Uteuzi wangu ni heshima kubwa kwa NCCR - Mbatia

Tayari!

Mkoloni wa Kikwere kashapiga mahesabu ya movie litakalompa a statesmanlike gravita halafu hapohapo likatumia script ya "divide and rule" kama mkoloni wa Kiingereza.

Watu weeeeeeee.
 
Jamani naomba kuuliza!

Hivi heshima ya chama cha siasa inatoka kwa Rais? ... maana ninavyojua mimi inatoka kwa wananchi ambao wanakikubali chama na kukipa heshima ya kuwaongoza!

Amekidhalilisha chama chake anachokiongoza! ... yaani kama Mwenyekiti wa Chama hujui chama kinapata wapi heshima yake?! ... mimi nashauri ajuuzulu tu kwenye nafasi yake ... maana hajui anaongoza nini katika Chama.

NCCR ... mfukuzeni katika Chama chenu huyu mtu! .... hawafai kabisa!

Yaani unatafuta heshima kwa Rais?! ... badala ya Wananchi!
 
Huyu jamaa anaanza kuzeeka nini? Hebu atutajie hiko chama kinachoamini katika kumwaga damu. Huyu jamaa ni janga kwa taifa, yani kapewa huo ubunge ndio anaanza kauli za kishenzi.
 
Mweu uyu mbahatiya' anaweza kudhibitisha vyama vinavyo mwaga damu? Kupewa kula hata ajashiba kashaanza kutapika?
 
Mbatia wa ajabu kama kibuyu,wala hajui anataka nini masikini wa akili huyu.hahahahahaha
 
Mbatia ni CCM tokea mwanzo na alitumwa na CCM kwenda kuiua NCCR Mageuzi. Chadema kuweni makini sana.
 
Mwanaume unakubali ubunge wa viti maalumu. Mba... acha hizo. Hivi ndani ya miaka hata mi3 umepata wanachama wapya wangapi na au hao wanafiki wenzako UDPCCM na TLPCCM? Vyama vyenu vyakua au vyafa? Msajili kama chama tangu kisajiliwe hakikui sheria iwekwe vichinjiwe mbali.
 
Alipogombea ubunge Kawe wananchi wakamyima heshima hiyo, sasa iweje apate heshima kwa kuteuliwa? Amesahau methali ya mpiga zumari? Ajiulize nani anachagua wimbo kati yampiga Zumari ana mlipaji!
Kuanzia sasa atakuwa dictated na aliyemteua!
 
Ila JK ana madharau, yaani kumpa mwenyekiti wa chama cha upinzani ubunge!

Na huyo Mbatia kajidharirisha vya kuzidi, kukubali hiyo favor!

Halafu sababu aliyoitoa haina mshiko kabisa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom