Utafiti wangu kuhusu parallel universe

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
279
517
Mimi ni kijana wa miaka 14 ninaesoma kibasila secondary kidato Cha pili nimefanya utafiti huu nikiitaji maoni yenu naweza kuendelea na kama Kuna mtu anaweza kuendeleza ndoto yangu sitamwangusha

Tuna sayari 8 in our solar system
Maswali mengi yanaulizwa Dunia hii kuhusu time travel.kwa mujibu wa Albert Einstein amesema "time travel does not appear possible~atleast possible in the senses that human would survive".

Maana yake kutoamini kuwa time travel haipo ni sawa na kuchukua kijiko ukatumbukiza kwenye maji ya bahari ukakiaangalie Yale maji ukasema hakuna papa kwenye bahari kwa sababu hawapo katika kijiko changu.

SPEED OF LIGHT
mwanga ndio kitu kinachokimbia zaidi ambapo ni zaidi ya kilometers 300,000km/s na hiyo inathibitisha kuwa muda ni illusion inayotengenezwa kwenye akili ya binadamu kwa kutumia mwanga Stephen hawking alisema there is nothing in our universe called time according to quantum physics time is illusion so time travel is real.

TIME DILATION
Mfano mmoja unasema ukimuchukua kijana wa miaka 15 ukampeleka Angani kwenye empty space huku akimuacha kaka yake mwenye miaka 20 duniani akakaa Angani miaka 10 akirudi atakuwa na miaka 25 lakini kaka yake atakuwa na miaka 45 hii inaitwa time dilation inayosababishwa na black hole ambayo Ipo kwenye our milkway galaxy.... Einstein anaendelea kusema ukianguka kwenye black hole utakuwa unaanguka na speed ya mwanga na kusababisha uone ulimwengu ulivyoanza na utakavyoisha.

Parallel UNIVERSE
turudi kwenye our main topic mnamo mwaka 2006 mtu mmoja asiyejulikana alienda katika uwanja wa ndege wa J.F.Kennedy akiwa na passport ya kila nchi walipojaribu kumuuliza alijibu where am I wakaamua kumfunga kwenye chumba ili kumhoji aliwajibu akisema "I am from another earth people right there study u and wish to see u but only few like me get that chance but i can see your technology is too low for me let me go home"akapotea kusikojulikana hii inamaanisha kwamba there is another parallel earth.

TUNAWEZAJE KUFIKA HUKO?
Ndo hapo naweza kusema nimejitahidi kufanya uchunguzi na nimefanikiwa na matokeo yangu ni yafuatayo"endapo mtu akachukua 10^19billion volts of electricity anaweza kutengeneza portal achana na zile za kwenye Avengers but hii ni kweli ila sijawahi kubahatika Mimi kupata fursa ya kuwezeshwa kuendelea na utafiti huo na imesababisha Mimi Leo kuandika mafanikio yangu humu hizo 10^19billion volts ni kiasi kikubwa Cha umeme ambapo inaweza kusababisha dilation ya mda na kuweza kukusafirisha kwenda katika earth2 (kitaalamu) na Bado haijasadikika kuwa my theory is real until I try it I

Asanteni Wana Jf kwa kusoma
 
Tanzania yetu na haya mambo unafikiri nani atakuelewa..?
Humu leta mada za kichawi, mapenzi na siasa ndo watakuelewa haya mambo pelekea wazungu na ukijichanganya sana baada ya miaka miwili tu utasahau na hizi theory zako!,ukipata kamdada kazurikazuri kakakukunja moyo! Who is time dilation..?😂
Who is parallel earth..?😂
Who is space & time..?😂

Heri ukaulize quora.
 
Mimi ni kijana wa miaka 14 ninaesoma kibasila secondary kidato Cha pili nimefanya utafiti huu nikiitaji maoni yenu naweza kuendelea na kama Kuna mtu anaweza kuendeleza ndoto yangu sitamwangusha

Tuna sayari 8 in our solar system
Maswali mengi yanaulizwa Dunia hii kuhusu time travel.kwa mujibu wa Albert Einstein amesema "time travel does not appear possible~atleast possible in the senses that human would survive".

Maana yake kutoamini kuwa time travel haipo ni sawa na kuchukua kijiko ukatumbukiza kwenye maji ya bahari ukakiaangalie Yale maji ukasema hakuna papa kwenye bahari kwa sababu hawapo katika kijiko changu.

SPEED OF LIGHT
mwanga ndio kitu kinachokimbia zaidi ambapo ni zaidi ya kilometers 300,000km/s na hiyo inathibitisha kuwa muda ni illusion inayotengenezwa kwenye akili ya binadamu kwa kutumia mwanga Stephen hawking alisema there is nothing in our universe called time according to quantum physics time is illusion so time travel is real.

