo yote chezeni lakini mapenzi usichezee!.

Umesema baadhi ya mambo ya muhimu. Sina tatizo na mapenzi kati ya watu waliotofautiana umri. Hata hivyo sipendi ushabiki wa kipuuzi na mapenzi ya maslahi. Yaani kupenda vya kunyonga tu...!

Papizo et al, just note that "CHEAP IS ALWAYS EXPENSIVE"! Ndo maana simba aliyekamilika (isipokuwa mizee iliyong'oka meno) hali mizoga hata siku moja! You will enjoy to your last nerve if you work for your meal. Waiting for the food on a silver plate is as dangarous as slavery. Huu ni ufisadi wa ajabu unatakiwa kupigwa vita kwa nguvu zote. I thought everybody would be happy if we were informed that each and everyone of us works hard to pay for his/her bill and not to sit down and sharpen your dildo for the mizoga! Shame on everyone who goes for such silly practice!
 
.........tatizo ukisha zoea hata sasa uwezo wako wa kutongoza vibinti unapungua.......

Nimecheka mpaka wenzangu wameniona kama chizi hapa home.
Mkuu buswelu pole pole, unaua bendi!
 
Back
Top Bottom