Sasa Mbowe kutetewa na Mawakili zaidi ya 390, hii ni baada ya NCCR Mageuzi kuongeza jopo la mawakili 4

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Awali mawakili 386 walijitokeza kumtetea mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe.

Leo mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh James Mbatia amesema kutokana na umujimu wa kesi hii kwa wapenda haki duniani chama chake kimejitolea kuongeza jopo la mawakili 4 kumsupport Wakili msomi Kibatala.

Source: ITV habari
 
Awali mawakili 386 walijitokeza kumtetea mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe.

Leo mwenyekiti wa Nccr mageuzi mh James Mbatia amesema kutokana na umujimu wa kesi hii kwa wapenda haki duniani chama chake kimejitolea kuongeza jopo la mawakili 4 kumsupport Wakili msomi Kibatala.

Source: ITV habari
Ni jambo jema kama wameona umuhimu wa kufanya hivyo,ila Mimi binafsi wengine nawaona wengine kama wenye maslahi kutoka mtaa ule wa kijani na katika mazingira fulani wanasimamia na kuhakikisha maslahi ya wanakijani yanafikia malengo,ni mawazo yangu tu.
 
Awali mawakili 386 walijitokeza kumtetea mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe.

Leo mwenyekiti wa Nccr mageuzi mh James Mbatia amesema kutokana na umujimu wa kesi hii kwa wapenda haki duniani chama chake kimejitolea kuongeza jopo la mawakili 4 kumsupport Wakili msomi Kibatala.

Source: ITV habari
Kwani idadi kubwa ya Mawakili ndo kushinda kesi ya ugaidi?
 
Awali mawakili 386 walijitokeza kumtetea mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe.

Leo mwenyekiti wa Nccr mageuzi mh James Mbatia amesema kutokana na umujimu wa kesi hii kwa wapenda haki duniani chama chake kimejitolea kuongeza jopo la mawakili 4 kumsupport Wakili msomi Kibatala.

Source: ITV habari
Duuh aisee.
 
Ndio maana Mzee Zero kapaniki kumbe! Halafu akiwaza sasa dah
 
Hata wawe mawakili 10000 Kama ni gaidi ,Basi atapatikana na hatia tu.hata osama Kama angepelekwa mahakamani kabla ya kuuawa pia angetetewa nadhani na wanasheria nguli hata laki moja,bt still angepatikana na hatia tu.
 
Mtapata hasara mkishindwa kuthibisha huo ugaidi wake Safari hii mmeingia chakike
 
Afande Zero Brain akisikia hili anaweza kujiharishia.

Ile movie ya Mo Dewji hakujifunza.
 
Mawakili 300 kuendesha kesi moja ni uchizi tu. Sababu kwanza itapunguza ufanisi, na bado practically wengine watakuwa redundant.
Lakini kwa BAVICHA ni wimbo mzuri, utapambwa na “threads” kadhaa JF!
 
Back
Top Bottom