Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,254
Putin na Medvedev wanatisha,'wanarotate' tu...
Si kurotate.
US anajaribu hila zote za kuibomoa Russia from within, and the Putin happened to know just that.
Putin na Medvedev wanatisha,'wanarotate' tu...
hii Presidential seal ya Russia kwenye picha ya mwisho hapo juu inayomwonesha jamaa akiapa mbona kama imebeba elements za masonic symbols
Two-headed Eagle--- The two-headed eagle first appeared in Russia, during the time of Moscovia, in the 15th century. Two-headed eagle has been the symbol of the monarchy of Russia for more than four hundred years. But with the advent of Russian revolution and dethroning of the Tsar Empire, it was on the verge of extinction.
Putin ndio kaijenga New Russia.
Pamoja na jitihada nyingi za US kubomoa Soviet Union kupitia Mikhail Goba na badae kutumia vibaraka wa Chechnya lakini Putin karesist.
Russia ilikaribia kuipigia magoti US and alies, enzi ya Boris, lakini Putin has managed to bring Russia back to its grips.
Safi sana Putin, natamani Jk angekuwa kama Putin, lakini ndo haiwezekana, amebaki kuchekacheka tu....
Putin hatoki hadi baada ya miaka 10
The sure thing a true patriotic will do in a situationRussia is facing.Sigma kwa upande wangu namkubali sana Putin na ni kiongozi mzuri sana kwa upande wake
na ni yeye anayewachachafya waUSA wasifanye lolote kwa Russia
Ingekuwa ni kiongozi mwingine ingekuwa Russia ishaipiigia magoti USA
Ila mi hiyo style yao ya kuachiana madaraka ndio inanishangaza sana
Kwamba maslahi ya Russia ndo yako mbele, that's Putin.putin alivyoingia madarakani aliugeuka mtandao wake uliomuingiza akabaki na wachache ,,wale wote waliokuwa wanahatarisha uchumi wa nchi kwa sababu za kishakaji aliwapoteza na wapo jela wengi wao hadi sasa hivi
Kabsaa unasema unatamani JK awe kama Putin,Safi sana Putin, natamani Jk angekuwa kama Putin, lakini ndo haiwezekana, amebaki kuchekacheka tu....
The sure thing a true patriotic will do in a situationRussia is facing.
To make sure a no mole is planted as long as he lives!
Sasa akifa?
Hilo ndo swali!
huenda hata US ndo wanasubiria iyo event bcoc wameishiwa tactics
Medevev kachaguliwa kuwa waziri mkuu wa Urusi
Freemsonry imegain popularity hapa bongo kila kitu ukifanya mason, mtu akifanikiwa mason,ha ha ha watz bana kila siku hamuachagi kunishangaza ..hii nembo ni ya zamani sana toka hata kabla ya kipindi cha ussr even before worlid war I, hao mason mnaowaongea wamekuwa mawe, nachukia sana watu wanaoongelea mabo ya mason kwani hayana ukweli wowote zaidi ya kujiunganishia tu dots
soma hapa chini then uje uunganishe dots zako hapa
Inawezekana maana kama wananchi wameona haya mabadiliko na wakakubali kumrudisha Putin kwa kipindi kingine haitashangaza wataamua tena kufanya hayo hayo
.....
Hiyo ni Russia bana kila kitu kinawezekana na hapo ni katika kuhakikisha kuwa taifa haliyumbi na kumwachia USA nafasi ya kutamba
Freemsonry imegain popularity hapa bongo kila kitu ukifanya mason, mtu akifanikiwa mason,
Hivi wakuu, zile vurugu za waandamanaji wakati wa kuapishwa Putin zimekaaje, tunaweza kuzihusisha na hujuma dhidi y Putin kutoka nchi za nje ?
Unajua hii model ya kukabidhiana walitaka kuitumia JK na EL wakati huo, bahati mbaya/nzuri wakakosea taratibuMimi hawa jamaa siwaelewi
Anatoka Medvedev anaingia Putin
Alitoka Putin akaingia Medvedev