TIME DILATION
Mfano mmoja unasema ukimuchukua kijana wa miaka 15 ukampeleka Angani kwenye empty space huku akimuacha kaka yake mwenye miaka 20 duniani akakaa Angani miaka 10 akirudi atakuwa na miaka 25 lakini kaka yake atakuwa na miaka 45 hii inaitwa time dilation inayosababishwa na black hole ambayo Ipo kwenye our milkway galaxy.... Einstein anaendelea kusema ukianguka kwenye black hole utakuwa unaanguka na speed ya mwanga na kusababisha uone ulimwengu ulivyoanza na utakavyoisha.

Parallel UNIVERSE
turudi kwenye our main topic mnamo mwaka 2006 mtu mmoja asiyejulikana alienda katika uwanja wa ndege wa J.F.Kennedy akiwa na passport ya kila nchi walipojaribu kumuuliza alijibu where am I wakaamua kumfunga kwenye chumba ili kumhoji aliwajibu akisema "I am from another earth people right there study u and wish to see u but only few like me get that chance but i can see your technology is too low for me let me go home"akapotea kusikojulikana hii inamaanisha kwamba there is another parallel earth.

TUNAWEZAJE KUFIKA HUKO?
Ndo hapo naweza kusema nimejitahidi kufanya uchunguzi na nimefanikiwa na matokeo yangu ni yafuatayo"endapo mtu akachukua 10^19billion volts of electricity anaweza kutengeneza portal achana na zile za kwenye Avengers but hii ni kweli ila sijawahi kubahatika Mimi kupata fursa ya kuwezeshwa kuendelea na utafiti huo na imesababisha Mimi Leo kuandika mafanikio yangu humu hizo 10^19billion volts ni kiasi kikubwa Cha umeme ambapo inaweza kusababisha dilation ya mda na kuweza kukusafirisha kwenda katika earth2 (kitaalamu) na Bado haijasadikika kuwa my theory is real until I try it I

Asanteni Wana Jf kwa kusoma
Time traveling is real and there are many evidences for it....iv ushawahi ona Kama tukio Fulani linajirudia na Kama ulishawahi ona kabla?
 
Hiyo story ya mtu uwanja wa Kennedy ni fake kama ilivyo ya ndege kupotea halafu aikatokea baada ya miaka kadhaa halafu tena ikaondoka na kupotea.
Bado tuna maarifa machache kuhusu universe. Mimi niko tafata planet 9 hapa nilipo.
Ukipata muda, kama utapenda lakini nje ya sayansi pitia maandiko ya kihindu kuhhsu universe
 
Mimi ni kijana wa miaka 14 ninaesoma kibasila secondary kidato Cha pili nimefanya utafiti huu nikiitaji maoni yenu naweza kuendelea na kama Kuna mtu anaweza kuendeleza ndoto yangu sitamwangusha

Tuna sayari 8 in our solar system
Maswali mengi yanaulizwa Dunia hii kuhusu time travel.kwa mujibu wa Albert Einstein amesema "time travel does not appear possible~atleast possible in the senses that human would survive".

Maana yake kutoamini kuwa time travel haipo ni sawa na kuchukua kijiko ukatumbukiza kwenye maji ya bahari ukakiaangalie Yale maji ukasema hakuna papa kwenye bahari kwa sababu hawapo katika kijiko changu.

SPEED OF LIGHT
mwanga ndio kitu kinachokimbia zaidi ambapo ni zaidi ya kilometers 300,000km/s na hiyo inathibitisha kuwa muda ni illusion inayotengenezwa kwenye akili ya binadamu kwa kutumia mwanga Stephen hawking alisema there is nothing in our universe called time according to quantum physics time is illusion so time travel is real.

TIME DILATION
Mfano mmoja unasema ukimuchukua kijana wa miaka 15 ukampeleka Angani kwenye empty space huku akimuacha kaka yake mwenye miaka 20 duniani akakaa Angani miaka 10 akirudi atakuwa na miaka 25 lakini kaka yake atakuwa na miaka 45 hii inaitwa time dilation inayosababishwa na black hole ambayo Ipo kwenye our milkway galaxy.... Einstein anaendelea kusema ukianguka kwenye black hole utakuwa unaanguka na speed ya mwanga na kusababisha uone ulimwengu ulivyoanza na utakavyoisha.

