V. Putin sworn in as a Russian president in capital city Moscow

hii Presidential seal ya Russia kwenye picha ya mwisho hapo juu inayomwonesha jamaa akiapa mbona kama imebeba elements za masonic symbols

ha ha ha watz bana kila siku hamuachagi kunishangaza ..hii nembo ni ya zamani sana toka hata kabla ya kipindi cha ussr even before worlid war I, hao mason mnaowaongea wamekuwa mawe, nachukia sana watu wanaoongelea mabo ya mason kwani hayana ukweli wowote zaidi ya kujiunganishia tu dots
russia.gif soma hapa chini then uje uunganishe dots zako hapa
Two-headed Eagle--- The two-headed eagle first appeared in Russia, during the time of Moscovia, in the 15th century. Two-headed eagle has been the symbol of the monarchy of Russia for more than four hundred years. But with the advent of Russian revolution and dethroning of the Tsar Empire, it was on the verge of extinction.
 
Putin ndio kaijenga New Russia.
Pamoja na jitihada nyingi za US kubomoa Soviet Union kupitia Mikhail Goba na badae kutumia vibaraka wa Chechnya lakini Putin karesist.
Russia ilikaribia kuipigia magoti US and alies, enzi ya Boris, lakini Putin has managed to bring Russia back to its grips.

Sigma kwa upande wangu namkubali sana Putin na ni kiongozi mzuri sana kwa upande wake
na ni yeye anayewachachafya waUSA wasifanye lolote kwa Russia
Ingekuwa ni kiongozi mwingine ingekuwa Russia ishaipiigia magoti USA
Ila mi hiyo style yao ya kuachiana madaraka ndio inanishangaza sana
 
Safi sana Putin, natamani Jk angekuwa kama Putin, lakini ndo haiwezekana, amebaki kuchekacheka tu....
 
Safi sana Putin, natamani Jk angekuwa kama Putin, lakini ndo haiwezekana, amebaki kuchekacheka tu....

putin alivyoingia madarakani aliugeuka mtandao wake uliomuingiza akabaki na wachache ,,wale wote waliokuwa wanahatarisha uchumi wa nchi kwa sababu za kishakaji aliwapoteza na wapo jela wengi wao hadi sasa hivi
 
The sure thing a true patriotic will do in a situationRussia is facing.
To make sure a no mole is planted as long as he lives!
Sasa akifa?
Hilo ndo swali!
huenda hata US ndo wanasubiria iyo event bcoc wameishiwa tactics
 
Kwamba maslahi ya Russia ndo yako mbele, that's Putin.
 
Safi sana Putin, natamani Jk angekuwa kama Putin, lakini ndo haiwezekana, amebaki kuchekacheka tu....
Kabsaa unasema unatamani JK awe kama Putin,
Labda ungeiweka kuwa "Tanzania tungepata Rais kama Putin"
 
The sure thing a true patriotic will do in a situationRussia is facing.
To make sure a no mole is planted as long as he lives!
Sasa akifa?
Hilo ndo swali!
huenda hata US ndo wanasubiria iyo event bcoc wameishiwa tactics

Wamsehaona Putin akiwa hai hakuna litakalofanyika kwa upande wa Russia
na kweli hiyo event ya Putin kufa naona ndio wanaisubiri sana
Ila as long as yuko pale USA watakuwa hawana lolote la kuifanyia Russia
Na yuko determined kufanya yale ambayo anataka Russia ione anafanya kulinda utaifa wao na kulinda nchi yake bila kuwa mtegemezi au omba omba kwa USA jambo ambalo kwa Putin anaona kama ni kujidhalilisha
 
ha ha ha watz bana kila siku hamuachagi kunishangaza ..hii nembo ni ya zamani sana toka hata kabla ya kipindi cha ussr even before worlid war I, hao mason mnaowaongea wamekuwa mawe, nachukia sana watu wanaoongelea mabo ya mason kwani hayana ukweli wowote zaidi ya kujiunganishia tu dots
soma hapa chini then uje uunganishe dots zako hapa
Freemsonry imegain popularity hapa bongo kila kitu ukifanya mason, mtu akifanikiwa mason,
 
Inawezekana maana kama wananchi wameona haya mabadiliko na wakakubali kumrudisha Putin kwa kipindi kingine haitashangaza wataamua tena kufanya hayo hayo
.....
Hiyo ni Russia bana kila kitu kinawezekana na hapo ni katika kuhakikisha kuwa taifa haliyumbi na kumwachia USA nafasi ya kutamba

Hivi wakuu, zile vurugu za waandamanaji wakati wa kuapishwa Putin zimekaaje, tunaweza kuzihusisha na hujuma dhidi y Putin kutoka nchi za nje ?
 
Back
Top Bottom