Uteuzi wangu ni heshima kubwa kwa NCCR - Mbatia

Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amesema ameteuliwa kuwa mbunge na Rais kwa sababu chama chake hakiamini katika vurugu na kumwaga damu kama baadhi ya vyama vinavyofanya.

Mbatia amesema hiyo ndiyo sababu pekee iliyosababisha Rais kukipa heshima chama chake na wala sio kulipwa fadhila kama baadhi ya watu wanavyosema

Source: Mwananchi Jumamosi

Chama chake hakiamini katika vurugu kama vyama vingine?Kwa sheria za jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaruhusu/ama kusajili vyama vyenye vurugu?Huyu Mbatia analo lake jambo hawezi kutoa sababu ya kijinga namna hii kuwa ndio imemmfanya raisi kumchagua yeye na chama chake.
 
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amesema ameteuliwa kuwa mbunge na Rais kwa sababu chama chake hakiamini katika vurugu na kumwaga damu kama baadhi ya vyama vinavyofanya.

Mbatia amesema hiyo ndiyo sababu pekee iliyosababisha Rais kukipa heshima chama chake na wala sio kulipwa fadhila kama baadhi ya watu wanavyosema

Source: Mwananchi Jumamosi

nadhani kafulila ni zaidi ya wewe
 
Kikwete kuongeza wabunge wa upinzani bungeni ni katika kuongeza uwigo wa demokrasia nchini. Kikwete anastahili kila sifa kwa hilo.
 
Njaa mbaaayaaa!!!!!!.
 
Haaahaaa! Ile kesi ya Kawe ilimpelekesha speed? Kweli kupewa bure ni heshima kubwa maana ukiingia front unakula za uso mpaka unakuwa flat.
 
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amesema ameteuliwa kuwa mbunge na Rais kwa sababu chama chake hakiamini katika vurugu na kumwaga damu kama baadhi ya vyama vinavyofanya.

Mbatia amesema hiyo ndiyo sababu pekee iliyosababisha Rais kukipa heshima chama chake na wala sio kulipwa fadhila kama baadhi ya watu wanavyosema

Source: Mwananchi Jumamosi
Yaani heshima ya chama inatokana na fadhila za kuteuliwa? He is not serious
 
Kweli ni heshima kwa chama chako kuingia ndoa ya mitala kwa sababu CUF tayari wameshaolewa kama mke mkubwa. Nachofahamu mimi, NCCR ni chama nafiki ambacho muelekeo wake ni wa kinafiki pia.

Anaposema chama chake hakiamini ktk kumwaga damu, mbona asiulizwe ni chama kipi ambacho sera zake ni kumwaga damu?!! Hao waandishi waliomuhoji hawakuwa madhubuti kama hawakuuliza.
 
Kikwete kuongeza wabunge wa upinzani bungeni ni katika kuongeza uwigo wa demokrasia nchini. Kikwete anastahili kila sifa kwa hilo.

Akili za Uzini utazijua tu. Aliyekwambia Mbatia ni mpinzani ni nani?

Kwa akili hizi ukija DSM hutachelewa kugongwa na gari
 
Anaenda kuongeza idadi ya wagonga meza na waunga hoja mkono.
 
James umeshindwa hata kabla ya kuanza! haki huwa haitolewi kwenye silver plater bali huchukuliwa, hiyo sio vurugu.
 
Kweli ni heshima kwa chama chako kuingia ndoa ya mitala kwa sababu CUF tayari wameshaolewa kama mke mkubwa. Nachofahamu mimi, NCCR ni chama nafiki ambacho muelekeo wake ni wa kinafiki pia.

Anaposema chama chake hakiamini ktk kumwaga damu, mbona asiulizwe ni chama kipi ambacho sera zake ni kumwaga damu?!! Hao waandishi waliomuhoji hawakuwa madhubuti kama hawakuuliza.

Mkuu ni wazi hapo alikuwa anaisema CDM kimafumbo
 
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amesema ameteuliwa kuwa mbunge na Rais kwa sababu chama chake hakiamini katika vurugu na kumwaga damu kama baadhi ya vyama vinavyofanya.

Mbatia amesema hiyo ndiyo sababu pekee iliyosababisha Rais kukipa heshima chama chake na wala sio kulipwa fadhila kama baadhi ya watu wanavyosema

Source: Mwananchi Jumamosi
Mbatia amesahau kunukuliwa na chombo kimoja cha TV hapa nchini akisema kuwa anaweza kutumia vijana ambao hawana kazi kufanya virugu. Ulikuwa kipindi cha utawala wa mkapa.
Kilichopo hapa Rais ameona kuwa NCCR ni chama ambacho hakina mwelekeo wa kushika dola ndio maana kaamua kumzawadia mbatia ubunge.
 
Kwa hiyo unapelekwa chuo cha kujifunza vurugu na kumwaga damu? Jaribu kusikiliza hobuba za Kibajaji, Tyson na Mkapa walizotoa huko Arumeru mashariki, pia jiulize waliowakata wabunge huko Mwanza ni chama gani, Rejea vurugu za Songea, Tafakaari ujue kuwa unakokwenda utakuwa muuaji mbaya kuliko Osama.
 
Back
Top Bottom