Ni muda ya vazi la maasai kuwa vazi la taifa la Tanzania

Bando la wiki

JF-Expert Member
May 23, 2023
319
884
Ni lini watanzania tutathamini vya kwetu?
Nchi ya Tanzania ni nchi kubwa yenye tamaduni tofauti tofauti kutokana na kuwa na makabila mengi.
So suala la serikali kuweka kamati ya vazi la taifa miaka na miaka naona ni ubadhirifu wa fedha za umma.
Kwa sababu gani ni ubadhirifu wa fedha za umma ni kwa sababu hilo vazi halitakidhi hadhi ya kuwa vazi la taifa. Zaidi kamati itakuja ni ubunifu ambao utakuwa ni kopy na paste ya mavazi kutoka Afrika magharibi hasa Nigeria na Ghana.
Sasa unajua namna mavazi ya Kinigeria yalivyo na gharama kubwa sana kuya shona. Hii ni sababu nyingine itakayoleta kuanguka kwa vazi hili la taifa kabla hata halijasambaa kwa watanzania wote.

Sasa badala ya vazi la taifa kufeli, mimi napendekeza VAZI LA MAASAI kuwa vazi letu la taifa. Tuthamini vazi la maasai kwa sababu ndilo kwa miaka mingi limekuwa likiitambulisha nchi yetu kwa wageni na kuvutia watalii wengi kutoka nchi mbalimbali duniani.
Wamasai wathaminiwe na wapewe nafasi ya kutupa/kutuelekeza mitindo tofauti tofauti ya uvaaji wa vazi hili zuri la kitamaduni.
Sijayasema haya kwa sababu mimi labda ni mmasai la hasa mimi ni mkurya ila napenda namna ya kujitangaza duniani kupitia vazi la maasai ambalo tiyari linafanya vizuri duniani.

Tukifell kuchukua idea hii, tusije shangaa Kenya ikapita nalo nakuitangazia dunia kwamba ndio wavumbuzi wa vazi hilo na ndilo vazi lao la taifa.
 
Huu ni ujinga, yaani nivae nusu uchi ili iweje? Tuachane na ujinga wa kuvaa mashuka ya kulalia, kila mtu avae atakacho. Kwani vazi la taifa au haya mashuka ya Kimasai mnayotaka kuwa vazi la taifa yatatuletea faida gani kama nchi?
 
Ni lini watanzania tutathamini vya kwetu?
Nchi ya Tanzania ni nchi kubwa yenye tamaduni tofauti tofauti kutokana na kuwa na makabila mengi.
So suala la serikali kuweka kamati ya vazi la taifa miaka na miaka naona ni ubadhirifu wa fedha za umma.
Kwa sababu gani ni ubadhirifu wa fedha za umma ni kwa sababu hilo vazi halitakidhi hadhi ya kuwa vazi la taifa. Zaidi kamati itakuja ni ubunifu ambao utakuwa ni kopy na paste ya mavazi kutoka Afrika magharibi hasa Nigeria na Ghana.
Sasa unajua namna mavazi ya Kinigeria yalivyo na gharama kubwa sana kuya shona. Hii ni sababu nyingine itakayoleta kuanguka kwa vazi hili la taifa kabla hata halijasambaa kwa watanzania wote.

Sasa badala ya vazi la taifa kufeli, mimi napendekeza VAZI LA MAASAI kuwa vazi letu la taifa. Tuthamini vazi la maasai kwa sababu ndilo kwa miaka mingi limekuwa likiitambulisha nchi yetu kwa wageni na kuvutia watalii wengi kutoka nchi mbalimbali duniani.
Wamasai wathaminiwe na wapewe nafasi ya kutupa/kutuelekeza mitindo tofauti tofauti ya uvaaji wa vazi hili zuri la kitamaduni.
Sijayasema haya kwa sababu mimi labda ni mmasai la hasa mimi ni mkurya ila napenda namna ya kujitangaza duniani kupitia vazi la maasai ambalo tiyari linafanya vizuri duniani.

Tukifell kuchukua idea hii, tusije shangaa Kenya ikapita nalo nakuitangazia dunia kwamba ndio wavumbuzi wa vazi hilo na ndilo vazi lao la taifa.
Elimu na rasilimali zenu vimeshindwa kuwa brand, sasa mnakimbilia kutafuta branding kwenye mavazi.
Hilo vazi la taifa litakusaidia nini wewe au taifa lako?
Vazi la wamasai ulugeuze la taifa, unawaona watu ni mafala kwamba wao hawana kwao wala hawana utamaduni hivyo wapewe hifadhi kwenye tamaduni za wamasai?
 
Back
Top Bottom