Usiombe udaiwe Naijeria

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Usiombe udaiwe Naijeria
utakiona cha mtema kuni

Mzee mmoja akiwa amekaa na fisi wake kwenye kijiji cha Rinka, nchini Naijeria. Watu wanaodai wenzao hutumia wanyama wa kutisha kama fisi kudai wadaiwa. Ukikataa kulipa basi tena....hakuna msalie mtume... fisi anaachiliwa....
 
Lol! Hii kali. Kutumia Fisi kumdai mtu?
 
Sasa huyo fisi anafanyaje jamani? au anasemezana na viuongo vyako?

Kwanza mcheki fisi alivyo mbaya..kisha ndio utajua kama fisi akianza ibuka kwako analia...na unajua wazi unadaiwa....fisi amekaa kiajabu ajabu sana..sipendi hata muona machoni.
 
Kwanza mcheki fisi alivyo mbaya..kisha ndio utajua kama fisi akianza ibuka kwako analia...na unajua wazi unadaiwa....fisi amekaa kiajabu ajabu sana..sipendi hata muona machoni.

Ndo maana sehemu zingine kama kule kwa akina Buswelu (si ni kweli Buswelu?) nasikia anatumika kwenye uchawi.
 
Kuna WaNaigeria walimkopesha jamaa wa bongo hapa London ,yule jamaa akarudi zake Dar ,aloo Wanaigeria walimfuatilia na kumuingilia mpaka kijijini ,aliwakopa dola 20000/- ila hawakuwa na sumile na salama jamaa alikwishapata habari kuwa watu wanamfuata ili kumtoa roho kama hakuwalipa,ndio akawahi kuzikusanya na kuziweka tayari na ndio salama yake ,jamaa hawana mchezo wanapokukopesha.
 
mbona wao ukiwakopesha wanaanza visingizio? Mimi nilimkopesha mmoja tena hela kidogo tu (US$ 200) lakini mpaka leo mwaka umeisha.
 
2.jpg

3.jpg

4.jpg

5.jpg

7.jpg

8.jpg

11.jpg

source: Pieterhugo.com - The Hyena & other Men
 
weee mkuu huyo jamaa natumaini atakuwa wa kwetu maana adimu hao wana jf usafiri huo hapo anazuga aka fisi nyie munafikiri kwa nini amemziba mdomo anajaribu kumfananisha na dog kwa jamii ila huyooo we acha tu kifaa muhimu kwetu zaidi ya maji mwilini
Conquest-hata wachina aawakijui hicho mwanangu kitu original:nono:
 
mzizimkavu bado naendelea kukusoma , sijajua kuwa wewe ni mtu wa aina gani bado ila post zako nazikubali ...pamoja mzeiya!!!!!!!!:smile-big:
 
Back
Top Bottom