Naona makinda kapewa Nishani kwa sababu ni spika mwenye uwezo mdogo kuimudi mikimiki ya Bunge hadi sasa. Ni spika aliyefanya vibaya hadi sasa, na hata sasa hajui kama ni spika, kwa sababu kwanza alipewa kama zawadi, pili uwezo wake wa kuliongoza Bunge ni mdogo kuliko alivyodhaniwa. Hivyo kwa mtazamo wa JK alistahili zawadi pia.