Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
943

Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.

Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo.

Amesema katika kulitafuta vazi la Taifa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kuhakikisha linapatikana vazi lenye stara, ustaarabu, heshima, linaloonesha unadhifu na linaloweza kuvaliwa na yeyote.

Untitledaqwsde.jpg
 
atakuwa viti maalum kama siyo basi ni.......
 
Imagine Dr. Mwigulu nchemba au Bashite au Nape akiwa ndani ya vazi Mama kizimkazi, aloo. Ila hii nchi ina viongozi wapumbavu sana, nchi ipo kwenye mgogoro wa upatikani wa huduma za msingi eti wanajadili vazi la taifa, Yaani mwaka 2024 nchi zinajadili maendeleo ya mapinduzi ya 4 ya viwanda same time viongozi wetu wanoshinda wakizurura nchi za watu kuomba misaada ya kujenga mashimo ya vyoo wao wanajadili kuongeza ndege za kuhudumia viongozi na kubuni vazi la Taifa. WTF is this???!! alafu unakutana na kima anasema viongozi wanachaguliwa na mungu. shen type
 
Aloo 🤣🤣🤣
 
Daah hawa wabunge kiboko bors mawazo ya wabunge wa Tanzania wangekua wanayachukua kwenye shule zinazozunguka maeneo ya wabunge sio hawa watu hamna kitu wanajua hawa jamaa zetu ndio maana unaona wanabaki kujisifia wachumi daraja la kwanza kila kukicha hakuna cha maana kinachofanyika zaidi ya kuongeza Tozo tuu..
 
Imagine Dr. Mwigulu nchemba au Bashite au Nape akiwa ndani ya vazi Mama kizimkazi, aloo. Ila hii nchi ina viongozi wapumbavu sana, nchi ipo kwenye mgogoro wa upatikani wa huduma za msingi eti wanajadili vazi la taifa, Yaani mwaka 2024 nchi zinajadili maendeleo ya mapinduzi ya 4 ya viwanda same time viongozi wetu wanoshinda wakizurura nchi za watu kuomba misaada ya kujenga mashimo ya vyoo wao wanajadili kuongeza ndege za kuhudumia viongozi na kubuni vazi la Taifa. WTF is this???!! alafu unakutana na kima anasema viongozi wanachaguliwa na mungu. shen type
we ni bora ungezaliwa kima tu, kwa akili yako Rais wa Ujerumani alikuja kuomba nini huku kwetu, na Je yule wa Indonesia mwaka jana alikuja kuomba chakula? Na wa Hungary je? Siwezi kuwataja wote maana we siyo binadamu. Na je makamu wa rais wa Marekani? Mkizaliwa mpumbavu utazeeka na upumbavu wako.
 
Wakati watu wakienda kuacha kinyesi chooni kumbe wengine huwa mnakwenda kukipakua na kukijaza kichwani. Interesting
 
Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.

Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo.

Amesema katika kulitafuta vazi la Taifa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kuhakikisha linapatikana vazi lenye stara, ustaarabu, heshima, linaloonesha unadhifu na linaloweza kuvaliwa na yeyote.

View attachment 2903710
Kujisokotea kwenye baibui lenye joto hivyo hap mjini sio poa, ni afadhali rubega la kimasai.
 
Back
Top Bottom