LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 530
"Kadhalika nyinyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe." (1Pet. 3:7).sawa kabisa eiyer! hiyo 25 % iliyobaki ni ile sehemu ya 'Mwanamke atamlinda mwanaume'. Kuna vitu ambavyo mwanaume akifanya huwezi kutii tu kwa sababu eti ni mume. Tupo kwa ajili ya kulindana,penye udhaifu unakuwa mkali kidogo la sivyo mwenzako atapoteza uhai, kazi na hata heshima yake kwenye jamii! tunaonyana na kukemeana kwa upendo