- Thread starter
- #81
Lizzy kamwe usiikosoe Biblia Takatifu ........................yaani sanasana unatuonyesha ulivyo mbumbu katika Neno La Mungu...................Biblia Takatifu ni Mwenyezi mungu anaongea nas.....................Mungu hawezi kuwa na makosa kibao kama unavyodai...............
Labda nianze kwa kukusahihisha tafsiri zako juu ya neno la Mungu...........
mapungufu ya mwanadamu kamwe hayawezi kutumika kumkosoa mwenyezi Mungu kuwa Neno lake limejaa makosa kibao...............Mwenyezi mungu ametuagiza tuwe watakatifu kwa sababu yeye ni mtakatifu. sitanukuu mstari kwa sababu ukweli upo dhahiri........
adhabu za kifo bado zinatumika duniani ingawaje kutokana na udhaifu wa mwanadamu kuendekeza rushwa wengi wanaona wanaohukumiwa kufa yawezekana hawana hatia na ndiyo maana zimepigwa marufuku maeneo mengi.................................lakini hili huwezi kuliorodhesha kuwa ni kosa ndani ya neno la Mungu..................................
Hili ni lako mwenyezi Mungu ametuasa ya kuwa kisasi ni chake...........soma Kumbukumbu ya Torati 32:35.......
Hizi ndizo sifa za Anti-Christ.............................kufanya upendavyo as if there is no living God and p[erhaps entertaining the idea you are GOD......................maana kama husikilizi sauti ya mwenyezi mungu unasikiliza sauti ya nani? Kama ni yako basi wajiona ni Mungu........
Mtume Paulo amekuelekeza ifuatavyo:-
a) For a man indeed ought not to cover his head, since he is the image and glory of God; but woman is the glory of man. For man is not from a woman, but woman from man. Nor was man created for the woman, but woman for the man." 1 Corintihians 11:7-9.
b) "Wives submit to your own husbands, as to the Lord. For the husband is head of the wife, as also Christ is head of the church; and he is the saviour of the body. Therefore, just as the church is subject to Christ, so let the wives be to their own husbands in everything." Ephesians 5:22-24.
Lizzy; in thoughts and deeds, follow Christ and everything will be well with you..................kwa sababu imeandikwa ya kuwa.............Mathew 12:37 "For your words you will be justified, and by your words you will be condemned."
Sante Ruta kwa ufafanuzi pamoja na mistari...unajua hata hivi vilio vya kutendwa ukivichunguza sana unaweza kuta mmoja ktk wanandoa kuvaa uhusika/tabia bandia mke ni vizuri akawa mke...kadhalika mme awe mme......kama ilivyoutata kwa mke kumesh na dumejike vivyo na mume kumesh na jikedume..