V. Putin sworn in as a Russian president in capital city Moscow

Putin alikuwa na cheo cha Kanali, na anajua kuzungumza Kijerumani fluently, kuendesha ndege za kivita mchezo wa karate-lakini Ma-ex KGB wote wanajuha mchezo huu, Ma-ex-KGB wajanja sana Putin anaweza kuwa anajua hata kuzungumza Kingereza lakini akajifanya hajuhi, mbinu hizi na Wachina wanazitumia sana!
Almost all KGB officials were multilingual.
Languages of necessity were English, French, Spanish and Hebrew
 
Haya ya Urusi nayo ni vituko.Mimi sio Mrusi lakini Putin na Medvev wananichefua sana.Hivi wanadhani wao tu ndio wenye uwezo wa kuiongoza Urusi,ovyo sana.
Vladimir Putin's inauguration
source Russian today
RT
View attachment 53644
medvev akifika kwenye ukilu yao tayari kwa sherehe
View attachment 53645
Putin akitoka kwenye ofisi ya waziri mkuu kuelekea kwenye ikulu yao tayari kwa ku apishwa
unaweza kufuatilia hapa LIVE .....
On air

View attachment 53646
Kifaa kimeshaapishwa
 
Back
Top Bottom