Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
- Thread starter
- #41
Unajua hii model ya kukabidhiana walitaka kuitumia JK na EL wakati huo, bahati mbaya/nzuri wakakosea taratibu
hawa waliyataka wenyewe wangekuwa wanapiga kazi inayoeleweka bila shaka wangeweza ila wanaiba wanatorosha wanyama , umeme hakuna maisha magumu ,migomo ,ajira hakuna , basi taifa linaenda enda tu ....hawa wenzao kila kitu kipo shwari na nchi yao wanailinda sana vilivyo. kwa nini wananchi wasijisahau na kuwaacha waendelee