nashicha
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 279
- 517
Mimi ni kijana wa miaka 14 ninaesoma kibasila secondary kidato Cha pili nimefanya utafiti huu nikiitaji maoni yenu naweza kuendelea na kama Kuna mtu anaweza kuendeleza ndoto yangu sitamwangusha
Tuna sayari 8 in our solar system
Maswali mengi yanaulizwa Dunia hii kuhusu time travel.kwa mujibu wa Albert Einstein amesema "time travel does not appear possible~atleast possible in the senses that human would survive".
Maana yake kutoamini kuwa time travel haipo ni sawa na kuchukua kijiko ukatumbukiza kwenye maji ya bahari ukakiaangalie Yale maji ukasema hakuna papa kwenye bahari kwa sababu hawapo katika kijiko changu.
SPEED OF LIGHT
mwanga ndio kitu kinachokimbia zaidi ambapo ni zaidi ya kilometers 300,000km/s na hiyo inathibitisha kuwa muda ni illusion inayotengenezwa kwenye akili ya binadamu kwa kutumia mwanga Stephen hawking alisema there is nothing in our universe called time according to quantum physics time is illusion so time travel is real.
TIME DILATION
Mfano mmoja unasema ukimuchukua kijana wa miaka 15 ukampeleka Angani kwenye empty space huku akimuacha kaka yake mwenye miaka 20 duniani akakaa Angani miaka 10 akirudi atakuwa na miaka 25 lakini kaka yake atakuwa na miaka 45 hii inaitwa time dilation inayosababishwa na black hole ambayo Ipo kwenye our milkway galaxy.... Einstein anaendelea kusema ukianguka kwenye black hole utakuwa unaanguka na speed ya mwanga na kusababisha uone ulimwengu ulivyoanza na utakavyoisha.
Parallel UNIVERSE
turudi kwenye our main topic mnamo mwaka 2006 mtu mmoja asiyejulikana alienda katika uwanja wa ndege wa J.F.Kennedy akiwa na passport ya kila nchi walipojaribu kumuuliza alijibu where am I wakaamua kumfunga kwenye chumba ili kumhoji aliwajibu akisema "I am from another earth people right there study u and wish to see u but only few like me get that chance but i can see your technology is too low for me let me go home"akapotea kusikojulikana hii inamaanisha kwamba there is another parallel earth.
TUNAWEZAJE KUFIKA HUKO?
Ndo hapo naweza kusema nimejitahidi kufanya uchunguzi na nimefanikiwa na matokeo yangu ni yafuatayo"endapo mtu akachukua 10^19billion volts of electricity anaweza kutengeneza portal achana na zile za kwenye Avengers but hii ni kweli ila sijawahi kubahatika Mimi kupata fursa ya kuwezeshwa kuendelea na utafiti huo na imesababisha Mimi Leo kuandika mafanikio yangu humu hizo 10^19billion volts ni kiasi kikubwa Cha umeme ambapo inaweza kusababisha dilation ya mda na kuweza kukusafirisha kwenda katika earth2 (kitaalamu) na Bado haijasadikika kuwa my theory is real until I try it I
Asanteni Wana Jf kwa kusoma