afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Aaaaaaaaa maneno hayooAbraham this is a very intelligently posted thread. Ni bahati mbaya sio wote wenye upeo sawa. Umejaribu kuonyesha kwa mfano halisi point uliyoitoa katika mada! Exellent stuff man. Slow learners point ya Abraham ni kwamba tusiwakanye watoto bila kutoa sababu maana udadisi wao wa kwanini tukataziwe unawafanya wafanye hilo hilo walilokatazwa. Mfano ni kama yeye alivyoandika usisome hapa wengi wetu TUKASOMA maana tulitaka kujua kwanini. CURIOSITY KILLED THE CAT AND IT MIGHT KILL OUR CHILDREN TOO. Swala la kujadili sasa ni unawafundisheje kua ngono,ulevi,uvutaji ni mmbaya na wakuelewe wasijaribu.
Senks yako inakuja soon. .