hivi unaelewa maana ya neno chicha kisasa..... chichaaaa!!
chicha kwanza ina maana ya kuwa bwii, au mtungi baada ya kuzigida za kutosha, lakini pia chicha "kimtaani" ni kifupisho cha neno mchicha..yaani kutoka mchicha ni kutoka pina, au kupendeza..so hapa nadhani jamaa alimaanisha hii ya pili kwamba mama ametoka pina yaani amependeza kwa kile kifupi cha mchicha..thats what i think kimtaani..hivi unaelewa maana ya neno chicha kisasa
hivi huyo mwanaume ni charles hilary?
...Una maneno! kwa kuwa shingo limemwagika??:A S-eek:Kweli macho huwa yanaona tofauti mie naona kama ni oversize..