Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
Speaker Makinda anastahili kupewa nishani hii kutokana na ujasiri wake wa kupitisha mswada wa Sheria ya mabadiliko ya katiba kwa maslahi ya ccm. Hii ndo shukrani ya JK kwa Makinda.
Mimi naijua sababu ya Makinda kupewa hiyo tuzo ila naogopa kupigwa ban.
Makinda is a case of a very fortunate,ugly,politically corrupt and biased female speaker in a very poor and corrupt Tanzanian government-'period'.......what a shame to Tanzanian female leaders..........Speaker Makinda anastahili kupewa nishani hii kutokana na ujasiri wake wa kupitisha mswada wa Sheria ya mabadiliko ya katiba kwa maslahi ya ccm. Hii ndo shukrani ya JK kwa Makinda.
Unaogopa ban kwani hauna dawa ya maumivu?
Si kweli basi kama hivyo EL angepata, lakini cha ajabu hata Adamu Sapi spika wa kwanza hakupata kapewa Makinda ambaye hajamaliza hata mwaka lini wamepima utendaji wake na matokeo (outcomes).