Usiombe udaiwe Naijeria

6a0111688f7c55970c0120a553fbc7970c-500wi
 
Kuna WaNaigeria walimkopesha jamaa wa bongo hapa London ,yule jamaa akarudi zake Dar ,aloo Wanaigeria walimfuatilia na kumuingilia mpaka kijijini ,aliwakopa dola 20000/- ila hawakuwa na sumile na salama jamaa alikwishapata habari kuwa watu wanamfuata ili kumtoa roho kama hakuwalipa,ndio akawahi kuzikusanya na kuziweka tayari na ndio salama yake ,jamaa hawana mchezo wanapokukopesha.
Hawajamkopesha cash hao..sumthing is behind
 
Usiombe udaiwe Naijeria

utakiona cha mtema kuni








Mzee mmoja akiwa amekaa na fisi wake kwenye kijiji cha Rinka, nchini Naijeria. Watu wanaodai wenzao hutumia wanyama wa kutisha kama fisi kudai wadaiwa. Ukikataa kulipa basi tena....hakuna msalie mtume... fisi anaachiliwa....

Kwa asili fisi ni mwoga sana...kwetu tunaamini ukimkurupusha fisi anaweza akakuharishia usoni wakati anakimbia kwa hofu, kwa hiyo uwe makini....
 
Back
Top Bottom