ndicho nilichokitegemea, kukataa kwamba hajalipwa fadhila...
Ni wapi Lipumba alipokataa ulaji huo? yule mtu mlafi na mgombea Urais wa Maisha wa CUF akatae nafasi hiyo wakati mate yalikuwa yanamtoka?Amushukuru Prof lipumba kukataa upuuzi huo...
Mbatia nimchumia tumbo, period
Sasa nimegundua kwanini kafulila anautk uenyekiti wa NCCR,,huyu jamaa hajui anachokifanya na nini waxwax na uelewa wake kuhusu maana ya upinzani