Parallel UNIVERSE
turudi kwenye our main topic mnamo mwaka 2006 mtu mmoja asiyejulikana alienda katika uwanja wa ndege wa J.F.Kennedy akiwa na passport ya kila nchi walipojaribu kumuuliza alijibu where am I wakaamua kumfunga kwenye chumba ili kumhoji aliwajibu akisema "I am from another earth people right there study u and wish to see u but only few like me get that chance but i can see your technology is too low for me let me go home"akapotea kusikojulikana hii inamaanisha kwamba there is another parallel earth.

TUNAWEZAJE KUFIKA HUKO?
Ndo hapo naweza kusema nimejitahidi kufanya uchunguzi na nimefanikiwa na matokeo yangu ni yafuatayo"endapo mtu akachukua 10^19billion volts of electricity anaweza kutengeneza portal achana na zile za kwenye Avengers but hii ni kweli ila sijawahi kubahatika Mimi kupata fursa ya kuwezeshwa kuendelea na utafiti huo na imesababisha Mimi Leo kuandika mafanikio yangu humu hizo 10^19billion volts ni kiasi kikubwa Cha umeme ambapo inaweza kusababisha dilation ya mda na kuweza kukusafirisha kwenda katika earth2 (kitaalamu) na Bado haijasadikika kuwa my theory is real until I try it I

Asanteni Wana Jf kwa kusoma
Umeanza vizuri sana ila hapo kwenye parallel universe umeenda kwenye science fiction zaidi.
 
Kwanza Hongera,
Kwa mtoto wa form II kuwa interested na hizi Concepts ni hatua kubwa...

Lakini Nahisi unasoma zaidi vitabu vya Science Fiction kuliko vitabu vya Science

Time sio "illusion" kwenye Physics
Time ni "real thing", ambayo observers wawili kulingana na state of their frame of references wanaweza kui experience tofauti / katika rate tofauti.

Kama wadau walipo sema hapo juu, hio story ya mwisho kwenye paragraph yako ya " Parallel Universe " ni Fake.

Pia Parallel Universe kwenye Physics ni tofauti na uliyoielezea hapa

Jifunze kuhusu Many World Interpretation of Quantum Mechanics.
 
Asante sana mkuu nitajitahidi
 
Volti 10>19 billioni nahisi ukiitengeneza hiyo portal ukajaribu kuipitia itakudisintegratisha mazima. Uta vapour hapa duniani halafu tutaassume umeenda dunia nyingine kumbe ndio umekufa tayari.

Kuna shida kuweza kuvisogelea vitu kama hicho chako na black holes halafu ukabaki na integrity yako. Mfano black hole itakureeeeeeeeeeeeeeeeeefusha na utakufa instantly hata kama sisi tutakuona upo bado unairukia indifenetly
 
Uhakika bro
 
Kwahiyo wew una miaka 14? Au ndiye mtu mdogo kulko wote humu JF?.

Anyway wenzako wako prepo wanasoma past papers za kemia wew sjui umeiba wapi hiyo simu na kulog in Jamii forum.

Wew ni mtoto sio kijana oky?.

Humu jf hutopata majibu sahihi kama utakavyo maana kuna vijana wa hovyo wameshaharibu jf, so chakukusaidia nenda kadownload app ya Quora, ni kama JF ya mambele lkn ina run world wide kwa kingereza zaid, huko utapata kila aina ya vitu na topic utakazo, ushindwe wew tu, hata ukitaka trick za kufaulu bila kusoma kule zipo, humu tuna maada zetu konki na zinatrend ama nini hivi dogo hapo kiskuli kwenu ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIHALA??
Screenshot_20220627-213923.jpg
 
Kwahiyo wew una miaka 14? Au ndiye mtu mdogo kulko wote humu JF?.

Anyway wenzako wako prepo wanasoma past papers za kemia wew sjui umeiba wapi hiyo simu na kulog in Jamii forum.

Wew ni mtoto sio kijana oky?.

Humu jf hutopata majibu sahihi kama utakavyo maana kuna vijana wa hovyo wameshaharibu jf, so chakukusaidia nenda kadownload app ya Quora, ni kama JF ya mambele lkn ina run world wide kwa kingereza zaid, huko utapata kila aina ya vitu na topic utakazo, ushindwe wew tu, hata ukitaka trick za kufaulu bila kusoma kule zipo, humu tuna maada zetu konki na zinatrend ama nini hivi dogo hapo kiskuli kwenu ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIHALA??View attachment 2274841
Naqbaltunda lzm
 
Kwa wanaoamini juu ya time travel,una maana mtu anaweza kurudi past na kubadilisha baadhi ya mambo ?mfano unarudi past na unazua kutokea kwa vita ya kwanza ya Dunia,jambo hili linawezekanaje?na vipi ukirudi past huyu wa present anakuaje?
 
Back
Top Bottom