V. Putin sworn in as a Russian president in capital city Moscow

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Vladimir Putin's inauguration
source Russian today
RT
581608_422258801126227_207845345900908_1534169_122577783_n.jpg
medvev akifika kwenye ukilu yao tayari kwa sherehe
575082_10150837771094271_1829148783_n.jpg
Putin akitoka kwenye ofisi ya waziri mkuu kuelekea kwenye ikulu yao tayari kwa ku apishwa
unaweza kufuatilia hapa LIVE .....
http://rt.com/on-air/

72973_10150837811984271_325794294270_9394548_480813200_n.jpg
Kifaa kimeshaapishwa
 
Mimi hawa jamaa siwaelewi
Anatoka Medvedev anaingia Putin
Alitoka Putin akaingia Medvedev

Sasa sijui baada ya Putin hapa ataingia nani tena
 
Putin hatoki hadi baada ya miaka 10

Saint Ivuga huo ndio mchanganyiko wenyewe
Maana yeye alitawala vipindi vyake vya mwanzo viwili akamwachia Medvedev na yeye Putin akawa PM
Sasa amerudi madarakani na mshkaji wake aliyemwachia madaraka anarudi kwenye uPM
aangalie tuu baada ya miaka kumi ya Putin Medvedev asije akarudi hapo kama President
 
inaweza ikawa hivyo ..baada ya hii miaka kumi medved kama naye atakuwa na interest ya kuwa rais basi bila shaka ataachiwa kiti hiki
 
KGB boy alijipanga

alijipanga vema na hadi alimshawishi jamaa yake mmoja bilionea agombee urais ili kupunguza kura za oppositions na alifanikiwa ..jamaa ndio ni bandidu ila aanaipenda nchi yake na kuilinda an kutengeneza ajira kwa wazawa hii ndio faida yake
 
Yaani katika viongozi WANAONIVUTIA ni Putin, Ahmedinejad, Mugabe, MAndela, Castro, alikuwa Sadam , Ghadafi , Hugo hawa ndio kiboko wa wa wamarekani ... hawatikisiki kirahisi... Mikael Gorbachev aliiua USSR jamani ilikuwa inapaa ...
 
inaweza ikawa hivyo ..baada ya hii miaka kumi medved kama naye atakuwa na interest ya kuwa rais basi bila shaka ataachiwa kiti hiki

Inawezekana maana kama wananchi wameona haya mabadiliko na wakakubali kumrudisha Putin kwa kipindi kingine haitashangaza wataamua tena kufanya hayo hayo

Mkuu unajua umeshatoa jibu.
Baada ya Putin anarudi Medvedev.

Sigma sikujua kuwa kumbe jibu tayari lipo
Hiyo ni Russia bana kila kitu kinawezekana na hapo ni katika kuhakikisha kuwa taifa haliyumbi na kumwachia USA nafasi ya kutamba
 
hii Presidential seal ya Russia kwenye picha ya mwisho hapo juu inayomwonesha jamaa akiapa mbona kama imebeba elements za masonic symbols
 
hii Presidential seal ya Russia kwenye picha ya mwisho hapo juu inayomwonesha jamaa akiapa mbona kama imebeba elements za masonic symbols
Ukiwa mtumwa wa masonry utahangaika sana, utajikuta kila ukionacho ni masonic symbol.
Cha muhimu ni ukuaji wa jamii.
 
Sigma sikujua kuwa kumbe jibu tayari lipo
Hiyo ni Russia bana kila kitu kinawezekana na hapo ni katika kuhakikisha kuwa taifa haliyumbi na kumwachia USA nafasi ya kutamba
Putin ndio kaijenga New Russia.
Pamoja na jitihada nyingi za US kubomoa Soviet Union kupitia Mikhail Goba na badae kutumia vibaraka wa Chechnya lakini Putin karesist.
Russia ilikaribia kuipigia magoti US and alies, enzi ya Boris, lakini Putin has managed to bring Russia back to its grips.
 
Back
Top Bottom